Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Mh Nyalandu Mb wa Singida Kasikazini ni miongoni mwa wabunge vijana ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano. Nimatumaini yetu sisi vijana wenzako ungeweza tuwakilisha kwa utendaji kazi uliotukuka. Lakini lakini cha ajabu umejikusanyia na kujilimbikizia mali nyingi kwa kipindi kifupi sana. Nadhani wewe ni miongozi mwa wabunge matajiri sana. Una kampuni nyingi za Ujenzi wa bara bara na nyumba zisizo na idadi. Sina shida kama mali hizo umezichuma bila kuhusisha rushwa. Ingependeza kama umeorodhesha hizo mali, ujanja wa kuandika ndugu inaleta shaka kwenye integridity yako na uadilifu.
Nchi yetu ingekuwa na Usalama wa taifa na taasisi ya kuzuia rushwa bila shaka wangekufatilia. Enzi za Mwalimu baba wa taifa Julius Nyerere lazima angekuhoji.
Sina wasi wasi wa Elimu yako,ingawa kuna wasi wasi umechakachua. Hii nimeitoa kwenye kurasa za bunge.

Waldorf University College(U.S.A) | BA (Business Administration) | 1994 | 1996 | GRADUATE |
Wartburg University College (U.S.A) | BA. (International Business) | 1996 | 1998 | GRADUATE |