Rev Fr Masanilo; Ur simply preaching Crap!
Mkuu naona wewe unasaga na huyo jamaa na siyo issue nyingine. Unakataa nini sasa mtu kumaliza course za miaka mitatu 1994-1996 kama kwenye mwaka kuna mihura 3? Issue yangu ni kumaliza shule kwa huo mdaa 1994-96 na siyo ufisadi wake. Kwenye RED hapo yanatoka wapi hayo sasa? Tupo hapa jamvini kuelimishana pale tuonapo jambo haliko sawa, toa counter argument na siyo kujibu kwa jaziba.
Waldorf College September 1994 - May 1996 (Associate Degree Business Adminstration)
Wartburg College September 1996 - May 1998 (Bachellor Degree, International Business)
BTW Associate degree ni kigezo kimojawapo cha kufanya degree. Unaweza kusoma associate degree ndani ya miaka miwili ukamaliza na mwaka huo wa mwisho ukaaply kwenda kumalizia degree yako ya miaka miwili. Ikumbukwe kuwa, kwa US degree ya kwanza ina wastani wa miaka 4. Miaka 2 unasoma associate degree na 2 unaenda university kumalizia degree.