Mh. Zitto tunakuomba ugombee jimbo la Ubungo

Mh. Zitto tunakuomba ugombee jimbo la Ubungo

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
mm nikiwa .mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi
1. mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwez mzm hatuna maji ni mate so
2. barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawskataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baafhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hats ck moja ni majanga
5. vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi

6. wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari

niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani czani tutampa tena nfasi. mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo
 
Mnyika anajenga chama humu kanda ya ziwa , sasa hivi ubungo sio size yake ni mbunge wa kitaifa
 
Zitto atagombea ubunge kupitia jimbo la kigoma mjini hayo mengine ya kuomba agombee ubungo ni unafiki na umbea tuu.
 
hivi mbunge anatoa pesa toka mfukoni mwake kujenga chochote? wewe ni msaliti wa chama chetu ccm kwani unatuchonganisha na wananchi. uoni kama serikali yetu ndiyo inayopaswa kujenga hayo madaraja, kuleta maji na kadhalika ili kutekeleza ilani yetu ya chama cha mapinduzi. wabunge wote wa upinzani wanatekeleza ilani yetu na wewe ni ccm mwenzangu nakushangaa assadsyria3
 
Wanakigoma kwao ni kirusi sijui ninyi mnao jiita wanaubungo kwa kuhitaji hicho!
Kama ni hivyo basi mtaongozwa na shetani maana mnyika ni mbunge bora si tu ubungo bali kwa taifa zima la tanganyika.
 
Swala la Ajira muulize JK alisema atatoa ajira milioni moja bila kusahahu maisha bora kwa kila mtanzania. Kwa hiyo hapa naona unamsema Kikwete na Waziri wake wa maji (mzigo) Kinamna, umetusaidia sana kujua CCM walivyotutelekeza.... sasa kazi ni kwetu 2015. Viva Chadema, Viva Ukawa
 
Tukisema watanzania walio wengi ni matahi.ra wanasema tunajidharau.hv ni nani asiye jua mchango wa John mnyika ktk jitihada za kupeleka maji ubungo na bungeni kwa kutetea watanzania
 
Kule kigoma kaskazIn bado kunashida kubwa ya maji, miundombinu na matatizo mengi ya afya na elimu, ambazo Mp.nz wako zito alishidwa kuzitatuamiaka kumi ilopita.
 
Uzi unasema tunakuomba,badaye ndani ya uzi unasema wewe ndo unamuamba. Unajielewa kweli?
 
zito ubungo jimbo liko wazi,wanaubungo tunajua umuhimu wako ukitaka kuamn nnchomaanisha fanya research kidogo tu hapa ubungo
 
Mnyika anashnda barabaran eti anajenga chama mikoani. Kwake kuko hoi
 
Back
Top Bottom