Mh. Mbowe, Wenje ndani ya Uhuru Park - Nairobi

Mh. Mbowe, Wenje ndani ya Uhuru Park - Nairobi

Kama Wenje ni mkenya na akafanikiwa kuwa mbunge Tanzania basi hii ni mojawapo wa sababu nyingine ya kuiondoa CCM madarakani kwa kuwa utawala huu mbovu unaruhusu raia wa kigeni au wahamiaji haramu kushika nyadhifa huku wakiwa na usalama wa Taifa na vyombo vingine vya Dola

NOTE:
-Let me school you,wajaluo ni makabila yaliyopo Kenya na Tanzania kama Maasai's.Hawa ni raia wa nchi husika.Hakuna uraia wa kabila fulani.Tuache ubaguzi na upotoshaji(incase kama ulikua unafanya makusudi)

Watu wengine hawaelewi hata utumie utaalamu gani kuwaelewesha, wakati mwingine ni bora kukaa kimya inaweza kusaidia zaidi.
 
Kumbe Wenje ni mkenya aisee Wana mwanza ndo maana hajitumi kuendeleza jimbo manake anajua kwao Kenya
Mkenya achaguliwa kwa awamu ya pili kuongoza taifa tajiri duniani. Achane roho mbaya ubunge tu na uwaziri kivuli mnapiga kelele.
 
Mkulo - mmalawi
Nyalandu - mmarekani
Kinana - Msomali wenye Uraia wa Canada/UK
Ritz - Mkereketwa
 
Kuna wanasiasa uchwara hapa wa ajabu kweli. Leo eti hapa wanaonekana ni Watetezi wa chama wakati wao ndiyo walikuwa wabomoaji kijasusi mpaka hapo walipoona njama zao zinaelekea hazitafanikiwa kwa sababu njia waliyokuwa wanatumia ilikuwa haiwapi mafanikio na kuamua kujivua gamba la kijasusi kwa njia ya kuwa sucrifice other 'animal'.

Cha kushangaza hata hawana aibu na Watanzania tulivyo myopic, eti kwa sasa wanakuwa ni mashujaa. Kwa lipi?, in what sense?

Can we calculate the damage these people have done to the party. They haven't even say sorry to the party.

It's better to have flip flop politicians than spook politicians

 
Mkulo - mmalawi
Nyalandu - mmarekani
Kinana - Msomali wenye Uraia wa Canada/UK
Ritz - Mkereketwa

huyu wa nne ni mrundi kama ponda, sera zao ni kuchochea machafuko ya kidini na kikabila

wamekodiwa na chichiem, ingawa kwa tanzania hawataweza kamwe kufanikiwa
 
Kwenda kenya c kwamba ndo kwao na wenje ila kiukaribu wenje anatoka shirati rorya kilomita chache sana kufika kenya na raia wengi hapo ni wajaluo na ukiangalia wanachama wengi wa odm wanatoka nyanza ambao ni wajuluo kwaio mi naona ni utaratbu wa chama ndio ulioamua kwani mbowe nae ni mkenya acheni kukurupuka kutaja uraia wa watu bila kujua family background

Wenje kaenda kwa nafasi yake ya Mkurugenzi wa mambo ya nje Chadema.
 
naona wenje yupo nyumbani kwao.

hapo ndo unapokuja amini cdm hakuna viongozi ..juzi juzi mapovu machafu yamewatoka kumnanga pombe magufuli kuwa hakustahili kumfanyia kampeni odinga lakini leo wao hao hao chadema wakiwa na mwenyekiti wao wako kwenye kampeni ...teh teh teh....
 
Wenje juzi alikuwa analalamika kwa nini Magufuli kaenda Kenya, leo zamu yake makamanda wote wapo kimya hawana la kusema lakini sishangai Wenje kwenda Kenya ni kwao aliishawapa mualiko mtoto wa Raila Odinga na Katibu Mkuu wa Odinga walikuja Mwanza kama ndugu zake.

Acha tabia za uzushi kama shoga, wenje hajawahi kulamimika kuhusu suala hilo, hata logic haiji kwani maghufuli anahusika vipi na chadema atajuana na ccm yake ndo waliolalamika! bila shaka wewe ni mwanaume mchuma mboga!
 
JOKA KUU,
Kiitifaki Wenje ni mkurugenzi wa mambo ya nje na ni waziri kivuli wizara husika.Sasa ni the right person hapa.Najua kuna wale wabaguzi wa ukabila hawatamuona kama mkurugenzi au waziri kivuli wataona ujaluo wake tu.Tabia mbaya sana hii

-Mamlaka iliyomteua Wenje ilimuamini.Ofcourse Mnyika ni kutoka kitengo cha publicity na kama alistahili kuongezwa mtu wa tatu basi angefaa sana

-Mwenyekiti ni kiongozi mkuu wa chama.Ni symbol ya chama pia.Katika mikutano ya kimataifa hakuna asiyejua uwezo wake.Ni mgawanyo wa majukumu tu

-Hata hivyo CHADEMA kina uhusiano na ODM kwa kuwa ni kundi la vyama vya kidemokrasia Afrika

Mtazamo wa ODM na CHADEMA na historia ya harakati za mageuzi inawaweka katika mfanano wa kisiasa based on ideological correlation

Mkuu Ben Saanane huwa maandishi yako nayasoma mara mbili mbili kama ninavyosoma biblia yangu.Huwa nakufananishaga na comrade Patrick Lumumba.Keep it up broe..!
 
Last edited by a moderator:
Na 2015 wenje hapiti ,2015 tunataka msukuma mwenzetu sio mtu wa kuja toka kenya
 
Duh mtani Ritz.Si nimejibu?Acha gutter...!
Saanane, Masalia wanapumulia mashine, ukiweza kuingia tu ICU akanyofoa mipira basi kwisha. Sidhani kama Uongozi Taifa watanyofoa mipira. Ritz anakuchelewesha kwa kutaka mahojiano nawe hajui jamaa wanazidi kuumia. Nashauri akuache ukamalizie uhai wa jamaa wapumzike kwa amani kuliko kuendelea kuwatesa.
 
Hii imekaaje? mimi sio mwanasheria ial kisheria ni sawa? iwapo ODM isishinde huko Kenya na kwetu CHADEMA iakshinda je ushirikiano wa nchi hizi mbili utakuwaje?

DSC07600-508x600.jpg
 
Hii imekaaje? mimi sio mwanasheria ial kisheria ni sawa? iwapo ODM isishinde huko Kenya na kwetu CHADEMA iakshinda je ushirikiano wa nchi hizi mbili utakuwaje?

What's the problem? Chama chochote kitakachoshinda huko Kenya (hata kama sio ODM) kitaunda "Serikali ya Jamhuri ya Kenya - SJK" na kitakachoshinda Tanzania (hata kama kitakuwa Chadema) kitaunda Serikali ya "Jamhuri ya Tanzania - SJT".

Mashirikiano ya nchi hizi mbili ni kati ya SJK na SJT na sio vinginevyo. Hivyo mimi sioni tatizo lolote ukiacha lile lililoletwa na Magufuli kama kiongozi katika SJT kusimama kwenye majukwaa ya kisiasa. Kama ni mkenge katuingiza Magufuli na sio Chadema.
 
Hii imekaaje? mimi sio mwanasheria ial kisheria ni sawa? iwapo ODM isishinde huko Kenya na kwetu CHADEMA iakshinda je ushirikiano wa nchi hizi mbili utakuwaje?

DSC07600-508x600.jpg

Lakini HAUKUONA WAZIRI wa CCM alipokwenda KUHUTUBIA MKUTANO MKUU wa ODM KISUMU? na KUTUMA salamu toka kwa CHAMA TAWALA??? kwanini HAUSOMI HABARI kwanza kabla ya kuweka HII HABARI??
 
Back
Top Bottom