Mh dunia imeisha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh dunia imeisha.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Morgan james, Sep 19, 2012.

 1. M

  Morgan james Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani wiki ya pili sasa tangu nikutwe na mkumbo huu mh huwezi amini mtaani kwetu kuna sugar mamy linanitaka je kuna shida nikitoka nalo naombeni ma advice nini.
   
 2. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  hili nalo mtasema kalogwa.......puuuuuuuuuuf
   
 3. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Toka nalo kijana maaana inaonekana na wewe umelipenda naend ukatoe dose dogo
   
 4. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  kama wapenda vya bure toka nae
   
 6. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  So let me get this straight,
  Wewe kutakwa na 'Sugar mammy' mtaani kwetu ndo kunafanya dunia hii hii tuliyopo wote kwisha?
  Kama tumeshakufundisha hadi kuandika kwenye keyboard umeweza, and you're still not matured to know how to deal with that then we give up!
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  fuata moyo wako, kama moyo wako usingekuwa na nia mbili hata usingekuja omba ushauri wa ishu nyepesi kama hii.
   
 8. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Nipe namba yake kijana nitoke nalo mzee mwenzie nyie vijana endeleeni na watoto wenzenu wabichi kabisa
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Halafu thread kama hii tukichakachua tutaonekana wabaya? BADILI TABIA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  kaka mi nimekumisi. Msalimie wifi, jumamosi nakuja kula vitumbua huko. :p
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Hata mi mwalimu wako nakuruhusu uichakakachue Kaizer
   
 12. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Mambo Kaizer? Jamani ninaanza kuhisi kuchukiwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  snowhite,..za mida mida beste,
   
 14. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  wapo wanaokupenda...msalimie Eiyer
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wanajf, hili nalo ni swali unahitaji kujibiwa au kushauriwa? Umetongozwa, angalia kama unapenda au hupendi, kisha fanya kitu roho yako inakuambia.
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kaunga akija hapa, utajibeba.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  poa tu mwaya !za home?kazi?pole na mihangaiko kibao,karibu tubarizi kidogo humu baada kuingia jikoni kuaandaa dinner!
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Eheee marioooooooooooo kwatuuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
   
 19. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mimi nimemsoma Kaunga kwahiyo nitajibu kwa kukushauri vyema...............
  Kutokana na hali ya maisha ilivyo ngumu sasa hivi na ukizingatia hali ya kipato chako si nzuri (nimefanya observation kutokana na kujiuliza kwako mara 2 kumkubali jimama) mimi nakushauri umkubali huyo jimama. Lakini. Mosi, hakikisha kuwa she is loaded sio unaenda kutumika bure. Pili jilinde afya yako na ya jimama pia, nadhani njia za kujilinda unazifahamu, mi mkatoliki sikushauri Kondomu. Ni hayo tu. Asante ndugu Morgan james
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Wifi yangu atakaekuchukia mbona anajichosha tu! Angejua braza Eiyer anavyokuzimikia!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...