Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,247
- 12,765
Asante sana madaktari wa Mnazi Mmoja Zanzibar Kwa kuungana na wenzenu wa bara katika mapambano ya ukombozi wa sekta ya afya
Mama weeee!,hata huko kimenuka?
Asante sana madaktari wa Mnazi Mmoja Zanzibar Kwa kuungana na wenzenu wa bara katika mapambano ya ukombozi wa sekta ya afya
CNN, Aljazeera, BBC nk hawana muda wa kuripoti upuuzi wa madaktari vilaza wa tz. They are aware kuwa Serikali si wa kulaumiwa, otherwise wangeshatia timu kitambo.
Well, kosa ambalo kwangu naona serikali wanafanya kupitia Pinda na wewe inclusive ni kudharau dai la waziri na naibu wake kujiuzulu, ni kama kutegemea gari liende bila kwanza kulitia mafuta.Waziri unamuhusu nini? wakati maswala yao yote yana shughulikiwa? Serikali ikiendelea kuwasikiliza hawa makanjanja wanaojiita madaktari itakuwa haijawatendea haki watanzania. hawa madaktari Kikwete anawachekelea sana, ingekuwa mimi, saa hizi wananyea debe.
Wewe unadhani kwamba unachokifanya sasa hivi ni sahihi kwa sababu ukiwa kama daktari, katika situation iliyopo sasahivi, ni kweli kwamba "umeshika mpini", on the other side, wagonjwa ndio "wameshika makali". Suppose ingekuwa wewe, pamoja na udaktari wako, uko wodini umelazwa, halafu wenzako wanakuja na msimamo kama huu mliokuwa nao sasa hivi, ungekuja hapa jf na statement gani?Utawezaje kumlalamikia dereva akuwahishe mahali wakati gari halina mafuta. Badala ya kumlaumu aliyemkosesha mafuta unamlaumu anayeendesha sababu tu ndiye unayemuona kikwazo. Chamsingi ni kutatua kiini cha matatizo na si kuangalia wapi pa kutupa lawama. Serikali imajeribu kutufanyia majaribio, sasa wamepata majibu. Tuna sera nzuri sana za mambo ya afya, ila usimamipo hovyo kabisa. Ukiuliza mapungufu yasiyo yalazima yanatokeaje, utaambiwa TUPO KWENYE MCHAKATO. Haya endeleeni na MICHAKATO hiyooo weeeeee.......
Funguka wewe! si kila nchi ina uhaba wa madaktari. Zingine zina surplus kama China, India, Cuba, Misri nk. Kama utakumbuka, juzi balozi wa Misri alikuwa pale Wizara ya Afya, unafikiri alikwenda kunywa chai?
Watamwagwa ma-dr hapa kama ***** na kiburi chenu kitaisha kwani mtapigwa chini. Hizo kazi mtaziomba upya mkiwa mmepiga mgoti na mikono nyuma ......ma-dr vilaza ninyi.
China, India, Misri na Cuba zimeahidi zaidi ya madaktari elfu moja, wako stand-by.
Kumbd keki tamu!
Nilijua tu Vimon atakuja na update iliyosimama kuliko zile ambazo zinatuchanganya. Kuna mama yangu yuko bugando ngoja nipige simu nione kama kuna huduma ama la.
Kuna dalili za mauaji ya Kimbari hapa.
Madaktari tuoneeni huruma sisi wanyonge.
CNN, Aljazeera, BBC nk hawana muda wa kuripoti upuuzi wa madaktari vilaza wa tz. They are aware kuwa Serikali si wa kulaumiwa, otherwise wangeshatia timu kitambo.
Natamani kwenda na petrol nikachome pale magogoniHakuna lalamiko jipya labda tu hujaelewa ni nini kilizungumzwa wakati wa mkutano wa madaktari na Pinda na kusimamishwa kazi katibu mkuu na mganga mkuu,pitia huko na utaona kuwa kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa na napenda ujue kuwa taaluma ya udaktari ni nyeti sana sio kila mtu anaweza kwenda kama ilivyo ualimu(siwashushii heshima walimu la hasha)
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.
Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.
Hakuna ya ndani, ni nini kinachowafanya wasimtake waziri? watendaji wakuu wamesimamishwa na Pinda mbele yao alipokutana nao. Sasa wanaingilia ambako mipaka yao hairuhusu wafike.
Sasa kama gharama za maisha Dodoma zimepanda unategemea Zanzibar itakuwaje wakati mahitaji yote muhimu wanayategemea yatoke Tanganyika kasoro samaki tu? mgomo hauepukiki haya maisha yameshakuwa siyo!Mama weeee!,hata huko kimenuka?
Funguka wewe! si kila nchi ina uhaba wa madaktari. Zingine zina surplus kama China, India, Cuba, Misri nk. Kama utakumbuka, juzi balozi wa Misri alikuwa pale Wizara ya Afya, unafikiri alikwenda kunywa chai?
Watamwagwa ma-dr hapa kama ***** na kiburi chenu kitaisha kwani mtapigwa chini. Hizo kazi mtaziomba upya mkiwa mmepiga mgoti na mikono nyuma ......ma-dr vilaza ninyi.
China, India, Misri na Cuba zimeahidi zaidi ya madaktari elfu moja, wako stand-by.
Wewe unadhani kwamba unachokifanya sasa hivi ni sahihi kwa sababu ukiwa kama daktari, katika situation iliyopo sasahivi, ni kweli kwamba "umeshika mpini", on the other side, wagonjwa ndio "wameshika makali". Suppose ingekuwa wewe, pamoja na udaktari wako, uko wodini umelazwa, halafu wenzako wanakuja na msimamo kama huu mliokuwa nao sasa hivi, ungekuja hapa jf na statement gani?
Taarifa zilizonifikia kutoka vyanzo vya kuaminiaka bugando wamebandika tangazo likisomeka hivi
"KUTOKANA NA SERIKALI KUTOKUWA TAYARI KUSHUGHULIKIA MADAI YA MADAKTARI IPASAVYO SISI MADAKTARI TUMESIKITISHWA SANA. KUANZIA LEO TAREHE 7 MACHI 2012 SAA 2; 00 ASUBUHI,MADAKTARI WA HOSPITALI YA BUGANDO TUNASITISHA KUTOA HUDUMA ZOTE MPAKA HAPO SERIKALI ITAKAPOSHUGHULIKIA MADAI HAYO.
JUMUIYA YA MADAKTARI BUGANDO (INTERN,REGISTRARS,RESIDENTS)
NAKALA KWA WAKUU WA IDARA,UTAWALA BMC"
MUHIMBILI
EMD-KITENGO CHA WAGONJWA WA DHARURA KIMEFUGWA
OPD-WAGONJWA WAMEJAA LAKINI HAWAONI
THETRE HAZIFANYI KAZI NA MASPECIALIST WAPO RUSSIAN CULTURE TO PUT LAST NAIL IN THE COFFIN. WAMEUNGANA NA WATAANZA MGOMO RASMI LEO.
AMANA
TOTAL TOOLS DOWN
MWANANYAMALA
TOTAL TOOLS DOWN EXCEPT 4 COs
TEMEKE
TOTAL TOOLS DOWN
MBEYA
WANAENDELEA PALE WALIPOISHI MAANA MGOMO KAMA KAWA
IFAKARA
TOTAL TOOLS DOWN
KCMC
MADAKTARI KUTOA TAMKO MUDA SI MREFU
Ikulu kuna mkutano mkubwa unaendelea nitato updates bdae
nenda muhimbili
komputya yako haina kifaa kinachoitwa 'google'? kitumie kuangalia 'demand'ya madaktari duniani.
Usiombe kukutana na dokta kutoka Cuba akifanya kazi ktk hospitali zetu,ni hatari tupu...mazingira hospitari zetu wanayaweza wazawa tu,kuna vifaa vya tangu vita kuu ya kwanza ya dunia hapa vinapiga kazi kama kawaida,wale wamezoea kila kitu digital kwetu bado tunatumia 'mechanical advantage'. Ma dr.wetu ni kama madreva wa landrove 109,
Now we are talking........sasa niwaombe tu madaktari popote nchini...hakika hakuna kurudi nyuma..kamateni hapahapa hamna kuachia mpaka hawa watawala waamke.Imekuwa kila mara ni mizaha tu wanafanya kwenye mambo ya msingi...mbaya zaidi wameingiza siasa kwenye issue za vichwa makini vya madaktari.......wameshindwa kujifunza wanashughulika na watu wa namna gani....wamezoea kusukuma raia kama makondoo......Taarifa zilizonifikia kutoka vyanzo vya kuaminiaka bugando wamebandika tangazo likisomeka hivi