Mh. Mbowe, Wenje ndani ya Uhuru Park - Nairobi

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,314
Angalia citzen tv ya kenya kwenye kampeni za ODM wenje na mbowe wametambulishwa kama wageni toka TZ na watapewe nafasi ya kusalimia soon....
 
sawa sawa MC hajakosea.. ni mwenyekiti wa chama cha umma CHADEMA
 
Mbona kuna thread ilsema atakuwepo arusha?
 
Wenje juzi alikuwa analalamika kwa nini Magufuli kaenda Kenya, leo zamu yake makamanda wote wapo kimya hawana la kusema lakini sishangai Wenje kwenda Kenya ni kwao aliishawapa mualiko mtoto wa Raila Odinga na Katibu Mkuu wa Odinga walikuja Mwanza kama ndugu zake.
 
Hakuna aliyelalamika Magufuli kwenda Kenya , ila hoja ilikuwa je? Alitumwa na serikali? Aliyoyasema yalikuwa msimamo wa serikali? Na mpaka leo hakuna jibu ambalo limetolewa na serikali la kumtuma ama kutomtuma , silence means walimtuma na hivyo msimamo wa serikali ni kuwa Kenya hawatashirikiana na mtu mwingine kama sio Raila............u got me
 
Wenje juzi alikuwa analalamika kwa nini Magufuli kaenda Kenya, leo zamu yake makamanda wote wapo kimya hawana la kusema lakini sishangai Wenje kwenda Kenya ni kwao aliishawapa mualiko mtoto wa Raila Odinga na Katibu Mkuu wa Odinga walikuja Mwanza kama ndugu zake.

najua huna akili,lakn kwa hli tafaadhli naombe utofautishe position ya maghufur na wenje ktk serikari yenu.
 
Wamealikwa kama marafiki wa Odinga, au viongozi wa CDM? Juzi alialikwa Magufuli huko!
 
Kumbe Wenje ni mkenya aisee Wana mwanza ndo maana hajitumi kuendeleza jimbo manake anajua kwao Kenya
 
MAKAMANDA!!!!

Huko kwenye uwanja wa UHURU PARK, CORD RALLY wimbo wa CHADEMA peoples Power ndiyo kibwagizo cha kampeni.
 
Odm for kenya. Cdm for tanganyika.adc for znz. Ccm,cuf,nccr,udp and others will soon died.
 
Wenje juzi alikuwa analalamika kwa nini Magufuli kaenda Kenya, leo zamu yake makamanda wote wapo kimya hawana la kusema lakini sishangai Wenje kwenda Kenya ni kwao aliishawapa mualiko mtoto wa Raila Odinga na Katibu Mkuu wa Odinga walikuja Mwanza kama ndugu zake.

ODM,ni chama makini,chadema wamealikwa kama chama rafiki,mbona hata ccm huwa wanawaalika wachina na majuzi tumeshuhudia wana ccm wakiwaalika wana ANC.wenje sio mkenya ni mjaluo,wajaluo wametapakaa dunia nzima,DRC,UGANDA,NAIJERIA,USA NK.hapo ndugu umekosea acha porojo inawauma eti eh? Wenje kupiga kelele magufuri kwenda kenya alitaka watanzania wajue kaenda kama rafiki au kaiwakilisha serikali?kwa umb umbumbu wa ccm walishindwa kufafanua swala simpo kama lile.
 
Back
Top Bottom