Mambo Kaizer? Jamani ninaanza kuhisi kuchukiwa.
Jamani wiki ya pili sasa tangu nikutwe na mkumbo huu mh huwezi amini mtaani kwetu kuna sugar mamy linanitaka je kuna shida nikitoka nalo naombeni ma advice nini.
poa tu mwaya !za home?kazi?pole na mihangaiko kibao,karibu tubarizi kidogo humu baada kuingia jikoni kuaandaa dinner!
HA HA HA HA umenifarahisha mkuu naona unataka kumpora kijana ng'ombe wke,,,,Nipe namba yake kijana nitoke nalo mzee mwenzie nyie vijana endeleeni na watoto wenzenu wabichi kabisa