zambez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 2,071
- 255
Who cares, sipendi matusi yako kua mstaarabu ndugu yangu.
katukanwa babako itakuwa wewe. Mh. Wenje njoo huku kuna kirusi mtoto...
Who cares, sipendi matusi yako kua mstaarabu ndugu yangu.
Kashtushwa na bei ya babake!!!!!!
Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.
Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.
Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.
Mh,WENJE kauli zako zinaudhi
Baba yangu namtambua vyema ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobaki ktk nchi hii.
Siamini kama chukula chaweza kumfanya abadili misimamo yake.
bei ya baba yake ni plate moja ya wali na sprite ya baridi. Teh teh teh teh. Verry stupd
Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.
Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.
Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.
Mh,WENJE kauli zako zinaudhi
Atajuta kuanzisha uzi!!!!