Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Ninafuatilia bunge jioni hii SUGU amesema serikali ni ya wapumbavu, Kigwangala yeye kawaita wabunge wa CHADEMA wapuuzi kisa walikuwa wanamzomea,kwa kifupi wabunge wengi hawajadili hoja za msingi na badala yake wanajadili mambo ya vyama vyao ,bunge limejaa vijembe na upuuzi mwingine.

Kwa bunge letu hili tuna haki ya kuwa maskini milele.

Mkuu hapa dawa ni moja tu ya kutuondoa ktk huo umaskini wa milele, dawa hiyo ni kukikataa chama kinacho ongoza serikali yenye viongozi wasio na muono wa mbali, viongozi wasiokubali kukosolewa hata pale wanapokosea, viongozi waiokuwa tayari kuwajibika pale mamlaka zao zinapokosea, viongozi wa chukua chako mapema, viongozi wa elimu za kuunga unga.
Hapo mkuu ndo tutauacha umaskini tulionao.
 
Ndio huwa namkubali Zitto, huwezi kusikia anaongea upuuzi upuuzi Bungeni.
Kwa hiyo wale wabunge wa CCM waliomtimua bungeni mwaka 2007 walikuwa vichaa wakiongozwa na Mudhihir, Malecela na Karamagi? Aliposema Mh. Sumari (R.I.P) ametoa kauli za hovyo hovyo kwanini CCM walipanic wakiongozwa na Mabumba? Unafiki mtupu
 
ha haaaa, I hope chai aliyokunywa asubuhi kabla hajaenda bungeni hakutengenezewa na mlongo wangu snowhite.....
namuaminia sana ndugu yangu huyu kwa yale mambo yao, lol!
sometimes ni bora kujifanya chizi lakini ujumbe unafika, lol!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa dawa ni moja tu ya kutuondoa ktk huo umaskini wa milele, dawa hiyo ni kukikataa chama kinacho ongoza serikali yenye viongozi wasio na muono wa mbali, viongozi wasiokubali kukosolewa hata pale wanapokosea, viongozi waiokuwa tayari kuwajibika pale mamlaka zao zinapokosea, viongozi wa chukua chako mapema, viongozi wa elimu za kuunga unga.
Hapo mkuu ndo tutauacha umaskini tulionao.

Ni kiongozi gani wa CHADEMA aliyewahi kujiwajibisha/kuwajibika? Unaifahamu elimu ya Mh. Mbowe?
 
M4C yamtisha Kigwangalla, amesema chadema wakienda jimboni kwake ataliomba jeshi la polis liwadhiti.

polisi wakishindwa anawashawishi wananchi, wananchi wakishindwa anawadhibiti mwenyewe.

hivi huyu anauwezo wa kuwazuia chadema kweli.? ikiwa Bashe tu, anamnyima usingizi.!!
Unajua nini? Siasa za majukwaani hawaziwezi tena. Wamegeuza bunge kuwa jukwaa lao la siasa.
 
bahati mbaya wabunge wanajadili bajeti kiini macho............ huku wapumbavu tayari walishaandaa bajeti kama kawaida yao!!
ndiyo maana kina Lameki Madelu wanapata muda wa kuropoka upumbavu badala ya kujadili bajeti
 
CHADEMA ni genge la wahuni.

“Dear Guest, Welcome to the UAE.
Enjoy the best network coverage
and other unmatched services only
with Etisalat. Please use<+> or
<00>before the country code for
international calls. For directory services call 181, for availability of
GPRS, MMS 3G roaming services call
Etisalat Travellers help line 8002300
& for inquiries on Tourism,
entertainment, shopping, etc call
7000-1-7000(Roaming rates apply) Have a pleasant stay in the UAE.”
 
Sugu moto chini tanla lalalaaaaaaaaaaa ni moto chini........Nafika mpaka bamaco sio tu san fransisco huko kote nafika katika kutafuta mshiko sitaki tena amani ktk dili feki sugu sasa namiliki bunduki.......wako wapi walionicheka shuleni nilipofeli 93 nipo boarder naitafuta south africa leo hii najichanganya tu zangu america leo hii maisha yamechange leo ndani ya terrano kesho ni VX au Range......


 
Upinzani haupewi mda kabisa na mama kila chama chake kikiguswa anakuja juu balaa....ila ujunbe wa sugu umefika
 
Wanajadili bajeti hewa. Lazima ipite hata ikawaje na ndio maana wapinzani wanajadili mambo nje ya bajeti. Nafikiri tunapepo hii nch.
 
Back
Top Bottom