Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
Haya "Makosa ya uchapishaji" yako tangia 2000! Huoni kama ni kikwazo kwa wapiga kura walidanganyika kujua Mh ana Bachelor kumbe ni Associate Degree ambayo ni sawa na Diploma ?
Kwanini hajafanya marekebisho tangia kipindi hicho?
Kwanini College ameziita degree?
Angeweza kuandika amegraduate BA. (International Business) - Wartburg College (U.S.A) maana hakuna kitu kinachoitwa Wartburg University College.
Hii ni kudanganya waajili wake wapiga kura na watanzania kwa ujumla maana anatumia kodi yetu kama Naibu waziri.
mkuu goal yangu tangu mwanzo ilikuwa ni kuweka information sawa na sio kuhukumu moja kwa moja...sijui kosa ni la nani...Mh naibu wazir au bunge...na mheshimiwa hajadanganya wapiga kura yake kwani ana degree ya international business.