Mh Lazaro Samwel Nyalandu MP Singida Kaskazini

Mh Lazaro Samwel Nyalandu MP Singida Kaskazini

halafu mwaka huo huo wa 1996 akaanza digrii nyingine? inamaana wkt yupo mwaka wa mwisho alikuwa keshaanza mwaka wa kwanza chuo kingine? wewe kweli kiazi.

Zumbemkuu, msamehe bure huyo jamaa maana amejitahidi kumtetea lakin ukweli utabaki kuwa magamba wengi elimu zao zina utata. Umesahau ile list ya MDr wa Mzumbe?
 
Mh wa Magamba kasoma colleges kabadilisha na kuita Universities!
 
pale Kibaha sec alikuwa kijana mpole na mcha Mungu..

Tulipomaliza naye shule O-Level pale kibaha sec. 1990 alikuwa anajishughulisha sana na masuala ya UKWATA akiwa na marafiki zake wa karibu Yohana Senzige na Agripa Eliezer. Sijui kama hawa marafiki zake bado wako karibu naye. Niliwahi ambiwa na ndugu yake wa karibu mno kwamba ana nyumba kadhaa hapa mjini Arusha ila tatizo ndugu zanguni hawajali hata ndugu zake wa tumbo moja ambao wengine nina wafahamu.
 
huyu mmbumbe wangu mbona hata singida hua haji,namsikia tu arusha na dar, kweli kali
 
Fursa Sawa kwa Wote,huyo jamaa nasikia ali EPA sana enzi za mzee Ben,na mwanzilishi wa huo mfuko,pia ni mpenda tototz balaa,kuhonga millioni au gari kwa totoz haoni kazi,ni kijana tajiri sana,ni kama vile EL alipokuwa kijana hadi Mwl alimshangaa kwa jinsi alivyoupata utajiri,hakika ukimuuliza Mh Nyarandu huo utajiri wa kutosha kaupata kwa biashara gani atakuwa hana jibu ,zaidi ya misheni town na kuwa postal boy wa wakubwa
 
Na pia yupo kwenye list ya nyaturu mjinga kuliko wote,amebakia kuwa kichwa cha mafisadi,ndugu zake wako kwenye hali ngumu sana kimaisha,mke wake wa pili anaishi njiro,kwe kumba la kifahari,mme akija nikula bata na bitchez tu mitaa!!
 
Na pia yupo kwenye list ya nyaturu mjinga kuliko wote,amebakia kuwa kichwa cha mafisadi,ndugu zake wako kwenye hali ngumu sana kimaisha,mke wake wa pili anaishi njiro,kwe kumba la kifahari,mme akija nikula bata na bitchez tu mitaa!!

Sasatupo hapa kumtuhumu kwa lipi? Kuwatelekeza nduguze? That's none of our business
 
Sasatupo hapa kumtuhumu kwa lipi? Kuwatelekeza nduguze? That's none of our business
Hapana hapo kuna point muhimu kama yeye amewatelekeza ndugu zake wananchi/jamii anayoiwakilisha bungeni atawatelekeza vilevile,ndio maana unapokuwa kiongozi lazima uchambuliwe ili tabia yako halisi ijulikane.
 
Huyo sijui katumia mbinu gani kufika alipofika,maana hata huko USA alikuwa anaishi kwa shida sana, ila hiyokapuni na mama Mkapa ilimsaidia sana...wacha tusiseme sana maana wa magamba wasitumalize wakituona mitaani.......Honestly if I was to choose, he will not even be shortlisted
 
Nyalandu ni corrupt as miradi yake inahusisha corrupt officials has akwenye ujenzi
 
Jamani mtupe ya huko jimboni kuliko huyo mhe.anaendelea kuchaguliwa kwa awamu zote hiz?
Hapana hapo kuna point muhimu kama yeye amewatelekeza ndugu zake wananchi/jamii anayoiwakilisha bungeni atawatelekeza vilevile,ndio maana unapokuwa kiongozi lazima uchambuliwe ili tabia yako halisi ijulikane.
 
Jibuni swali hili: Je, kwa mfumo wa elimu wa marekani, inawezekana mtu kusoma degree mbili katika vyuo viwili tofauti na vikiwa katika mji mmoja? iwe ni kwa full-time au online distance learning!

Kaka acha ubishi wa kijiweni hoja ni kuwa kama alifanya hiyo degree 1994-1996 je, hiyo ni miaka mingapi?Inashangaza unaachana na hoja ya msingi unakimbilia hiyo ya kama mtu anaweza kufanya degree mbili at a time!Haya inawezekana,tupe ufafanuzi wa 1994-1996
 
When you hold accountable Mr Nyalandu for such allegations, it would make a lot of sense if you would come up with the names of those companies and other properties he owns without forgetting the crystal clear evidence to back up your claims. Unless you do that, these allegations shall remain as good as just any other cook ups we've already heard in the past.

Hata ikiweka ushahidi wa makampuni hapa nani atamchukulia hatua wakati kuna baadhi ya mafisadi papa walituhumiwa na ushahidi lakini hakuna maamuzi wala hatua za kisheria zilizochukuliwa dhidi yao
 
Kaka acha ubishi wa kijiweni hoja ni kuwa kama alifanya hiyo degree 1994-1996 je, hiyo ni miaka mingapi?Inashangaza unaachana na hoja ya msingi unakimbilia hiyo ya kama mtu anaweza kufanya degree mbili at a time!Haya inawezekana,tupe ufafanuzi wa 1994-1996

Mimi wala simtetei kwa chochote, tunachobishania hapa ni namba tu. Kwa mihula ya masomo hiyo inaweza kuwa miaka miwili, na inaweza kuwa miaka mitatu pia kutegemea ameanza kipindi gani cha mwaka. Kama alianza December 1994 na akamaliza December 1996 hiyo ni miaka miwili. Na kama ameanza Januari 1994 akamaliza December 1996 hapo itakuwa miaka 3. Hata kama alianza March 1994 na akamaliza Nov/Dec 1996 bado itakuwa miaka mitatu. Yaani katika akademia hatuhesabu miaka kwa hesabu ya kutoa, kuna vyuo hapa duniani vinaanza masomo Januari, June, September. Na isitoshe kuna baadhi ya vyuo unaweza kusoma credit nyingi kwa mwaka mmoja, kiasi kwamba ukafupisha muda wa masomo, ili mradi uwee umekamilisha credit zinazohitajika katika program nzima. Katika baadhi ya nchi hili linawezekama ila kwa Tanzania haliwezekani.
 
Na msisahau katika wabunge wote ni yeye aliyepiga kampeni kwa helicopta na vilevile kanunua kota zote za benk pale singida anazikarabati ili afanye hotel.
Kijana anatisha kuliko lowasa kwani kama ni kubarikiwa hapo mwenye kutoa kwa kufuru ni mungu wake.
 
Mh Nyalandu Mb wa Singida Kasikazini ni miongoni mwa wabunge vijana ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano. Nimatumaini yetu sisi vijana wenzako ungeweza tuwakilisha kwa utendaji kazi uliotukuka. Lakini lakini cha ajabu umejikusanyia na kujilimbikizia mali nyingi kwa kipindi kifupi sana. Nadhani wewe ni miongozi mwa wabunge matajiri sana. Una kampuni nyingi za Ujenzi wa bara bara na nyumba zisizo na idadi. Sina shida kama mali hizo umezichuma bila kuhusisha rushwa. Ingependeza kama umeorodhesha hizo mali, ujanja wa kuandika ndugu inaleta shaka kwenye integridity yako na uadilifu.

Nchi yetu ingekuwa na Usalama wa taifa na taasisi ya kuzuia rushwa bila shaka wangekufatilia. Enzi za Mwalimu baba wa taifa Julius Nyerere lazima angekuhoji.

Sina wasi wasi wa Elimu yako,ingawa kuna wasi wasi umechakachua. Hii nimeitoa kwenye kurasa za bunge.


[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Waldorf University College(U.S.A)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]BA (Business Administration)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]1994[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]GRADUATE[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Wartburg University College (U.S.A)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]BA. (International Business)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]1998[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]GRADUATE[/TD]

Mchungaji waosha vinywa wa Magamba watakwambia unajitafutia umaarufu kwa kupekua pekua mambo ya watu
 
Back
Top Bottom