umesoma Uzi mkuu?
mm nikiwa .mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi
1. mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwez mzm hatuna maji ni mate so
2. barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawskataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baafhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hats ck moja ni majanga
5. vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi
6. wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari
niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani czani tutampa tena nfasi. mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo
Mnyika atajuta nakusaga meno mara baada ya kutupiliwa mbali na wanaubungo.Bunge atalisikia na kulitazama kwenye luninga.Hatutaki viongozi wababaishaji wapiga majungu tu.Zitto karibu.
Wewe tnakujua km mwana ccm. Unatka agombee kwa chama gani?
Wangapi wanatoa ahadi na ngapi zinatekelezwa kaka chamsingi hiki chama tukitowe tu mamba yatakua safi
Wa tz tuamuke kamani tunang'ania chama kimoja hadi lini?
ubora UPI wakati ss wananchi wake tunateseka
Mm ni mkaz wa makoka mwemben...kwa kwel mkuu umeongea ukwel mtupu...mnyika hatumpi teena ubunge...kiukwel kafel total..
Hakuna jimbo Dar ambalo miundombinu yake imeboreshwa kama Ubungo.Wewe utakuwa mburula tu.Rasimali hazitoshi, vitu vinajengwa kwa priorıtıes.Yamejengwa madaraja mengi sana.Barabara nyingi zimejengwa zinazounganisha viunga vya jimbo la Ubungo.Kubwa brbr ya Mbezi-tangbovu kupitia Goba.Msewe road kuelekea UDSM.Kimara King'ong'o inatengenezwa.Suka-Goran inatengenezwa.Mbezı Mwisho-Airport imetengenezwa na bado inatengenezwa,Umeme umewezeshwa kufika maeneo mengi, uvamizi wa maeneo umepungua.Mradi wa kituo cha mabası sımu 2000 ni mzuri, stand ya daladala Mbezi mwisho n mradı mzuri.N.k n.k.Mm niko Mbezi beach nımeyajua hayo, vp wewe mwanajimbo??Mshamba wewe umejifungia huko Masaburi, hautaki kujiendeleza unalıalıa ovyo.