Mh dunia imeisha.

Toka nae tu,ila siku "DUME"ikipasuka lazima ujinyee kwa kihoro.
 
Jamani wiki ya pili sasa tangu nikutwe na mkumbo huu mh huwezi amini mtaani kwetu kuna sugar mamy linanitaka je kuna shida nikitoka nalo naombeni ma advice nini.
mnaimaliza nyie mnaotaka kutoka na ma sugar mamy ili hali wa umri wako wapo tele!!!linakuvuta kwa nguvu!??!!!
 
Jamani wiki ya pili sasa tangu nikutwe na mkumbo huu mh huwezi amini mtaani kwetu kuna sugar mamy linanitaka je kuna shida nikitoka nalo naombeni ma advice nini.

heading yako mbona ishakupa jibu? unauliza nini tena?
 
Jamani wiki ya pili sasa tangu nikutwe na mkumbo huu mh huwezi amini mtaani kwetu kuna sugar mamy linanitaka je kuna shida nikitoka nalo naombeni ma advice nini.

amani ya kristo iamue moyon mwako bcs soon u too u will hav a wif so take measure wat goes arround comes arround its about time!
 
Jamani wiki ya pili sasa tangu nikutwe na mkumbo huu mh huwezi amini mtaani kwetu kuna sugar mamy linanitaka je kuna shida nikitoka nalo naombeni ma advice nini.

lete picha hapa tukupe tathmini kamilifu, pengine tayari dot com tutajuaje sisi.
 
kwa utafiti mdogo just through observation humu Jf nimegundua masuala ambayo watu wengi hupenda kuchangia. am still learning
 
Yakupaswa kutazama wewe mwenyewe kwan ndio m2 ulie karibu nae sio 2na kushaul kuacha kumbe ww unataman pesa anazo kupa.
 
By jimama unamaanisha lina MWILI MKUBWA au Limejaaliwa au umri umeenda!? Kama lina mwili mkubwa JIHADHARI manake engine inaweza kuchemsha! Ohooo na usipomridhisha lazima AKUTANDIKE VIBAO kwa kumsumbua! Usipime kina cha bahari na mguuu! LOLEST
 
Jamani wiki ya pili sasa tangu nikutwe na mkumbo huu mh huwezi amini mtaani kwetu kuna sugar mamy linanitaka je kuna shida nikitoka nalo naombeni ma advice nini.

Kwani we unaonaje?

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Mnachezea nafasi! Sasa unaliachia nini? Ilitakiwa unaripoti hapa jinsi muonjo ....mtongo.. si habari za kuomba muongozo. Fanya fasta we liwashe tu, kwani nini
 
Hovyo,nimefungua kutaka kujua hiyo Dunia imeishaje kumbe dogo mmoja anataka apewe sapoti kwenye uhuni wake...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom