Mkuu achana na mpaka wanja huyo, tuko pamoja na madaktari wetu regardless tunawagonjwa tunaoouguza.Nilipokushauri ukatafute matusi mapya baada ya masaa manne 'makanjanja' is the best you can come up with?! Katafute mengine makubwa zaidi kisha urudi tena hapa...mpaka ufuke povu leo na dua zako za kuku!
unachemkaHuu mgomo ni batili kisheria. Serikali ina haki ya kuwashtaki au iwafukuze kazi wale watakaoendelea kukaidi rai ya kuwataka warudi kazini.
For Dr's info: ma-dr wa kutosha kutoa huduma za dharura wako stand-by toka nchi rafiki. Liwalo na liwe, watakuja kuokoa roho mnazotaka zipotee. In the meantime serikali inajipanga kushughulikia kiburi chenu na kuwarudisha kwenye saizi yenu halisi.
Kipindi hiki lazima jambo litafanyika, hata kama ni kwa gharama. Lazima kukomesha hii jeuri ya madaktari kuvunja katiba na kutaka kuingilia madaraka ya Rais ya kuteua wasaidizi wake.
Waziri unamuhusu nini? wakati maswala yao yote yana shughulikiwa? Serikali ikiendelea kuwasikiliza hawa makanjanja wanaojiita madaktari itakuwa haijawatendea haki watanzania. hawa madaktari Kikwete anawachekelea sana, ingekuwa mimi, saa hizi wananyea debe.
Hiki ndicho serikali yetu inachokitaka, sijutii kuzaliwa Tanzania lakini najiuliza kwanini Mungu anaruhusu viongozi kama hawa wachaguliwe nchini mwetu? is HE really fair?Taarifa zilizonifikia kutoka vyanzo vya kuaminiaka bugando wamebandika tangazo likisomeka hivi
"KUTOKANA NA SERIKALI KUTOKUWA TAYARI KUSHUGHULIKIA MADAI YA MADAKTARI IPASAVYO SISI MADAKTARI TUMESIKITISHWA SANA. KUANZIA LEO TAREHE 7 MACHI 2012 SAA 2; 00 ASUBUHI,MADAKTARI WA HOSPITALI YA BUGANDO TUNASITISHA KUTOA HUDUMA ZOTE MPAKA HAPO SERIKALI ITAKAPOSHUGHULIKIA MADAI HAYO.
JUMUIYA YA MADAKTARI BUGANDO (INTERN,REGISTRARS,RESIDENTS)
NAKALA KWA WAKUU WA IDARA,UTAWALA BMC"
MUHIMBILI
EMD-KITENGO CHA WAGONJWA WA DHARURA KIMEFUGWA
OPD-WAGONJWA WAMEJAA LAKINI HAWAONI
THETRE HAZIFANYI KAZI NA MASPECIALIST WAPO RUSSIAN CULTURE TO PUT LAST NAIL IN THE COFFIN. WAMEUNGANA NA WATAANZA MGOMO RASMI LEO.
AMANA
TOTAL TOOLS DOWN
TEMEKE
TOTAL TOOLS DOWN
MBEYA
WANAENDELEA PALE WALIPOISHI MAANA MGOMO KAMA KAWA
IFAKARA
TOTAL TOOLS DOWN
KCMC
MADAKTARI KUTOA TAMKO MUDA SI MREFU
Ikulu kuna mkutano mkubwa unaendelea nitato updates bdae
Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.
Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.
Ni mpaka watu wangapi waangamie, ni roho ngapi zikipotea ndio itambulike kwamba Tanzania hali si shwari, Wenye link na CNN, ALJAZEERA, Na media kubwa duniani Tusaidieni kufikisha salamu hizi ili tupate global emergency relief ya madaktari..Serikali ya ccm haijali tena watanzania, uwaziri Hadji Mponda una thamani kubwa kuliko uhai wa watu wanaopotea kutokana na mgomo wa madaktari unaoendelea, Ni bahati mbaya sana kwamba kiti cha uongozi wa juu kabisa wa nchi 'kiko wazi' hakuna msaada zaidi ya sisi wenyewe kujitoa
Absolutely!wanataka live demontration siyo hii ya kukaa kwenye keyboard
Wewe ndio aina ya wananchi mbumbumbu wa kitanzania.ngoja nikuulize maswali haya tu.Hawa madakatari wanatakiwa wauliwe, ni magaidi wanaocheza na roho na maumivu ya watu.
Hauwezi kabisa kila siku ukaja na malalamiko mapya ukae uchekewe tu. Nawaomba sana serikali isiwasikilize kabisa na iwape 2 hours wawepo kwenye kazi zao nje ya hapo, wachukuliwe hatua kali sana ikiwepo na kushtakiwa kwa kila kifo kitachotokea wakati wa mgomo, wakasote jela wakijibu kesi za mauaji.