Mh Lazaro Samwel Nyalandu MP Singida Kaskazini

Mie simtetei. Site ya Waldorf University College inaonyesha wana programs za aina tatu. Residential (on campus) programs, online programs accelerated na adult evening degree programs. Sijui if this was the same in 1994. Residential programs ni za miaka mitatu lakini hawana degree ya BA (Business Administration). Sina uhakika kama ilikuwepo mwaka 1994 hadi 1996. Online programs ina Business Administration, lakini degree yenyewe inaitwa Bachelor of Science in Business Administration ambayo ni tofauti na BA (Business Administration). Estimated completion of this course is four years. Sijui kama BA (Business Administration) ilikuwepo ya miaka miwili ikafutwa.

Accelerated adult degree programs addresses "the educational needs of working adults in the North Iowa area. The program is designed to provide adults the opportunity to complete their associate in arts degree and their bachelor of arts degree in business in the evening. Normally classes meet twice a week during four ten-week terms each year. This accelerated format allows working adults to complete their associate's degree in as little as two years and their bachelor's degree in business in four to five years."

Hapo fanya analysis.

Yeah! Kuna jamaa aliweka kwenye post uwepo wa hizo degree kwenye miaka hiyo tajwa na wakati huo vilikuwa ni colleges! Najua unajua na mimi ninajua Mh Nyalandu alicheza mazingaobwe kujijenge kisiasa. Kuna waliosoma nao Ilboru na Kibaha, kijana hana uwezo wa kusukuma degree mbili kwa wakati moja. Ujanja ujanja wa PhD za mama Nagu na yule Nchimbi Emmanuel
 
Watanzania tunaumizwa na mambo mengi ikiwepo majungu.mm nlidhan umeleta na evidence ya hizo makampun na mali zote ikiwemo na vyanzo vya hizo mali aunaziona nyingi.kunawatu koo zao zinaasili ya mali na  Rev labda hata asingekua mbunge angekua nazo tu,muda wake ndo umefika sasa.nikifuatilia vizuri mnaweza kua na comflict nahuyu jamaa.wabongo wengi tunaweza sana kuongea yawatu na viongozi wetu tukasahau tunayofanya katika position tulizo nazo hata kama ndogo aje.porojo porojo zitatufanya tuendelee kuwa masikin.

Lazima umtetee shemeji yako kwani akimwaga na wewe umemwaga. usihofu maisha hayako hivyo BUY the reality.
 
If such is a fact ( education wise ) then I have a problem with his presence @ the current portfolio..we need to know his experience prior to holding such a sensitive ministry..

Mimi sijali kama ana mali, kama aliiba kura, nataka tu kujua kama ana 'uwezo' wa kumanage hiyo wizara with such shoddy education background and lack of exposure
 
Yeah! Kuna jamaa aliweka kwenye post uwepo wa hizo degree kwenye miaka hiyo tajwa na wakati huo vilikuwa ni colleges! Najua unajua na mimi ninajua Mh Nyalandu alicheza mazingaobwe kujijenge kisiasa. Kuna waliosoma nao Ilboru na Kibaha, kijana hana uwezo wa kusukuma degree mbili kwa wakati moja. Ujanja ujanja wa PhD za mama Nagu na yule Nchimbi Emmanuel

Mpaka sasa hivyo vyuo bado ni colleges. Kwa mtu ambaye ana nia ya kukata shule sidhani kama ataenda kwenye hizo colleges. Tatizo tulilonalo Tanzania, ni kwamba hatuna investigative journalists. Ni rahisi sana kujua haya mambo kama mtu ukiamnua kufuatilia. Ukiafutalia kwenye colleges zenyewe utajua tuu kama hizo degree zilikuwepo na kama zilikuwa ni za miaka miwili. Hawatakupa details za mheshimiwa, but you will know for sure whether those degrees were offered for that duration. Akiwa Marekani alikuwa anakaa Iowa? Kwa sababu vyuo vyote viwili alivyosoma vipo Iowa.
 
Nadhani alikuwa anaishi IOWA nakumbuka alipata scandal ya ku-rape mdada wa Kinamibia...ikafunikwa funikwa. Hatuna Investigative Journalist Tanzania, tuna ripotaz tu. Ukiwapigia simu hao wenye Colleges (Universities according to Nyalandu) watakuambia pia ukienda kwenye mitandao unapata uhalisia. Ila Tanzania kila kitu ni bora liende.

Huyu Jamaa ni Muongo, nimetembelea website yao

http://www.wartburg.edu/

Hahahahah jamaa amedadavua....Wartburg is still a college 2011. It has never been a University
 
POSHO MAVYEO; kwanza Spring inanza mwezi wa tatu kwa hiyo hapo imebaki miaka miwili na miezi tisa kutoka 1994 mpaka 1996 hukiweka na school holiday kila mwaka inakuwa miaka miwili.
na hawana jamaa walianza kutoa masomo yao mwaka 2001 kama wao ina maana kama mtu alisoma hapo kabla ya huo mwaka cheti chake kitatoka kwenye accrediting body (NORTH CENTRAL ) kama ilivypkuwa muhimbili na UDSM zamani.
pia hiki chuo kinaonyesha ni vile vyuo vya kizushu hii kitu ni ONLINE kama aliyochukua MREMA kama miezi sita hakuna kwenda darasani hapo

Spring semester Inaanza January na siyo March na kuisha mwezi may.
 
[h=2][/h]
kwa uelewa wangu mdogo ninajua kwamba mfumo wetu wa elimu ni tofauti kidogo na nchi za ulaya na america...hapa kwetu naona watu wanasoma masters kwa miaka miwili wakati nchi kama uingereza masters ni mwaka mmoja.
kwa upande wa mh Nyalandu...najua alisoma kibaha 1987-1990 na akascore division 1.
then akaenda ilboru 1990-1993 na akapata division 1 pia.
waldorf college aliingia sept 1994-may 1996 akichukua associate degree in business administration.
Watburg college sept 1996 to may19 98 bachelor degree in international business.hizi ni accelerated programs.

Baki na uelewa wako mdogo

Boy-in-columns_purple.jpg

Waldorf offers a traditional four-year AND accelerated three-year bachelor's degree in business. Both programs feature concentrations in management, marketing and finance/banking. We believe in small classes with personal attention from qualified professors, access to state-of-the-art equipment, hands-on, interactive learning and a creative method of teaching that stresses critical thinking.

Business - Waldorf.edu
 
Nadhani alikuwa anaishi IOWA nakumbuka alipata scandal ya ku-rape mdada wa Kinamibia...ikafunikwa funikwa. Hatuna Investigative Journalist Tanzania, tuna ripotaz tu. Ukiwapigia simu hao wenye Colleges (Universities according to Nyalandu) watakuambia pia ukienda kwenye mitandao unapata uhalisia. Ila Tanzania kila kitu ni bora liende

I wonder if enhanced criminal check huwa zinafanywa kabla ya ku appoint mtu kwenye nyadhifa nyeti hasa kwa yule ambaye amekaa nje ya nchi kwa muda mrefu. Kwa dola 30 tuu unaweza kupata hizi details kumhusu yeye wakati akiwa marekani: Full name, Age and date of birth, Relatives, Property, Bankruptcies, Judgments, Lawsuits, Death records, Divorce, Phone numbers, Address history, Criminal check, Linens, Aliases and Neighbours. So, far preliminary records zinaonyesha akiwa Marekani alishawahi kukaa kwenye hizi address.

3 Addresses In Forest City
1 Address In Hardy
1 Address In Wilmington
1 Address In Waverly
2 Addresses In Saint Paul
1 Address In Minneapolis
 
Salute Mkuu!

Nimekuheshimu aisee Nyalandu amekaa Minneapolis na sehemu zote ulizozisema. Tuna shida kubwa sana kama taifa mtu aliye na uwongo kwenye CV yake hafai kupewa uongozi mkubwa wa kitaifa. Only in Tanzania hasa ukiwa Magamba
 
Baki na uelewa wako mdogo

Boy-in-columns_purple.jpg

Waldorf offers a traditional four-year AND accelerated three-year bachelor's degree in business. Both programs feature concentrations in management, marketing and finance/banking. We believe in small classes with personal attention from qualified professors, access to state-of-the-art equipment, hands-on, interactive learning and a creative method of teaching that stresses critical thinking.

Business - Waldorf.edu

I knew pal ulikua na mawe yako mfukoni... tandika hiyo mitu hadi iwe wazi

sometimes you dont need kuchimba sana kujua fake and real stuffs... muangalie anavyoongea, 'cocky pretend' na namna anavyozunguka hoja bila kujicommit (in most cases)

Nijuavyo mimi, watu wa singida ni straight talkers sasa sijui huyu jamaa alitoa wapi hizi qualities za mujini
 
I wonder if enhanced criminal check huwa zinafanywa kabla ya ku appoint mtu kwenye nyadhifa nyeti hasa kwa yule ambaye amekaa nje ya nchi kwa muda mrefu. Kwa dola 30 tuu unaweza kupata hizi details kumhusu yeye wakati akiwa marekani: Full name, Age and date of birth, Relatives, Property, Bankruptcies, Judgments, Lawsuits, Death records, Divorce, Phone numbers, Address history, Criminal check, Linens, Aliases and Neighbours. So, far preliminary records zinaonyesha akiwa Marekani alishawahi kukaa kwenye hizi address.

3 Addresses In Forest City
1 Address In Hardy
1 Address In Wilmington
1 Address In Waverly
2 Addresses In Saint Paul
1 Address In Minneapolis
Aisee......... JF balaa
 
Ngereja; Mimi wala simtetei kwa chochote, tunachobishania hapa ni namba tu. Kwa mihula ya masomo hiyo inaweza kuwa miaka miwili, na inaweza kuwa miaka mitatu pia kutegemea ameanza kipindi gani cha mwaka. Kama alianza December 1994 na akamaliza December 1996 hiyo ni miaka miwili. Na kama ameanza Januari 1994 akamaliza December 1996 hapo itakuwa miaka 3. Hata kama alianza March 1994 na akamaliza Nov/Dec 1996 bado itakuwa miaka mitatu. Yaani katika akademia hatuhesabu miaka kwa hesabu ya kutoa, kuna vyuo hapa duniani vinaanza masomo Januari, June, September. Na isitoshe kuna baadhi ya vyuo unaweza kusoma credit nyingi kwa mwaka mmoja, kiasi kwamba ukafupisha muda wa masomo, ili mradi uwee umekamilisha credit zinazohitajika katika program nzima. Katika baadhi ya nchi hili linawezekama ila kwa Tanzania haliwezekani.

Shule za wenzetu ni tofauti kidogo na za kwetu ki-muhura na masomo unayochukuwa kwa muhura. Kwa wenzetu katika mwaka mmoja kuna semester zaidi ya mbili siyo kama ilivyo kawaida kwa shule zetu hapa. Mfano:- Spring semester kwa vyuo vingi inaanza January na kuishia May; Summer Semester inaanza late may/June- early/middle of August; Fall semester Inaanza Late August- December. Idadi ya masomo unayochukuwa kwa semester itategemeana na msuri wako wa kuyamudu na kuyafauru pamoja na pesa yako ya kulipia kila course. Japo pia kuna utaratibu wa baadhi ya course unapaswa kuzisoma baada ya kumaliza course zingine. Kwa utaratibu huo Inawezekana kabisa kuanzia 1994-1996 ukamaliza course za miaka mitatu.
 
Ur simply preaching Crap!
 
Bila shaka mjadala hapa mkubwa umekuwa kuhusu walakini wa elimu na vyeti vyake. Lakini mbona suala la makampuni halijawekwa wazi? Ni mbaya na inachefusha kuona kiongozi amedanganya kwa kutumia vyeti na bado wakubwa wanampatia nafasi! Sasa jiulize wizarani mambo yakoje kama sio shaghala bhaghala kwa kuwa ni ngumu kiongozi kusimamia ukweli
 
[h=2][/h]
kwa uelewa wangu mdogo ninajua kwamba mfumo wetu wa elimu ni tofauti kidogo na nchi za ulaya na america...hapa kwetu naona watu wanasoma masters kwa miaka miwili wakati nchi kama uingereza masters ni mwaka mmoja.
kwa upande wa mh Nyalandu...najua alisoma kibaha 1987-1990 na akascore division 1.
then akaenda ilboru 1990-1993 na akapata division 1 pia.
waldorf college aliingia sept 1994-may 1996 akichukua associate degree in business administration.
Watburg college sept 1996 to may19 98 bachelor degree in international business.hizi ni accelerated programs.

Mkuu post yako ina raise more questions, than trying to clarify. According to Wardorf, accelerated adult degree programs addresses "the educational needs of working adults in the North Iowa area. The program is designed to provide adults the opportunity to complete their associate in arts degree and their bachelor of arts degree in business in the evening. Normally classes meet twice a week during four ten-week terms each year. This accelerated format allows working adults to complete their associate's degree in as little as two years and their bachelor's degree in business in four to five years."

Tofautisha hapo kati ya "associate's degree in as little as two years" na "bachelor's degree in business in four to five years." Kama ilikuwa sio business related degree angeimaliza ndani ya miaka miwili. Lakini kwa vile degree yake ilikuwa ni business related, i.e, business admininistration, na aliisoma as accelerated program, then angeimaliza baada ya miaka minne. Sijui umenipata hapo? Pili accelerated degree zimelengwa kwa "working adult". Je, wakati huo yeye alikuwa ni "working adult"? If so, kwenye CV yake inaonyesha kati ya mwaka 1994 na 1996 alikuwa anafanya kazi wapi?

Lakini the biggest issue ni kuwa ilikuwaje akakubaliwa kusoma accelerated programs? Tena kwenye vyuo viwili? As far as I know, he should have been admitted as an international student unless alikuwa pia raia wa Marekani.

Halafu hiyo degree ya Watburg, yeye anasema ni BA (Business Administration). Wewe unasema bachelor degree in international business. Hakuna tofauti hapo? Au una maana ali major kwenye international business?
 
Bila shaka mjadala hapa mkubwa umekuwa kuhusu walakini wa elimu na vyeti vyake. Lakini mbona suala la makampuni halijawekwa wazi? Ni mbaya na inachefusha kuona kiongozi amedanganya kwa kutumia vyeti na bado wakubwa wanampatia nafasi! Sasa jiulize wizarani mambo yakoje kama sio shaghala bhaghala kwa kuwa ni ngumu kiongozi kusimamia ukweli

Umekuwa fair sana! Siwezi kushangaa Tanzania Mkuu wa Usalama wa Taifa akistaafu anagombea Ubunge CCM....Kila kitu sisi ni hovyo hovyo hata vile vyepesi hatuwezi thubutu
 
Waungwana wana JF
Nimesoma kwa utulivu usio na shaka juu ya thread hii ya Mh. Lazaro Nyarandu Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara (MB). Ni kweli kwamba mtumishi yeyote wa umma asiyewajibika ni mzigo si tu kwa taifa hili bali kuanzia katika familia yake; ukoo wake kasia yake na jimbo lake na mwisho kwa taifa lake.

Ni ukweli ulio wazi kwamba Mh. Lazaro Nyarandu ni miongoni mwa wabunge Vijana na Mawaziri Vijana (Akiwa Wziri mdogo katika viwanda na biashara). Uwakilishi wake kwa jimbo la Singida Kskazini haukuanza mwaka 2010 alipopewa dhamana ya wizara bali ulianza nyuma kidogo mwaka 2000 wakati wa Urais wa Mheshimiwa sana Benjamin Willim Mkapa.

Nyalandu alikuwa ni mbunge kijana makini na ameendelea kuwa hivyo (kwa ufaham wangu). Leo linapoibuka suala la ubadhilifu na ufisdini lazima wenye akili tulisemee.

Nimesoma thread zote za wachangiaji, zaidi nimeona hawana la kuchangia zaidi ya kujiuliza yale yale; Hebu nyie wapiga kampeni msio na mwelekeo eleweni; elimu ya Marekani si kama ya Tanzania ambayo magumashi ni mengi kuliko uwezo wa kutoa elimu yenyewe. Sisi tunaenda kusoma huko lakini wao hawaji huku, wanatulipia na ghalama ya kusoma siyo siye hatuwezi hata kulipia watoto wetu. Kuhoji uwezo wa mtu ni kuhoji ujinga.

Mheshimiwa Lazarus Nyalandu ni msomi wa elimu ya wastani (Shahada) lakini ni msomi mwenye uwezo wa juu (KIPAJI MAALUM); Hebu angalia elimu yake (Kwa maana ilinilazimu niangalie shule alizosoma na kujua ni wapi na wapi alipita na kwa bahati mbaya au nzuri pale Ilboru alisoma na ndugu yangu mmoj)

Kwa kuangalia uwezo Kibaha secondary School 1987 DIVISION I
Ilboru High School 1993 DIVISION I

Waldorf College September 1994 - May 1996 (Associate Degree Business Adminstration)
Wartburg College September 1996 - May 1998 (Bachellor Degree, International Business)

Ukiangalia hapa hakuna kujiuliza labda nyingine eti ilikuwa ni masters no; ni associate degree, sasa wenzetu wana mfumo gani kwa mtu mwenye associate degree, tafuta ujue ili uache kuropoka kabla hujajua.

Tuache kufikiria kwa kutumia matumbo; tuache kufikiria kwa akili za wengine; tuache majungu; tuache unafiki kila mmoja kwa wakati wake anaweza kuwa anavyotaka isipokuwa tu afanye kazi aache majungu

Tuje kwenye Uwakilishi; Hivi Nyalandu ni mbunge wa vijana wa Tanzania au Mbunge wa Singida? Wabunge wa vijana wapo, na kama kuna mtu anadhani huyu jamaa ameshindwa kazi basi amshitaki kwa watu wke Singida na si kumshitaki JF kwa maana JF haina kura yake.

Tuhuma za umiliki wa mali; Watanzania hasma vijana tuache majungu; nadhani JF inakosa sifa ya kuwa forum ya critical thinki bali ni critical sinking kwa maana nadhani hii imekuwa forum ya defermation. Huyu aliyeleta hii mada kwenye hii forum na tumhuma zote hizi ni lazima awe mtu wa karibu sana na LN kwa maana zifuatazo
ama; ni partner wa biashara zake
ama; ni ndugu wa karibu
ama; ni mshindani katika biashara zake
ama; ni mdaiwa wa biashara zake
ama ni mwizi wa kampuni yake
ama; ni kibarua a.k.a. mfanayakazi katika makampuni yake
ama; ni shemeji yake

How come ajue kwamba lazaro Nyalandu ana makapuni na maeandikisha ndugu zake?
How come ajue kama ana makampuni ya ujenzi w barabara? Kweli umbumbumbu huu, hakuna kampuni inyoanzishwa kwa ujenzi wa barabara bali ni kwa kazi za uhandisi na ujenzi wa barabara nis ehemu ya kazi zake. Haya majungu Vijana wa CHADUMU hamfiki mbali.

Mi napendekeza; Huyo anayeyajua hayo makampuni ayataje kwa majina hapa na ayataje yamesajiliwa mkoa gani na kwa usajiliupi wa BRELA na majina ya ndugu zake waliomilikishwa ili tuwe wazi hapa, tuache majungu jamani. Upumbavu wa wanasiasa wajinga kama hawa wanaoanzisha thread kama hizi JF ni kutazama vitu badala ya hoja za msingi. Ni watu wanaopotosha umma kwa faida binfsi na kwa bahati mbaya faida yenyewe ni ndogo. Kama mmeanza kampeni za 2015 semeni ili tujue, mmetumwa nini?

JF ilipoteza mwelekeo zamani sana baad ya kuamua kujipambanua kuwa ni kwa ajili ya kusapoti majungu. Ukisoma thread nyingi zinaonyesha ukiwa humu lazima usapoti CHADUMU (WAZEE WA MISIBA NA MAOMBOLEZO)

Hizi ni siasa za maji taka na kama nchi inatakwa kuwa hivi basi hakuna kijana mweneye mwelekeo. Ipo siku hakutakalika humu JF. Na yeyote anayedhani ana hoja sana ya kushawishi umma kinyume na haya nayosema aandike hapa na aombe audience nami.

MUNGU IBRIKI TANZANIA
 
mandezi wengine utafikiri wote kwao ni moshi...lami mpaka vijijini etc, huyu jamaa unlike wanyaturu wengi, kafanya jitihada sana za kuendeleza kwao, mkoa wa singida kutoka kwenye umaskini uliopo unahitaji efforts za hawa wanayaturu wote waliojazana dar-es-salaam na kwingineko wanaosubiri kutia aibu wakati wa mazishi yao huko vijijini mwao. stop kuosha vinywa, ukweli usemwe unapoonekana, kama ana hitilafu nyingine yawezekana but jimboni kwake amejitahidi mno
 
Back
Top Bottom