Mh Lazaro Samwel Nyalandu MP Singida Kaskazini

Mh Lazaro Samwel Nyalandu MP Singida Kaskazini

Hizi ni siasa za maji taka na kama nchi inatakwa kuwa hivi basi hakuna kijana mweneye mwelekeo. Ipo siku hakutakalika humu JF. Na yeyote anayedhani ana hoja sana ya kushawishi umma kinyume na haya nayosema aandike hapa na aombe audience nami.
So funny look like wengi wetu tunaochangia hatumjui vizuri mh. nyarandu kuna kipindi alishiriki kuileta Microfinance Institution moja by the name Faulu Tanzania ltd, hii ilikuwa kampuni tanzu ya NGO moja kubwa iitwayo FOOD FOR THE HUNGRY INT. Kwakuwa alishiriki vyema ktk uanzishaji wake wenzake wakamchagua kuwa mwenyekiti wa bodi. Kilichokuja tokea baadaye huyu mheshimiwa akaifanya ile kampuni kama ni ATM yake na believe me alikuja fukuzwa kwa aibu. Faulu Tanzania ltd sasa hivi inaitwa Opportunity International
 
Thanks Rev. Masanilo, thanks EMT..hapa JF watu wanakamata makosa ambayo vyombo vya Serikali vinayaacha yapite. Inaonekana ni kiasi gani Serikali na watendaji wake walivyo vilaza. Huyu Mheshimiwa anatakiwa abadilishe haraka sana CV yake. Kwani hakuna hivi vyuo hapa Marekani

Waldorf University College(U.S.A) BA (Business Administration) 1994 1996 GRADUATE
Wartburg University College (U.S.A) BA. (International Business) 1996 1998 GRADUATE

Ila kuna Waldorf College na pia kuna Wartburg College. Angekuwa anafanya kazi kwingine angefukuzwa kazi kwa kosa la kugushi "CV" yake.
 
Talking about waheshimiwa kuchakachua taarifa zao za elimu tungeomba pia tovuti ya bunge iweke bayana maelezo kamili ya kila mbunge. naona tovuti yao imekuwa tupu sana kuhusiana na taarifa zao. ni vizuri wakaweka contact zao muhimu, wasione usumbufu kwani wamechaguliwa na wananchi ambao wana haki ya kufanya mawasiliano nao.
 
hivi ni baadhi ya vijiji vya jimbo lamh nyalandu ambavyo kuna m2 amemtetea kwamba kaleta maendeleo.
mi sijui maendeleo ni nini kwani mahali kama hakuna barabara,maji shule na vituo vya afya labda watupe aina nyingine za maendeleo mimi nilikuwepo nyakati zote za kampeni.
kanga ,t shirt,pesa taslim 5000,10000 na baadhi ya masheikh kupelekwa makka ilikuwa kama kawa bila kusahau pipi kwa watoto jimbo zima na ilkuwa inazunguka kugawa landcruser ya ccm pale mkoani.
makuro,mdida,ilongero,ikiwu,mang;ombe,kisisi,mpipiti,mpambaa,minyenye,ughandi a,b,laghanida,misinko,malolo nk.
kama mnaona anaonewa wivu basi nchi imefika pabaya sana ila nawahakikishia katika watu wa kuchungwa ni pamoja na huyu mh.
binafsi sina shida na huyu bwana kwani hanijui ila iliniuma sana kwa nchi maskini kama tz na kwa kijana aliyetoka familia masikini kama yake anawezaje kuwanunua wananchi kama yeye hajanunuliwa kwanza.
kwenye masuala ya mahusiano sitaki kumjadili kwani hayo yanamhusu yeye na kuna viongozi wengi afrika wenye matatizo kama yake ila ni wazuri kwenye uongozi.
namalizia kwa kuweka wazi kuwa asiyemfahamu nyalandu hata kwa 20% asichangie iwe kwa kupinga au kwa kuunga mkono.
ila kwa kifupi is a smart and bright guy.

Mkuu hapa tunaongelea elimu yake Marekani. Sio kanga, pesa, n.k. soma post mwanzo ya mwanzisha thread.
 
anaitwa lazaro, haya ya kuita mh, mb nw etc aweza akawa yoyote hata vita kawawa

kukweza hukwaza

nimekuelewa mkubwa...japo nadhani kwa muktadha wa uzi huu inajulikana nani alikuwa anajadiliwa.
 
mkuu...kama nilivyosema awali hiki chuo kina affiliation ya kidini na mheshimiwa alikuwa active sana kwenye issues za ukwata wakati yupo sekondari tz.nina imani kwamba alikwenda pale ili afanye asome na ili a a qualify kufanya accelerated program then akafanya kazi kwa kipindi hicho.ishu ya adult inatakiwa tuangalie kwa muktadha wa kinyumbani kwani kwa miaka ile sidhani kama mtu anaweza maliza A level akiwa below 20.na naamini anaingia kwenye kundi la adults.

Mkuu sijakuelewa ulivyosema chuo kina affiliation ya kidini na Mweshimiwa kwa vile alikuwa active sana kwenye mambo ya ukwata. Ninavyoelewa alikuwa active kwenye Ukwata Ilboru. Je, hii affiliation ilikuwa kati ya chuo na yeye au chuo na Ilboru? Mkuu ni rahisi kujua kama alimaliza form 6 akiwa na miaka 20 au zaidi. Ni kupata tarehe yake ya kuzaliwa tuu. Ila adult accelerated program ni kwa ajili ya wakazi wa Iowa. Inamuwa vigumu kuelewa how mtu aliyemaliza form six anatoka Tanzania directly na kwenda kusoma adult accelerated program designed for the residents of Iowa.
 
Hizi ni siasa za maji taka na kama nchi inatakwa kuwa hivi basi hakuna kijana mweneye mwelekeo. Ipo siku hakutakalika humu JF. Na yeyote anayedhani ana hoja sana ya kushawishi umma kinyume na haya nayosema aandike hapa na aombe audience nami.
So funny look like wengi wetu tunaochangia hatumjui vizuri mh. nyarandu kuna kipindi alishiriki kuileta Microfinance Institution moja by the name Faulu Tanzania ltd, hii ilikuwa kampuni tanzu ya NGO moja kubwa iitwayo FOOD FOR THE HUNGRY INT. Kwakuwa alishiriki vyema ktk uanzishaji wake wenzake wakamchagua kuwa mwenyekiti wa bodi. Kilichokuja tokea baadaye huyu mheshimiwa akaifanya ile kampuni kama ni ATM yake na believe me alikuja fukuzwa kwa aibu. Faulu Tanzania ltd sasa hivi inaitwa Opportunity International
and this is what we want, kumjua mwizi

mulika mwizi!!!

huyo anayejiita falesy, she is actually a fallacy , ukifika pale utajua what we mean
 
Jamani huyu mbunge jaribuni kumfuatilia mambo anayochangia bungeni,kwa kweli mimi nilifuatilia anazungumza pumbaaa vibaya mno mnaposema ni graduate nashangaa
 
Nia yako ya kwenda kugombea sio sababu ya kumpakazia mambo yote hayo mkuu...hebu tutajie hao wafadhili wake wa marekani ni kina nani???
  1. toa uthibitisho wa yeye kuhonga wapiga kura maana sidhani kama ni rahisi mtu ahonge jimbo zima.
  2. hizo hadi za kujenga barabara na uwanja wa ndege alizitoa kwenye uchaguzi upi??
  3. hao wasichana aliowatosa baada ya kushindwa malengo yake waliripoti tukio hilo na hatua gani zilichukuliwa?
  4. kama wapiga kura wake wanamchagua kwa story za marekani we chakusumbua nini.

Acha kumtetea huyo hizo ni tuhuma nzito tayari anatakiwa ajiuzulu haraka kama yule boss wa IMF
 
Mkuu hapa tunaongelea elimu yake Marekani. Sio kanga, pesa, n.k. soma post mwanzo ya mwanzisha thread.
nadhani wewe ndiyo hujaelewa huyu bwana kaandika nini?
wewe umeelewa upande wa elimu tu.mimi namjua kwa upande wa nyumbani kijijini na alivyojilimbikizia mali haraka na bila maelezo.
mimi hiyo elimu yake siijui ndiyo maana kwa upande huo nimewaachia nyie.
 
mandezi wengine utafikiri wote kwao ni moshi...lami mpaka vijijini etc, huyu jamaa unlike wanyaturu wengi, kafanya jitihada sana za kuendeleza kwao, mkoa wa singida kutoka kwenye umaskini uliopo unahitaji efforts za hawa wanayaturu wote waliojazana dar-es-salaam na kwingineko wanaosubiri kutia aibu wakati wa mazishi yao huko vijijini mwao. stop kuosha vinywa, ukweli usemwe unapoonekana, kama ana hitilafu nyingine yawezekana but jimboni kwake amejitahidi mno

Hujui unaloandika Mkuu! Just keep silence for the sake of Singida North.
 
nadhani wewe ndiyo hujaelewa huyu bwana kaandika nini?
wewe umeelewa upande wa elimu tu.mimi namjua kwa upande wa nyumbani kijijini na alivyojilimbikizia mali haraka na bila maelezo.
mimi hiyo elimu yake siijui ndiyo maana kwa upande huo nimewaachia nyie.

Mkuu inaweza kuhitaji separate thread.
 
Jamani huyu mbunge jaribuni kumfuatilia mambo anayochangia bungeni,kwa kweli mimi nilifuatilia anazungumza pumbaaa vibaya mno mnaposema ni graduate nashangaa

Hivi ni miongoni mwa vitu tunavyokuwa na wasi wasi ! Ujanja ujanja na kupenda kucheza na Media kupata coverage ndo strategy zake
 
Utetezi mwingine uko kama utelezi....

Ana bachelors 2 kwenye vyuo vikuu visivyokuwepo.

[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Waldorf University College(U.S.A)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]BA (Business Administration)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1994[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Wartburg University College (U.S.A)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]BA. (International Business)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1998[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Ukiwa Muongo basi uwe unaweka kumbu kumbu.

Narudia tena hizo ni colleges NOT Universities kama alivyodanganya kwenye Tovuti za Bunge
Ni kweli hizo ni colleges; na uwezo wa kujua college au university unatofautiana na uwezo wa kujua elimu ni kitu gani. Wapo mnaothamini kwamba kusoma UDSM ni bora kuliko kusoma IFM na ni bora kusoma kitivo cha biashara au uchumi (UDBS na UDSS) kuliko kusoma COET kwa maana COET ni College na huku kwingine ni schools katika University

Acha kufikiri kwa kutumia tumbo; kama hali ni kusoma Associate Degree miaka miwili na kujiunga na Bachellor degree kumaliza miaka miwili iliyobaki, wewe una utatata gani na hesabu ya 1994 - 1998? Je si miaka minne hiyo? Ni vibaya kwa mtu yeyote anyejua ukweli na kuamua kwa makusudi kuupotosha kisha kichwa chake kimechoka kufikiria na kuamua kutumia tumbo.

Wakuu wana JF, hapa hoja inayopinga si elimu kwa maana hata mwanangu wa miaka mitatu anajua 2+2=4 na anajua wazi kuwa kama kuna watu wawili mmoja akaanza kuhesabu moja hadi nne na mwingine akahesabu moja hadi mbili mara mbili basi mwisho wa siku wote watakuwa wamehesabu moja hadi nne lakini huyu wa pili atapewa tunzo mbili 1-2 ya kwanza na 3-4. Tuache majungu hapa kuna siasa za maji taka zinazoibuliwa dhidi ya LN na hakuna kingine hebu soma thread orijino.

Makosa yawaweka tarifa kwa mtandao si makosa ya mwenye taarifa kwa hiyo ukitafuta vyeti vyake vitakuwa vimeandikwa Associate Degree na Bachellor Degree na ndivyo alivyoombea ubunge na si taarifa za Mtandao wa Bunge amaana huo uliweka taarifa baada ya kuwa amequalify kwa vyeti hivyo.

Siasa za maji taka zitatufikisha tusikotaka kwenda au kufika tunakotaka kwenda kwa njia tusiyotaka kupita. Viazi fikirieni jungu jipya hili hapa hamna kitu.
 
Ni kweli hizo ni colleges; na uwezo wa kujua college au university unatofautiana na uwezo wa kujua elimu ni kitu gani. Wapo mnaothamini kwamba kusoma UDSM ni bora kuliko kusoma IFM na ni bora kusoma kitivo cha biashara au uchumi (UDBS na UDSS) kuliko kusoma COET kwa maana COET ni College na huku kwingine ni schools katika University.

Hii ni pumba bin Crap!

Nafurahi umeadmit Lazaro Has never been to University rather than colleges.


Acha kufikiri kwa kutumia tumbo; kama hali ni kusoma Associate Degree miaka miwili na kujiunga na Bachellor degree kumaliza miaka miwili iliyobaki, wewe una utatata gani na hesabu ya 1994 - 1998? Je si miaka minne hiyo? Ni vibaya kwa mtu yeyote anyejua ukweli na kuamua kwa makusudi kuupotosha kisha kichwa chake kimechoka kufikiria na kuamua kutumia tumbo
.

Nadhani wewe ndiye unayefikiria kutumia makalio! Tangia mwaka 2000 makosa yamefanyika yeye alikuwa wapi kurekebisha? Bila aibu ameandika amegradute kwenye Associate Degree ya BA (Business Administration) na alivyokuwa Kilaza tena akagraduate kwenye BA. (International Business). Tukirudi kwenye Mada Lazaro hana BA mbili.

Mbona suala la kujimbikizia mali hutaki gusia Mh? Unakumbuka alifanya Kampeni kwa helicopta wakati wananchi wake wako kwenye uhohe hahe? Hakuna vituo vya afy, maji na huduma zingine za kijamii?

Grow up to maturity!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
1994-96 = 3 kweli wewe ni kilaza wa Gamba!

Ana maana hii labda:

Waldorf University College(U.S.A)
Mwaka wa kwanza:1994
Mwaka wa pili:1995
Mwaka wa tatu:1996

Halafu tena
Wartburg University College (U.S.A)
Mwaka wa kwanza:1996
Mwaka wa pili:1997
Mwaka wa tatu:1998

Hesabu bana......kama umande😛ound:
 
Ni kweli hizo ni colleges; na uwezo wa kujua college au university unatofautiana na uwezo wa kujua elimu ni kitu gani. Wapo mnaothamini kwamba kusoma UDSM ni bora kuliko kusoma IFM na ni bora kusoma kitivo cha biashara au uchumi (UDBS na UDSS) kuliko kusoma COET kwa maana COET ni College na huku kwingine ni schools katika University

Kama ni colleges kwa nini yeye aziite universities?

Makosa yawaweka tarifa kwa mtandao si makosa ya mwenye taarifa kwa hiyo ukitafuta vyeti vyake vitakuwa vimeandikwa Associate Degree na Bachellor Degree na ndivyo alivyoombea ubunge na si taarifa za Mtandao wa Bunge amaana huo uliweka taarifa baada ya kuwa amequalify kwa vyeti hivyo.

Sure kwenye vyeti vitakuwa vimeandikwa (A.A) Associate Degree lakini ni ruksa kutoa taarifa potufu kwa bunge kuwa ni (B.A) Bachelor degree. Waliopost kwenye hiyo site ya bunge walipost taarifa kama walivyopewa na Mheshimiwa. Haiwezekani Mheshimiwa aliwapa majina ya vyuo kama Waldorf College na Wartburg College halafu wao wakaandika Waldorf University College na Wartburg University College. Haiwezekani aliwapa details ya degree yake A.A (Associate Degree), wao akaandika B.A (Bachelor degree). Haiwezekani aliwaambia hiyo degree ya kwanza ni associate wao wakaandika Graduate.

Acha kabisa kumsingizia mweka taarifa. Mweka taarifa asingekuwa mjinga kiasi hicho. Aliyeweka hizo details aliziweka kama alivyopatiwa na mhusika au mwakilishi wake. Tatizo ni kuwa Bunge hawa cross check details zilizotolewa na wabunge. Wangekuwa wamefanya hivyo wangundua kuwa hakuna vyuo vinavyoitwa Waldorf University College na Wartburg University College.
 
Back
Top Bottom