Mh Lazaro Samwel Nyalandu MP Singida Kaskazini

Mh Lazaro Samwel Nyalandu MP Singida Kaskazini

hivi ni baadhi ya vijiji vya jimbo lamh nyalandu ambavyo kuna m2 amemtetea kwamba kaleta maendeleo.
mi sijui maendeleo ni nini kwani mahali kama hakuna barabara,maji shule na vituo vya afya labda watupe aina nyingine za maendeleo mimi nilikuwepo nyakati zote za kampeni.
kanga ,t shirt,pesa taslim 5000,10000 na baadhi ya masheikh kupelekwa makka ilikuwa kama kawa bila kusahau pipi kwa watoto jimbo zima na ilkuwa inazunguka kugawa landcruser ya ccm pale mkoani.
makuro,mdida,ilongero,ikiwu,mang;ombe,kisisi,mpipiti,mpambaa,minyenye,ughandi a,b,laghanida,misinko,malolo nk.
kama mnaona anaonewa wivu basi nchi imefika pabaya sana ila nawahakikishia katika watu wa kuchungwa ni pamoja na huyu mh.
binafsi sina shida na huyu bwana kwani hanijui ila iliniuma sana kwa nchi maskini kama tz na kwa kijana aliyetoka familia masikini kama yake anawezaje kuwanunua wananchi kama yeye hajanunuliwa kwanza.
kwenye masuala ya mahusiano sitaki kumjadili kwani hayo yanamhusu yeye na kuna viongozi wengi afrika wenye matatizo kama yake ila ni wazuri kwenye uongozi.
namalizia kwa kuweka wazi kuwa asiyemfahamu nyalandu hata kwa 20% asichangie iwe kwa kupinga au kwa kuunga mkono.
ila kwa kifupi is a smart and bright guy.

Mkuu nashukuru kwa kuyafungua haya. Nilitakiwa kutoa ushahidi wa haya baada ya kupost u$#&nzi wa huyu mbunge, umenisaidia
 
hivi ni baadhi ya vijiji vya jimbo lamh nyalandu ambavyo kuna m2 amemtetea kwamba kaleta maendeleo.
mi sijui maendeleo ni nini kwani mahali kama hakuna barabara,maji shule na vituo vya afya labda watupe aina nyingine za maendeleo mimi nilikuwepo nyakati zote za kampeni.
kanga ,t shirt,pesa taslim 5000,10000 na baadhi ya masheikh kupelekwa makka ilikuwa kama kawa bila kusahau pipi kwa watoto jimbo zima na ilkuwa inazunguka kugawa landcruser ya ccm pale mkoani.
makuro,mdida,ilongero,ikiwu,mang;ombe,kisisi,mpipiti,mpambaa,minyenye,ughandi a,b,laghanida,misinko,malolo nk.
kama mnaona anaonewa wivu basi nchi imefika pabaya sana ila nawahakikishia katika watu wa kuchungwa ni pamoja na huyu mh.
binafsi sina shida na huyu bwana kwani hanijui ila iliniuma sana kwa nchi maskini kama tz na kwa kijana aliyetoka familia masikini kama yake anawezaje kuwanunua wananchi kama yeye hajanunuliwa kwanza.
kwenye masuala ya mahusiano sitaki kumjadili kwani hayo yanamhusu yeye na kuna viongozi wengi afrika wenye matatizo kama yake ila ni wazuri kwenye uongozi.
namalizia kwa kuweka wazi kuwa asiyemfahamu nyalandu hata kwa 20% asichangie iwe kwa kupinga au kwa kuunga mkono.
ila kwa kifupi is a smart and bright guy.

Jamaa hakuangalia B/ground ya mchuchu vs hadhi yake. Angemkosa Kota, angekamata Wema
 
Mkuu sijakuelewa ulivyosema chuo kina affiliation ya kidini na Mweshimiwa kwa vile alikuwa active sana kwenye mambo ya ukwata. Ninavyoelewa alikuwa active kwenye Ukwata Ilboru. Je, hii affiliation ilikuwa kati ya chuo na yeye au chuo na Ilboru? Mkuu ni rahisi kujua kama alimaliza form 6 akiwa na miaka 20 au zaidi. Ni kupata tarehe yake ya kuzaliwa tuu. Ila adult accelerated program ni kwa ajili ya wakazi wa Iowa. Inamuwa vigumu kuelewa how mtu aliyemaliza form six anatoka Tanzania directly na kwenda kusoma adult accelerated program designed for the residents of Iowa.

mkuu...
nilichosema hapo ni mtazamo wangu wa nini chaweza kuwa kilitokea akasoma accelerated program mwaka 1994 kwani sijui target group yake by that time ilikuwa ni kina nani...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Acha kumtetea huyo hizo ni tuhuma nzito tayari anatakiwa ajiuzulu haraka kama yule boss wa IMF

tuhuma pekee zatosha kumfanya mtu ajiuzuru??? boss wa IMF alikamatwa na polisi kwa jaribio la kubaka na sio tuhuma za kwenye blogs
 
Hii ni pumba bin Crap!

Nafurahi umeadmit Lazaro Has never been to University rather than colleges.

.

Nadhani wewe ndiye unayefikiria kutumia makalio! Tangia mwaka 2000 makosa yamefanyika yeye alikuwa wapi kurekebisha? Bila aibu ameandika amegradute kwenye Associate Degree ya BA (Business Administration) na alivyokuwa Kilaza tena akagraduate kwenye BA. (International Business). Tukirudi kwenye Mada Lazaro hana BA mbili.

Mbona suala la kujimbikizia mali hutaki gusia Mh? Unakumbuka alifanya Kampeni kwa helicopta wakati wananchi wake wako kwenye uhohe hahe? Hakuna vituo vya afy, maji na huduma zingine za kijamii?

Grow up to maturity!
pumbafuuuuuuuuuu mnafikiria kwa majungu mmekalia.
 
Hahahahah yaani wewe acha tu! Magamba hawashindwi kitu. Dogo ni tajiri wa Kutisha aisee!

Hata kwenye kampeni zake za uchaguzi uliopita nasikia alikuwa anatumia helkopta. Lol! Kweli Magamba noma. Halafu inaonekana ni mtu wa karibu sana na wakubwa wa nchi.
 
mkuu...
nilichosema hapo ni mtazamo wangu wa nini chaweza kuwa kilitokea akasoma accelerated program mwaka 1994 kwani sijui target group yake by that time ilikuwa ni kina nani...

Mkuu adult accelerated program ilianzishwa mwaka 1989 as "an effort to address the educational needs of working adults in the North Iowa area." Kwa hiyo target ya group ni "working adults in the North Iowa area." Kuanzia mwaka 1989, target group haijabadilika. Haya masomo yanasomwa jioni baada ya kazi. Classes meet twice a week during four ten-week terms each year. This accelerated format allows working adults to complete their associate's degree in as little as two years. Swali linakuja wakati anapata adimission ya kusoma hiyo kozi, alikuwa tayari ni "adult residence" aliyekuwa akifanya kazi kaskazini mwa Iowa?
 
Thanks Rev. Masanilo, thanks EMT..hapa JF watu wanakamata makosa ambayo vyombo vya Serikali vinayaacha yapite. Inaonekana ni kiasi gani Serikali na watendaji wake walivyo vilaza. Huyu Mheshimiwa anatakiwa abadilishe haraka sana CV yake. Kwani hakuna hivi vyuo hapa Marekani

Waldorf University College(U.S.A) BA (Business Administration) 1994 1996 GRADUATE
Wartburg University College (U.S.A) BA. (International Business) 1996 1998 GRADUATE

Ila kuna Waldorf College na pia kuna Wartburg College. Angekuwa anafanya kazi kwingine angefukuzwa kazi kwa kosa la kugushi "CV" yake.

Always sisi tutakuwa juu serikali hii ni lege lege!
 
Mkuu adult accelerated program ilianzishwa mwaka 1989 as "an effort to address the educational needs of working adults in the North Iowa area." Kwa hiyo target ya group ni "working adults in the North Iowa area." Kuanzia mwaka 1989, target group haijabadilika. Haya masomo yanasomwa jioni baada ya kazi. Classes meet twice a week during four ten-week terms each year. This accelerated format allows working adults to complete their associate's degree in as little as two years. Swali linakuja wakati anapata adimission ya kusoma hiyo kozi, alikuwa tayari ni "adult residence" aliyekuwa akifanya kazi kaskazini mwa Iowa?

mkuu...
sikuwa hewani kwa muda kidogo...
nilijaribu kueleza hapo mwanzo kwamba kwa vigezo vilivyowekwa kwa ajili ya kusoma accelerated program ni lazima alikuwa anafanya kazi kule kwani kwa kigezo cha u adult atakuwa alikidhi.
huu ni mtazamo tu mkuu.
 
Ni kweli hizo ni colleges; na uwezo wa kujua college au university unatofautiana na uwezo wa kujua elimu ni kitu gani. Wapo mnaothamini kwamba kusoma UDSM ni bora kuliko kusoma IFM na ni bora kusoma kitivo cha biashara au uchumi (UDBS na UDSS) kuliko kusoma COET kwa maana COET ni College na huku kwingine ni schools katika University

Acha kufikiri kwa kutumia tumbo; kama hali ni kusoma Associate Degree miaka miwili na kujiunga na Bachellor degree kumaliza miaka miwili iliyobaki, wewe una utatata gani na hesabu ya 1994 - 1998? Je si miaka minne hiyo? Ni vibaya kwa mtu yeyote anyejua ukweli na kuamua kwa makusudi kuupotosha kisha kichwa chake kimechoka kufikiria na kuamua kutumia tumbo.
.

WEWE NDIO HUJUI KABISA... Hakuna Chuo, au Shule inayoitwa Waldorf University College wala shule ama Chuo kinachoitwa Wartburg University College. Kuna Waldorf College iliyopo Forest City, na kuna Wartburg College iliyopo Waverly...zote zipo Iowa lakini si UNIVERSITY. Do you get our point. Kosa la muhusika kuripoti vitu ambavyo siyo....Hizi ni shule ndogo tu na nimetembelea Campus zake...Waldorf ni ya wanafunzi less than 1000 na Wartburg ni ya <2500 students. Both are Lutheran schools...Liberal arts.
 
Yeah! Kuna jamaa aliweka kwenye post uwepo wa hizo degree kwenye miaka hiyo tajwa na wakati huo vilikuwa ni colleges! Najua unajua na mimi ninajua Mh Nyalandu alicheza mazingaobwe kujijenge kisiasa. Kuna waliosoma nao Ilboru na Kibaha, kijana hana uwezo wa kusukuma degree mbili kwa wakati moja. Ujanja ujanja wa PhD za mama Nagu na yule Nchimbi Emmanuel

Mimi alikua mbele yangu mwaka mmoja kibaha,kwenye watu ambao sijajua alifikaje A'level ni Nyarandu enzi hizi alikua akijulikana aka Mshua, uwezo wake darasani ulikua below average.Na asikuambie mtu hakuna shule rahisi kama O'level!
 
we sasa unatafuta ugomvi, tumeambiwa alikua smart sana, tena kasoma USA, ilboru na kibaha... hebu acha dharau aisee
 
WEWE NDIO HUJUI KABISA... Hakuna Chuo, au Shule inayoitwa Waldorf University College wala shule ama Chuo kinachoitwa Wartburg University College. Kuna Waldorf College iliyopo Forest City, na kuna Wartburg College iliyopo Waverly...zote zipo Iowa lakini si UNIVERSITY. Do you get our point. Kosa la muhusika kuripoti vitu ambavyo siyo....Hizi ni shule ndogo tu na nimetembelea Campus zake...Waldorf ni ya wanafunzi less than 1000 na Wartburg ni ya <2500 students. Both are Lutheran schools...Liberal arts.

duh... aisee

where is Masa?? coz fallacy needs some good jokes
 
Mimi alikua mbele yangu mwaka mmoja kibaha,kwenye watu ambao sijajua alifikaje A'level ni Nyarandu enzi hizi alikua akijulikana aka Mshua, uwezo wake darasani ulikua below average.Na asikuambie mtu hakuna shule rahisi kama O'level!

Tanzania failures wote wamekwenda kwenye Chama Cha Majambazi ndio sababu hatuendelei kwa sababu uwezo wao wa kufikiria ndio ulipokomea. Kama hatutawaondoa tutaendelea kulia na kusaga meno. Hebu fikiria JK alikwenda pale baada ya kumaliza UDSM ina maana alikuwa ni kilaza, ndio matokeo yake tunayaona leo uwezo wake ndio huo wa kuchekacheka tu na utekelezaji sifuri. lakini wa kulaumiwa zaidi ni Mzee rukhsa yeye ndiye alimpa uwaziri huku akifahamu jamaa ni kuti bovu.
 
Back
Top Bottom