Walikutukana wewe pamoja na makamanda wote wa cdm lakini adhabu tumetoa sisi wananchi na sasa una amani ya maisha na mungu atazidi kukubariki. Hakuna haja ya kujibizana na mjinga nawe utaonekaa mjinga. Wakilisha tulichokutuma mjengoni, achana na siasa za majitaka za wachovu wa kufikri kama Anne Kilango na Kibajaji hubiri amani ya watanzania maskini na ututee vyema kuelekea kwenye ukombozi wa kweli. M4C imeanza na wewe na historia imeandikwa! una kila sababu ya kuwashukru watanzania wote bila kujali kabila zao, dini zao, vyama vyao au tofuti za namna yoyote ile kwani ushindi huu ni wa awtanzania wote. Tuko pamoja katka kulijenga taifa jipya la Tanzania. Peeeeeeoopleeeeeeeeeeeeeeeeessssssssssss!!!!!! :violin: