George Bush
Member
- Sep 8, 2024
- 59
- 42
Mara baada ya kutangazwa kwa majina ya watiania wa Ubunge Jimbo la Lupa-Chunya Mkoani Mbeya,baada ya MAJINA yao kurudishwa kwa Wajumbe na Vikao vya Juu vya Chama cha Mapinduzi!
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Lupa -Chunya wamesema kuwa "Bado wanataka kwenda na Masache Kasaka" Mbunge wa sasa wa Jimbo hilo kutokana na KAZI kubwa aliyofanya katika kusukuma maemdeleo ya Jimbo hilo!
Mh MASACHE Kasaka mmoja wa Wabunge hodari na anayeongoza kwa kuchangia mijadala mingi Bungeni miongoni mwa Wabunge wa Mkoa wa Mbeya hasa katika kutetea Maendeleo ya Jimbo la Lupa,Mkoani Mbeya!
Baadhi ya Wajumbe waliohojiwa katika maeneo mbalimbali ya Jimbo hilo (Makongorosi,Chunya mjini,Chalangwa) wamekuwa na Imani kubwa na Serikali ya awamu ya Sita ya Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wao Mh MASACHE Kasaka!
Ndani ya kipindi cha miaka mitano shughuli za kiuchumi zimeongezeka jimboni humo na sekta ya Madini pamoja na tumbaku ambazo Mh Mbunge amekuwa akizipigania sana Bungeni zimeweza kuinua Uchumi wa Jimbo la Lupa!Miradi mingi imeendelea kutekelezwa ikiwemo ujenzi wa Shule za Sekondari,barabara,Maji na sekta ya afya kwa kasi kubwa!
Wajumbe hao wamesema hawaoni sababu ya kubadilisha "GIA" wakati tayari "gari limewaka" kimaendeleo!
SAMIA SULUHU HASSAN na Masache Kasaka,Mitano tena.