Mh. Mbowe, Wenje ndani ya Uhuru Park - Nairobi

Mh. Mbowe, Wenje ndani ya Uhuru Park - Nairobi

Magamba roho inawauma makamanda kualikwa kwenye mkutano wa cord.
 
Naona Wenje yupo nyumbani kwao.

Nakumbuka wenje alikurupuka kumshutumu Magufuli kwenye kongamano la ODM , sasa sijui yeye kaalikwa leo au kajipeleka, sababu naona wametambulishwa tu ila hawajahutubia, Mkuki kwa nguruwe nilisema unafiki wa wenje ni mbaya sana
 
Angalia citzen tv ya kenya
kwenye kampeni za ODM wenje na mbowe wametambulishwa kama wageni toka TZ
na watapewe nafasi ya kusalimia soon....

Wewe sio Uhuru park Nairobi, wapo Tononoka Grounds Mombasa.
 
Wenje juzi alikuwa analalamika kwa nini Magufuli kaenda Kenya, leo zamu yake makamanda wote wapo kimya hawana la kusema lakini sishangai Wenje kwenda Kenya ni kwao aliishawapa mualiko mtoto wa Raila Odinga na Katibu Mkuu wa Odinga walikuja Mwanza kama ndugu zake.

Mkuu umekula lakini? Make Tangia saa 11 asubuhi uko humu
 
Jamani mbona simsikii Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA?

Je alikuwepo mahakamani pamoja na viongozi wenzie?

Je, Arusha yupo?

Yuko wapi??

Masikini!!
 
Kwenda kenya c kwamba ndo kwao na wenje ila kiukaribu wenje anatoka shirati rorya kilomita chache sana kufika kenya na raia wengi hapo ni wajaluo na ukiangalia wanachama wengi wa odm wanatoka nyanza ambao ni wajuluo kwaio mi naona ni utaratbu wa chama ndio ulioamua kwani mbowe nae ni mkenya acheni kukurupuka kutaja uraia wa watu bila kujua family background
 
Mkuu umekula lakini? Make Tangia saa 11 asubuhi uko humu

Mkuu uyu jamaaa Ana roho ya paka hafi, haugui, hachoki, hakomi na wala hakubali kushindwa. Namshauri Nnape amuongezee fungu maana anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana Unadhani kubisha ukweli ni kazi ndogo? Hapa hatoki mpaka Nnauye akague kazi kwanza Chezea Ritz utachoka

By Ritz
Wenje juzi alikuwa analalamika kwa nini Magufuli kaenda Kenya, leo zamu yake makamanda wote wapo kimya hawana la kusema lakini sishangai Wenje kwenda Kenya ni kwao aliishawapa mualiko mtoto wa Raila Odinga na Katibu Mkuu wa Odinga walikuja Mwanza kama ndugu zake.
 
Kweli CHADEMA inapendwa, kumbe tunajitanua Afrika Mashariki nzima kisera.............VIVA CDM..............
 
Wana Mwanza safari hii wamejipanga kumsimamisha Msukuma mwenzao.
 
Wenje juzi alikuwa analalamika kwa nini Magufuli kaenda Kenya, leo zamu yake makamanda wote wapo kimya hawana la kusema lakini sishangai Wenje kwenda Kenya ni kwao aliishawapa mualiko mtoto wa Raila Odinga na Katibu Mkuu wa Odinga walikuja Mwanza kama ndugu zake.
Ritz, Jasusi,

..wananchi walilalamikia matamshi aliyotoa Waziri Magufuli ktk mkutano wa ODM.

..hata hapa nilipo nina wasiwasi sana na matamshi watakayotoa Mbowe na Wenje ktk mkutano huo.

..kwa kweli angeenda John Mnyika au Wibroad Slaa roho yangu ingekuwa imetulia kwasababu hao nina uhakika na uwezo wao wa ku-moderate matamshi yao.
 
Last edited by a moderator:
Bro! Acha unafiki basi vipi kuhusu Kinana sijakusikia ukiwakanya Pro-Chadema wenzako...Wenje ni "Jaduong"

Pole na kazi Mkuu naona unazisaka za chrismass ila we jamaa yangu una roho ngumu dahh masalia wamekimbia ila salia wewe Nili papa Mhh toka juzi unafanya kazi mwenyewe kwenye mazingira hatarishi
 
Back
Top Bottom