Mkuu post yako ina raise more questions, than trying to clarify. According to Wardorf, accelerated adult degree programs addresses "the educational needs of working adults in the North Iowa area. The program is designed to provide adults the opportunity to complete their associate in arts degree and their bachelor of arts degree in business in the evening. Normally classes meet twice a week during four ten-week terms each year. This accelerated format allows working adults to complete their associate's degree in as little as two years and their bachelor's degree in business in four to five years."
Tofautisha hapo kati ya "associate's degree in as little as two years" na "bachelor's degree in business in four to five years." Kama ilikuwa sio business related degree angeimaliza ndani ya miaka miwili. Lakini kwa vile degree yake ilikuwa ni business related, i.e, business admininistration, na aliisoma as accelerated program, then angeimaliza baada ya miaka minne. Sijui umenipata hapo? Pili accelerated degree zimelengwa kwa "working adult". Je, wakati huo yeye alikuwa ni "working adult"? If so, kwenye CV yake inaonyesha kati ya mwaka 1994 na 1996 alikuwa anafanya kazi wapi?
Lakini the biggest issue ni kuwa ilikuwaje akakubaliwa kusoma accelerated programs? Tena kwenye vyuo viwili? As far as I know, he should have been admitted as an international student unless alikuwa pia raia wa Marekani.
Halafu hiyo degree ya Watburg, yeye anasema ni BA (Business Administration). Wewe unasema bachelor degree in international business. Hakuna tofauti hapo? Au una maana ali major kwenye international business?