Mmh mi naona dhamira yoke ilikuwa kutujuza tu kuwa baba yke yu mjengoni jamanii....ha ha ha
Zingatia kwamba huenda mtu akatoa Rushwa lakini anayepokea ile Rushwa asiipokee kwa madhumuni ya kubadilisha kauli yake yeye akachukulia ni kama Ukarimu wakati anayetoa yeye akafanya hivyo ili kupata favor
By the way sisemi kilichotokea ni Rushwa au sio Rushwa au Wenje asingeweza kutumia maneno yaleyale kwa ustaarabu na kutokuwaudhi watu..., Just Stating the Facts
Baba yako ni hasara kabisa, msosi tu anaingia kingi
Hana jipya huyo,,,,,,,,,,,,,
lengo lake alitaka kutujulisha kuwa baba yake naye yuko kwenye bunge la katiba
its non of our business!! ,,,,,
Na wewe utasema ni mtu?Hana jipya huyo,,,,,,,,,,,,,
lengo lake alitaka kutujulisha kuwa baba yake naye yuko kwenye bunge la katiba
its non of our business!! ,,,,,
wali wa kuku na soda.Uko mbali na ukweli,nimekwambia baba yangu si mgeni ktk mijumuiko ya kisiasa na wala si limbukeni kuwepo bungeni. Ndo nashangaa hapo iweje atuhumiwe kuhongwa wali na vinywaji?
Na wewe utasema ni mtu?