Mh Lazaro Samwel Nyalandu MP Singida Kaskazini

Mimi wala simtetei kwa chochote, tunachobishania hapa ni namba tu. Kwa mihula ya masomo hiyo inaweza kuwa miaka miwili, na inaweza kuwa miaka mitatu pia kutegemea ameanza kipindi gani cha mwaka. Kama alianza December 1994 na akamaliza December 1996 hiyo ni miaka miwili. Na kama ameanza Januari 1994 akamaliza December 1996 hapo itakuwa miaka 3. Hata kama alianza March 1994 na akamaliza Nov/Dec 1996 bado itakuwa miaka mitatu. Yaani katika akademia hatuhesabu miaka kwa hesabu ya kutoa, kuna vyuo hapa duniani vinaanza masomo Januari, June, September. Na isitoshe kuna baadhi ya vyuo unaweza kusoma credit nyingi kwa mwaka mmoja, kiasi kwamba ukafupisha muda wa masomo, ili mradi uwee umekamilisha credit zinazohitajika katika program nzima. Katika baadhi ya nchi hili linawezekama ila kwa Tanzania haliwezekani.

Crap.....!
 
Na msisahau katika wabunge wote ni yeye aliyepiga kampeni kwa helicopta na vilevile kanunua kota zote za benk pale singida anazikarabati ili afanye hotel. Kijana anatisha kuliko lowasa kwani kama ni kubarikiwa hapo mwenye kutoa kwa kufuru ni mungu wake.

Kijana amejilimbikizia mali sana! Ni Fisadi mkubwa tu...ujanja ujanja wa Magamba kila mtu anafanya kila hila ajaze tumbo lake
 
Mchungaji waosha vinywa wa Magamba watakwambia unajitafutia umaarufu kwa kupekua pekua mambo ya watu

Tumewazoea hao! Hizi siku za Nnape zinahesabiwa kinyume nyume? Naona Chenge, Rostam na Lowassa wanacheka tu na commedy za Magamba
 
daah jamaa anatisha sana Ilongero peke yake alimwaga million 75 kipindi cha kura za maoni..halafu dewji ni swahiba wake mkuu pia labda wanashirikiana kwenye biashara zao za kimagamba..wizi, rushwa, ufisadi na usanii mwingi wa kupewa misaada kutoka marekani..
 
mkuu una uhakika gani na hii figure ya 75miliioni kwenye kura za maoni??? nyalandu anakubalika sana jimboni kwake singida na huwa anashinda kwa zaidi ya 90% kwenye kura za maoni au uchaguzi mkuu
 
Uchakachuaji!
 
Na pia yupo kwenye list ya nyaturu mjinga kuliko wote,amebakia kuwa kichwa cha mafisadi,ndugu zake wako kwenye hali ngumu sana kimaisha,mke wake wa pili anaishi njiro,kwe kumba la kifahari,mme akija nikula bata na bitchez tu mitaa!!

crap....
 
Watanzania tunaumizwa na mambo mengi ikiwepo majungu.mm nlidhan umeleta na evidence ya hizo makampun na mali zote ikiwemo na vyanzo vya hizo mali aunaziona nyingi.kunawatu koo zao zinaasili ya mali na Rev labda hata asingekua mbunge angekua nazo tu,muda wake ndo umefika sasa.nikifuatilia vizuri mnaweza kua na comflict nahuyu jamaa.wabongo wengi tunaweza sana kuongea yawatu na viongozi wetu tukasahau tunayofanya katika position tulizo nazo hata kama ndogo aje.porojo porojo zitatufanya tuendelee kuwa masikin.
 
Umetumia kitu gani kufikiria? Bila shaka si makalio...huo0ni kuna tatizo kwenye Elimu yake? Huoni kwa nini amekuwa na mali nyingi za kujilimbikizia mara tu baada ya kuwa kiongozi wa umma? Fanya akili yako ifikiri walau kidogo.
 
Watanzania tunaumizwa na mambo mengi ikiwepo majungu.mm nlidhan umeleta na evidence ya hizo makampun na mali zote ikiwemo na vyanzo vya hizo mali aunaziona nyingi.kunawatu koo zao zinaasili ya mali na  Rev labda hata asingekua mbunge angekua nazo tu,muda wake ndo umefika sasa.nikifuatilia vizuri mnaweza kua na comflict nahuyu jamaa.wabongo wengi tunaweza sana kuongea yawatu na viongozi wetu tukasahau tunayofanya katika position tulizo nazo hata kama ndogo aje.porojo porojo zitatufanya tuendelee kuwa masikin.
 
Watanzania tunaumizwa na mambo mengi ikiwepo majungu.mm nlidhan umeleta na evidence ya hizo makampun na mali zote ikiwemo na vyanzo vya hizo mali aunaziona nyingi.kunawatu koo zao zinaasili ya mali na Rev labda hata asingekua mbunge angekua nazo tu,muda wake ndo umefika sasa.nikifuatilia vizuri mnaweza kua na comflict nahuyu jamaa.wabongo wengi tunaweza sana kuongea yawatu na viongozi wetu tukasahau tunayofanya katika position tulizo nazo hata kama ndogo aje.porojo porojo zitatufanya tuendelee kuwa masikin.

Wewe mbona unaongea kichovu sana ndio nyie mnaonunuliwa visoda soda na Nyalandu, basi inabidi umtetee sana. Watu wana data za kutosha.
Hizi justification zenu na uoga wakufichua mambo ndizo zilizo wafikisha hapa.
Nakujifanya eti hamjali ndiyo hapo mnapoishia kuchagua viongozi wabovu kwa usingizi mlio lala na mwisho kila kitu manasema ndiyoooo!
 
hizo data ziko wapo mkuu...hebu onesha hizo kampuni zisizo na idadi anazomiliki nyalandu
 
eti alimwaga mabilion, ndo mmegundua leo.c mngeandamana kipindi kile asichukue jimbo.sasa mkisema itasaidia nn muda huu.kwanza huu muda mngefanya ya muhimu na sio kudiscuss things which will neva work.Hamna mtu mwenye nafuu this dayz bwana chamsingi nikuweka things in action otherwize hamna lolote. mnafanana tu na huyo mnae msema.ngoja nikauze vitunguu vyangu nipeleke matumizi kwa mke wangu.huko hamna linalojenga
 
HUYU JAMAA (LAZARO NYALANDU) NAMFAHAMU VIZURI KWANI NI MBUNGE WANGU. AMEWADANGANYA WAMAREKANI (wafadhili wake) KUWA YEYE NI RAIS MTARAJIWA NA WAMEKUWA WAKIMMWAGIA MAPENE KIBAO KWA MAANDALIZI, SIJUI ATAKUWA WA AWAMU IPI?

JIMBONI KWAKE NJAA TUPU WAPIGA KURA WAMECHOKA ILE MBAYA. WAKATI WA KAMPENI ANATUMIA DHIKI YA WAPIGA KURA KWA KUWAHONGA 'VIJISENTI' NA KUPATA USHINDI WA KISHINDO.

ALIAHIDI KUJENGA UWANJA WA NDEGE KIJIJINI (mtinko) na KUJENGA BARABARA YA LAMI KUTOKA SINGIDA MJINI HADI ILONGERO (km 22) kwa PESA ZAKE.

CHA KUSHANGAZA HAJAWAHI KUZUNGUMZIA MAENDELEO YA JIMBO LAKE KUPITIA BAJETI YA SERIKALI TANGU AINGIE BUNGENI MWAKA 1998.

ANAJIFANYA KUSOMESHA WATOTO WA KIKE LAKINI KWA MALENGO MAALUM. ASIPOFANIKIWA ANAWATOSA.

JAMAA ANAPENDA MISIFA ILE MBAYA. KWENYE SPEECH ZAKE KWA WAPIGA KURA WAKE ANAPIGA STORY ZA MAREKANI TU.

SIFA YAKE KUBWA KULIKO ZOTE ANAPENDA PRODUCTS ZA LUNDENGA ( MAMISS ) VIBAYA MNO.

NAJIANDAA KWENDA KUMNG'OA MWAKA 2015
 
Back
Top Bottom