Lyimo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,826
- 2,023
Mbona CDM ama CCM ni rafiki wa vyama ambavyo sasa haviundi serikali nchini mwao ila bado tunamahusiano mzuri sana wa kiserikali hata kuwa na mabalozi nchi hizo? Kuwa chama rafiki havihusiani na ushirika wa kiserikali. Watu walipiga kelele kwa Mh. JPJ Magufuli wakitaka kujua ule mwaliko wake ulikuwa kichama ama kiserikali ambapo hadi sasa hatujafafanuliwa.