Mh. Wenje umenitukania baba yangu

Mh. Wenje umenitukania baba yangu

Wenje amefanya unafiki na kutaka kujionesha kwamba ana msimamo mkali kwenye tv. Mimi nimeishi na waheshimiwa hawa hapo site ii area D Dodoma na nilichojifunza ni kwamba wabunge bila kujali vyama vyao wenyewe ni marafiki wakubwa, wanakula, kunywa pamoja. Je yeye Wenje hajawahi kukirimiwana mbunge wa CCM au mbunge wa chadema kumkirimu wa CCM. Je hii nayi ni rushwa Wenje. Acha kuwakashifu wenzio kuwafanya wana njaa sana wakati kuna wajumbe wana ukwasi zaidi yako.

Mkuu hapa tunaangalia muktadha,
 
Hahahahaa, kuna wimbo wa "Mtoto acha kupiga mayowe, acha watu waone wenyewe...."

Naona sasa unamgeuzia kibao na kumwambia "Mtoto acha kupiga mayowe, Mwache Baba ale RUSHWA....."

BTW: Umejuaje jamaa hajaenda Jando? Maana umeandika ni MTU MZIMA.
Baba ako tena? Kwani akiwa baba anakosa sifa za kupokea rushwa? Vingapi ambavyo baba ako anafanya na hujui? We unayofanya yote watoto wako wanajua?

Mambo mengine huhitaji kumsemea mtu, we mtu mzima bwana mwache mzee ale rushwa
 
Dah mkuu ungekufa tu natai shingoni kuliko kujitabulisha hpa jf ongea na ndingi mwambie enzi za unyerere umepitwa.na wakati alafu baba yako anaonekana alikunywa maji ya bendera ya ccm hata wewe akili yako ya kijani kijani
 
Makame Ebu elezea maana ya matusi,halafu uainishe matusi yaliyotolewa,

Alichokisema Wenje Ni Ukweli Mchungu,Ngumu Kumeza!!!
 
Makame makame wewe Tanganyika tunayotaka au baba ako kavuka bahari mwangika mkuu tukujue vzri
 
Makamee umejiongezea aibu sana! Yaani umedhihirisha umeshindwa kumlisha "Baba Yako" mpaka anamendea misosi ya bure! Aibu na iwe juu yako!

Ningekuwa wewe ningeondoa hii hoja na kuwaomba radhi wanajamvi!

Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.

Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.

Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.

Mh,WENJE kauli zako zinaudhi
 
Last edited by a moderator:
Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.

Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.

Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.

Mh,WENJE kauli zako zinaudhi
Mkuki kwa nguruwe,kwa binadamu mchungu! Nchi hii inahitaji watu wasema kweli kama mheshimiwa Wenje. Baba yako kapewa takrima ya chakula na pesa ndani ya bahasha ambazo kama hajazitumia kuhonga TOTOZ pale Chako ni Chako atazitumia kununua mguu wa mbuzi Mnadani na kukuletea wewe na wadogo zako siku atakapokuwa akirudi toka Dodoma!
 
Baba yako atakuwa ni yule sho---, Aliyetajwa na miguru nchemba jana bungeni.
 
Baba yangu namtambua vyema ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobaki ktk nchi hii.
Siamini kama chukula chaweza kumfanya abadili misimamo yake.

Kwa kuwa ni Mzazi wako, mi nikushauri tu umpigiye simu Kisha umuuliziye hizo tuhuma ili akunongoneza. Unachokifanya hakiwezi kudhibitisha Kama ni kweli au la! Ila Mzee wako kweli atakuwa anaujua. Ninawaza kwa sauti tu.
 
Mmh mi naona dhamira yoke ilikuwa kutujuza tu kuwa baba yke yu mjengoni jamanii....ha ha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom