Rhetorical Hogwash.........!Ben yule unae mkuwadia ni MUIRAQ na ww ni informer wake na wairaq si unajua kwao ni wapi>?
Mkuu kumbuka vyama vya demokrasia vina umoja wao,CHADEMA ni rafiki mkubwa wa Orange Democratic Movement(ODM),kwa hiyo hili si la ajabu!kinachoshangaza urafiki wa CCM na ODM umeanza lini?ndiyo maana ilileta minong'ono mingi Magufuri alipokwenda kenya!Wenje juzi alikuwa analalamika kwa nini Magufuli kaenda Kenya, leo zamu yake makamanda wote wapo kimya hawana la kusema lakini sishangai Wenje kwenda Kenya ni kwao aliishawapa mualiko mtoto wa Raila Odinga na Katibu Mkuu wa Odinga walikuja Mwanza kama ndugu zake.
Mkuu kushinda kwa Obama hakuhiathiri chochote Israel pamoja na waziri mkuu wake,labda kama hujui vizuri uhusiano uliopo kati ya Marekani na Israel!Mkumbuke yaliyomkuta Netanyahu. Romney alipoenda Israel PM Netanyahu kwa akili zake fupi alimfagilia Romney openly dhidi ya Obama akijua jaluo angelost sasa amekuwa mdogo kama sisimizi
Hata mimi nimeoa mjaluo wa musoma. Wenje ni shemeji yangu kama ilivyo kwa odinga na wengine. Tena mamsapu wangu cyo mkenya ni mtanzania. Ila mababu zao walitoka kenya. Kila kabila lina historia yake ndefu. Kwa mfano wangoni wametokea South Africa. Wapogoro kiasiri ni wangoni. Kama ilivyo kwa wanyakyusa na wengine. Kwa hiyo tusichague kiongozi yeyote mngoni kama ilivyo kwa John komba kisa wana asili ya South. Tumieni ubongo nyinyi vijana msikurupuke.ODM,ni chama makini,chadema wamealikwa kama chama rafiki,mbona hata ccm huwa wanawaalika wachina na majuzi tumeshuhudia wana ccm wakiwaalika wana ANC.wenje sio mkenya ni mjaluo,wajaluo wametapakaa dunia nzima,DRC,UGANDA,NAIJERIA,USA NK.hapo ndugu umekosea acha porojo inawauma eti eh? Wenje kupiga kelele magufuri kwenda kenya alitaka watanzania wajue kaenda kama rafiki au kaiwakilisha serikali?kwa umb umbumbu wa ccm walishindwa kufafanua swala simpo kama lile.