Mh. Mbowe, Wenje ndani ya Uhuru Park - Nairobi

Ritz, Jasusi,

..wananchi walilalamikia matamshi aliyotoa Waziri Magufuli ktk mkutano wa ODM.

..hata hapa nilipo nina wasiwasi sana na matamshi watakayotoa Mbowe na Wenje ktk mkutano huo.

..kwa kweli angeenda John Mnyika au Wibroad Slaa roho yangu ingekuwa imetulia kwasababu hao nina uhakika na uwezo wao wa ku-moderate matamshi yao.
JOKA KUU,
Kiitifaki Wenje ni mkurugenzi wa mambo ya nje na ni waziri kivuli wizara husika.Sasa ni the right person hapa.Najua kuna wale wabaguzi wa ukabila hawatamuona kama mkurugenzi au waziri kivuli wataona ujaluo wake tu.Tabia mbaya sana hii

-Mamlaka iliyomteua Wenje ilimuamini.Ofcourse Mnyika ni kutoka kitengo cha publicity na kama alistahili kuongezwa mtu wa tatu basi angefaa sana

-Mwenyekiti ni kiongozi mkuu wa chama.Ni symbol ya chama pia.Katika mikutano ya kimataifa hakuna asiyejua uwezo wake.Ni mgawanyo wa majukumu tu

-Hata hivyo CHADEMA kina uhusiano na ODM kwa kuwa ni kundi la vyama vya kidemokrasia Afrika

Mtazamo wa ODM na CHADEMA na historia ya harakati za mageuzi inawaweka katika mfanano wa kisiasa based on ideological correlation
 
Last edited by a moderator:
CCM walimshitaki Wenje kuwa ni Mkenya; alishinda Kesi lakini bado wanalaumu! Oh! Wenje ni Mkenya...
 
Ben Saanane,

..ninachoogopa mimi ni CDM kurudia ule utumbo aliotoa Magufuli, au Kalonzo Musyoka alipokuja hapa mwaka 2010.

..lets hope kwamba Mbowe na Wenje hawatatutia wa-Tanzania aibu kama alivyofanya waziri John Magufuli.
 
Last edited by a moderator:
JOKA KUU,
Kiitifaki Wenje ni mkurugenzi wa mambo ya nje na ni waziri kivuli wizara husika.Sasa ni the right person hapa.Najua kuna wale wabaguzi wa ukabila hawatamuona kama mkurugenzi au waziri kivuli wataona ujaluo wake tu.Tabia mbaya sana hii

-Mamlaka iliyomteua Wenje ilimuamini.Ofcourse Mnyika ni kutoka kitengo cha publicity na kama alistahili kuongezwa mtu wa tatu basi angefaa sana

-Mwenyekiti ni kiongozi mkuu wa chama.Ni symbol ya chama pia.Katika mikutano ya kimataifa hakuna asiyejua uwezo wake.Ni mgawanyo wa majukumu tu

-Hata hivyo CHADEMA kina uhusiano na ODM kwa kuwa ni kundi la vyama vya kidemokrasia Afrika

Mtazamo wa ODM na CHADEMA na historia ya harakati za mageuzi inawaweka katika mfanano wa kisiasa based on ideological correlation
Mkuu umesomeka Kama ile issue ya kigagula
 
Kumbe Wenje ni mkenya aisee Wana mwanza ndo maana hajitumi kuendeleza jimbo manake anajua kwao Kenya

Vipi yule katibu mkuu wa ccm aka Kxnaxna, yeye vipi? maana hakuna mbegu za kitanzania za namna ile afadhali mbegu za kikenya zinafanana (bantuism). kulikosekama kabisa aina ya mbegu nyingine mapaka mkaokoteleza? nendeni kule kwao hata ukatibu kata huwezi kupewa, kwa kweli tunahitaji brain washed.
 
Wanasiasa wa Tanzania kula matapishi yao ni kitu cha kawaida kabisa.

Wenje juzi alikuwa analalamika kwa nini Magufuli kaenda Kenya, leo zamu yake makamanda wote wapo kimya hawana la kusema lakini sishangai Wenje kwenda Kenya ni kwao aliishawapa mualiko mtoto wa Raila Odinga na Katibu Mkuu wa Odinga walikuja Mwanza kama ndugu zake.

CHADEMA: Magufuli kumuunga mkono Raila ni CCM kuwa mgombea Kenya?

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Ezekiel Wenje[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]John Magufuli[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kueleza kama msimamo alioutoa katika kampeni za Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga ni wa Serikali au wake.Chama hicho kimesema kuwa msimamo alioutoa Magufuli wa kuunga mkono Chama cha ODM ni hatari kwa Tanzania hasa katika uhusiano na nchi hiyo na ni kinyume na mkataba wa kimataifa wa Rome.

Pia kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kueleza kama alimtuma Magufuli katika mkutano huo wa kampeni uliofanyika Desemba 7 mwaka huu, uwanja wa Kasarani na kusema Watanzania wanaunga mkono ODM au la.Msimamo huo wa Chadema ulitolewa jana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa chama hicho, Ezekieah Wenje.

“Hatujui kama Magufuli alikwenda Kenya kama Serikali au alikuwa amekwenda kama rafiki. Hilo linatupa wasiwasi kwa kuwa hotuba yake ilionekana kama ametumwa na Serikali,” alisema Wenje na kuongeza;

“Alichukua upande katika siasa za Kenya, alimsifia sana Odinga kwamba Tanzania wanampenda wakati kuna mikataba ya kimataifa inayokataza nchi nyingine kuingilia siasa za nchi nyingine kama ilivyoelezwa kwenye Rome Statute.”

Wenje alisema kutokana na hilo ambalo Magufuli amefanya itakuwa mbaya kama mgombea wa chama kingine atashinda nchini Kenya kwa kuwa imeshajionyesha kuwa Tanzania inamuunga mkono Odinga. “Waziri kuchukua upande kwenye siasa za Kenya ni hatari kwa taifa letu na Watanzania wanaishi nchini Kenya.
Itakuwa ni matatizo kwao na hata machafuko yakitokea Tanzania inaweza kuonekana ni chanzo,” alisema Wenje.Alisema ni muhimu Rais Kikwete akaeleza umma kama alimtuma Magufuli Kenya au la ili ujumbe alioutoa ujulikane ni wa nani kwa sababu kama alichokisema ni msimamo wa Serikali basi alitumwa na Rais Kikwete.

Alisema ni muhimu ikajulikana alitumwa na nani kwani taarifa ambazo Chadema inazo ni kwamba CCM hawakualikwa kwenye mkutano huo.“Kama Kenyatta(Uhuru) akishinda humuoni kama italeta shida hapo baadaye? alihoji Wenje.Alisema ni muhimu Serikali ikajua kwamba Rais wa Kenya atachaguliwa na Wakenya wenyewe na si vinginevyo.

Magufuli alipotafutwa kuzungumzia suala hilo hakupatikana kwa simu yake ilikuwa ikiita tu bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe ili atoe ufafanuzi hakujibu chochote.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda hakupatikana jana kuzungumzia suala hilo, baada ya simu yake ya mkononi kutoita na taarifa zilizopatikana baadaye kutoka kwa mwandishi wake msaidizi, Irene Bwire, zilieleza kuwa alikuwa kwenye kikao cha baraza la Mawaziri.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape aling’aka akitaka waulizwe ODM ili waeleze walimwalika Magufuli kwa wadhifa upo.“Sikiliza siwezi kuzungumzia suala la ... kama Wenje, kwani itakuwa tunafanya majibizano, we waeleze alipopigiwa Nape alisema waulizwe ODM walimwalika nani,” alisema Nnauye na kuongeza;

Desemba 7 mwaka huu, Magufuli aliungana na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsavangirai kumpigia debe Odinga, huku akieleza kuwa mwasiasa huyo mkongwe nchini Kenya ndiye anayestahili kuwa Rais wa nchi hiyo.Alisema hakuna sababu zozote za zitakazowafanya Wakenya wasimchague Odinga kwa kuwa ni mcha mungu, hivyo wanatakiwa kujua hilo.
“Nataka kuwaambia Wakenya kwamba Odinga ni mcha Mungu, mnatakiwa kujua hilo. Kama mimi ningekuwa Mkenya ningempigia Odinga kura ili aongoze nchi. Lakini siruhusiwi hata kupiga kura basi nawambia msiache kumchagua huyu atawaongozeni vizuri,”alisema Magufuli.

Magufuli alisema katika wagombea wote waliojitokeza kuwania kiti cha urais nchini Kenya, hakuna anayemfikia Odinga na hiyo inaonyesha kuwa wakimchagua atawasaidia bila ubaguzi.

Alisema na hata Idinga ambaye ni Waziri Mkuu wa Kenya na mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Orange Democratic Party (ODM), ataamua kugombea ubunge katika jimbo lake la Chato, yeye hawezu kumshinda.

“Kwa hiyo nasimama hapa ndugu zangu wana ODM kuwapa pongezi kubwa sana, mmmefanya kitu kikubwa sana kwa sababu mmechagua jembe,” alisema.
Huku akishangiliwa na maelfu ya wajumbe wa mkutano huo, Magufuli alisema kama angekuwa akipiga kura angempa Odinga kura zake zote kwa sababu ni mtu mwenye upendo, uvumilivu, asiye na makuu, sio mbaguzi na anayependa kushirikiana na watu wote.

Aliongeza kuwa Odinga ni mpenda amani na kusisitiza kuwa amelisema hilo kwa sababu amani ni muhimu katika maendeleo ya Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.

Source: Mwananchi

Wenje the Kenyan, yuko nyumbani hapo tehe tehe tehe tehe

Kama Wenje ni mkenya na akafanikiwa kuwa mbunge Tanzania basi hii ni mojawapo wa sababu nyingine ya kuiondoa CCM madarakani kwa kuwa utawala huu mbovu unaruhusu raia wa kigeni au wahamiaji haramu kushika nyadhifa huku wakiwa na usalama wa Taifa na vyombo vingine vya Dola

NOTE:
-Let me school you,wajaluo ni makabila yaliyopo Kenya na Tanzania kama Maasai's.Hawa ni raia wa nchi husika.Hakuna uraia wa kabila fulani.Tuache ubaguzi na upotoshaji(incase kama ulikua unafanya makusudi)
 
Jamani mbona simsikii Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA?

Je alikuwepo mahakamani pamoja na viongozi wenzie?

Je, Arusha yupo?

Yuko wapi??

Masikini!!

juko na juliana wanamwekea maneno mdomoni ya kuandika na kusema maana akilipuka anajilipuaga na wao akimaliza ndo anagundua
 
JOKA KUU,
Kiitifaki Wenje ni mkurugenzi wa mambo ya nje na ni waziri kivuli wizara husika.Sasa ni the right person hapa.Najua kuna wale wabaguzi wa ukabila hawatamuona kama mkurugenzi au waziri kivuli wataona ujaluo wake tu.Tabia mbaya sana hii

-Mamlaka iliyomteua Wenje ilimuamini.Ofcourse Mnyika ni kutoka kitengo cha publicity na kama alistahili kuongezwa mtu wa tatu basi angefaa sana

-Mwenyekiti ni kiongozi mkuu wa chama.Ni symbol ya chama pia.Katika mikutano ya kimataifa hakuna asiyejua uwezo wake.Ni mgawanyo wa majukumu tu

-Hata hivyo CHADEMA kina uhusiano na ODM kwa kuwa ni kundi la vyama vya kidemokrasia Afrika

Mtazamo wa ODM na CHADEMA na historia ya harakati za mageuzi inawaweka katika mfanano wa kisiasa based on ideological correlation
Kamanda wa kikosi cha kulipua WASALITI NA WANAFIKI NAKUKUBALI JASUSI MZALENDO BEN WEEK HII SITAISAHAU TANGIA UWALIPUE ID 20 HATUZIONI WALA MICHANGO YAO angalau umewafanya week wakajiunga kwa majina yao wakaanza nao kujilipua
 
Kama Wenje ni mkenya na akafanikiwa kuwa mbunge Tanzania basi hii ni mojawapo wa sababu nyingine ya kuiondoa CCM madarakani kwa kuwa utawala huu mbovu unaruhusu raia wa kigeni au wahamiaji haramu kushika nyadhifa huku wakiwa na usalama wa Taifa na vyombo vingine vya Dola

NOTE:
-Let me school you,wajaluo ni makabila yaliyopo Kenya na Tanzania kama Maasai's.Hawa ni raia wa nchi husika.Hakuna uraia wa kabila fulani.Tuache ubaguzi na upotoshaji(incase kama ulikua unafanya makusudi)

bwana Ben Saanane, kwa kabila ulilolitaja linajadilika, tupe mustakabali juu ya kabila la kisomali, nalo lipo kwenye mfano wako? funguka juu ya kinana, zingatia pia rekodi yake mbaya kwa nyara za taifa letu. Ametuthibitishia meli zake zilibeba pembe/meno za/ya tembo.
 
Hahaha! Unajua Ben tangu majuzi hapa watu wengi wanavutiwa sana na posts zako! Especially wale wanaotaka Ukombozi wa Pili wa Nchi yetu hii ambayo ina kila sababu ya kuwa tajiri lakini cha kushangaza ni maskini wa kutupwa

Vipi Mkuu lile sakata la Masalia - ndo linazimika kimya kimya?
 
Last edited by a moderator:
shughuli imeshaisha muda mrefu tu....sio wenje wala mbowe aliopewa nafasi ya kusalimia....
Raila kakusanya nyomi la kutosha kuliko Tononoka kwa Uhuru...
 
bwana Ben Saanane, kwa kabila ulilolitaja linajadilika, tupe mustakabali juu ya kabila la kisomali, nalo lipo kwenye mfano wako? funguka juu ya kinana, zingatia pia rekodi yake mbaya kwa nyara za taifa letu. Ametuthibitishia meli zake zilibeba pembe/meno za/ya tembo.

Kwa kabila la katibu mkuu wa CCM linajadilika kwa kuwa CCM wako tayari kufanya lolote hata kuajiri mamluki ilimradi wabakie madarakani.Kama wanaweza kuruhusu Hela za EPA zitumike kugharamia uchaguzi wao kama ilivyodaiwa ni kitu ghani watashindwa kufanya?

Na kwa jinsi walivyo hawawezi kuruhusu mbunge wa CHADEMA mwenye utata awepo katika political landscape.Wangepiga kelele na ingekua ajenda yao.Kumbuka ajenda ya TISS ni kushughulikia upinzani kwa hiyo kama wameshindwa hata kwenye ajenda ya Msingi kwao basi inaendelea kujadilika kwamba ni sababu tosha ya kuwaondoa madarakani
 
Last edited by a moderator:
Hahaha! Unajua Ben tangu majuzi hapa watu wengi wanavutiwa sana na posts zako! Especially wale wanaotaka Ukombozi wa Pili wa Nchi yetu hii ambayo ina kila sababu ya kuwa tajiri lakini cha kushangaza ni maskini wa kutupwa

Vipi Mkuu lile sakata la Masalia - ndo linazimika kimya kimya?

Asante.Halizimiki....However,Rejea thread yangu ilee
 
Last edited by a moderator:
Wanasiasa wa Tanzania kula matapishi yao ni kitu cha kawaida kabisa.

CHADEMA: Magufuli kumuunga mkono Raila ni CCM kuwa mgombea Kenya?

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Ezekiel Wenje[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]John Magufuli[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kueleza kama msimamo alioutoa katika kampeni za Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga ni wa Serikali au wake.Chama hicho kimesema kuwa msimamo alioutoa Magufuli wa kuunga mkono Chama cha ODM ni hatari kwa Tanzania hasa katika uhusiano na nchi hiyo na ni kinyume na mkataba wa kimataifa wa Rome.

Pia kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kueleza kama alimtuma Magufuli katika mkutano huo wa kampeni uliofanyika Desemba 7 mwaka huu, uwanja wa Kasarani na kusema Watanzania wanaunga mkono ODM au la.Msimamo huo wa Chadema ulitolewa jana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa chama hicho, Ezekieah Wenje.

Hatujui kama Magufuli alikwenda Kenya kama Serikali au alikuwa amekwenda kama rafiki. Hilo linatupa wasiwasi kwa kuwa hotuba yake ilionekana kama ametumwa na Serikali, alisema Wenje na kuongeza;

Alichukua upande katika siasa za Kenya, alimsifia sana Odinga kwamba Tanzania wanampenda wakati kuna mikataba ya kimataifa inayokataza nchi nyingine kuingilia siasa za nchi nyingine kama ilivyoelezwa kwenye Rome Statute.

Wenje alisema kutokana na hilo ambalo Magufuli amefanya itakuwa mbaya kama mgombea wa chama kingine atashinda nchini Kenya kwa kuwa imeshajionyesha kuwa Tanzania inamuunga mkono Odinga. Waziri kuchukua upande kwenye siasa za Kenya ni hatari kwa taifa letu na Watanzania wanaishi nchini Kenya.
Itakuwa ni matatizo kwao na hata machafuko yakitokea Tanzania inaweza kuonekana ni chanzo, alisema Wenje.Alisema ni muhimu Rais Kikwete akaeleza umma kama alimtuma Magufuli Kenya au la ili ujumbe alioutoa ujulikane ni wa nani kwa sababu kama alichokisema ni msimamo wa Serikali basi alitumwa na Rais Kikwete.

Alisema ni muhimu ikajulikana alitumwa na nani kwani taarifa ambazo Chadema inazo ni kwamba CCM hawakualikwa kwenye mkutano huo.Kama Kenyatta(Uhuru) akishinda humuoni kama italeta shida hapo baadaye? alihoji Wenje.Alisema ni muhimu Serikali ikajua kwamba Rais wa Kenya atachaguliwa na Wakenya wenyewe na si vinginevyo.

Magufuli alipotafutwa kuzungumzia suala hilo hakupatikana kwa simu yake ilikuwa ikiita tu bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe ili atoe ufafanuzi hakujibu chochote.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda hakupatikana jana kuzungumzia suala hilo, baada ya simu yake ya mkononi kutoita na taarifa zilizopatikana baadaye kutoka kwa mwandishi wake msaidizi, Irene Bwire, zilieleza kuwa alikuwa kwenye kikao cha baraza la Mawaziri.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape alingaka akitaka waulizwe ODM ili waeleze walimwalika Magufuli kwa wadhifa upo.Sikiliza siwezi kuzungumzia suala la ... kama Wenje, kwani itakuwa tunafanya majibizano, we waeleze alipopigiwa Nape alisema waulizwe ODM walimwalika nani, alisema Nnauye na kuongeza;

Desemba 7 mwaka huu, Magufuli aliungana na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsavangirai kumpigia debe Odinga, huku akieleza kuwa mwasiasa huyo mkongwe nchini Kenya ndiye anayestahili kuwa Rais wa nchi hiyo.Alisema hakuna sababu zozote za zitakazowafanya Wakenya wasimchague Odinga kwa kuwa ni mcha mungu, hivyo wanatakiwa kujua hilo.
Nataka kuwaambia Wakenya kwamba Odinga ni mcha Mungu, mnatakiwa kujua hilo. Kama mimi ningekuwa Mkenya ningempigia Odinga kura ili aongoze nchi. Lakini siruhusiwi hata kupiga kura basi nawambia msiache kumchagua huyu atawaongozeni vizuri,alisema Magufuli.

Magufuli alisema katika wagombea wote waliojitokeza kuwania kiti cha urais nchini Kenya, hakuna anayemfikia Odinga na hiyo inaonyesha kuwa wakimchagua atawasaidia bila ubaguzi.

Alisema na hata Idinga ambaye ni Waziri Mkuu wa Kenya na mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Orange Democratic Party (ODM), ataamua kugombea ubunge katika jimbo lake la Chato, yeye hawezu kumshinda.

Kwa hiyo nasimama hapa ndugu zangu wana ODM kuwapa pongezi kubwa sana, mmmefanya kitu kikubwa sana kwa sababu mmechagua jembe, alisema.
Huku akishangiliwa na maelfu ya wajumbe wa mkutano huo, Magufuli alisema kama angekuwa akipiga kura angempa Odinga kura zake zote kwa sababu ni mtu mwenye upendo, uvumilivu, asiye na makuu, sio mbaguzi na anayependa kushirikiana na watu wote.

Aliongeza kuwa Odinga ni mpenda amani na kusisitiza kuwa amelisema hilo kwa sababu amani ni muhimu katika maendeleo ya Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.

Source: Mwananchi

Cc..to JokaKuu, Ben Saanane, Jasusi,
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

..matamshi aliyotoa Magufuli yalivuka mpaka.

..naweza kusema huenda hata Odinga mwenyewe alikuwa uncomfortable na matamshi ya Magufuli.

..tunachoomba hapa CDM wasiropoke kama alivyofanya Magufuli na kupelekea wa-Tanzania kuonekana vichwa maji.
 
Last edited by a moderator:
bwana Ben Saanane, kwa kabila ulilolitaja linajadilika, tupe mustakabali juu ya kabila la kisomali, nalo lipo kwenye mfano wako? funguka juu ya kinana, zingatia pia rekodi yake mbaya kwa nyara za taifa letu. Ametuthibitishia meli zake zilibeba pembe/meno za/ya tembo.

Kesi ya Nguchiro unampelekea Koboko.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom