Mgogoro Waibuka Ofisi za Chadema-Mwanza

safi mkuu

labda aje na lingine,unajuwa hivi vitu vya propaganda visiumize kichwa sana,huwa ni rahisi sana kumshika mtu uongo kwani zama hizi mawasiliano ni mengi,so inakuwa ni rahisi sana kuwasiliana na wahusika na kuelewa ukweli halisi
hayo ndo mambo MAGAMBA waoongo sana wakafie mbele
 
ccm%2B7.jpg


hawa ndiyo wanaodai pesa zao kwani inasemekaka hawajalipwa pesa kulingana na kunengua kwao
--picha na ripota wetu
 
Kwa hili chama changu CDM tumeaibisha sana, nimekuja hapa mabatini kwa machinga nao wamenuna kwanini tuliendea vijana Tarime huu ujinga nani alitushauri?!!!! Shame on us!

Ebu tundika angalau namba yako ya uanachama wa CDM, hata uliyopewa na Nepi tu.
 
Siasa uchwara zipo magambani. So mleta uzi hebu futa kauli kabla sijafunga milango.
 
yale yale yaliyowakuta wanafunzi wa UDOM,wameandamana kufika karibu na mjengoni,simu za wafadhili wao hazipatikani,acha wakung'untwe virungu.
 
...nimekuja ofisi za cdm hapa nakuta ndo anaingia meya wa jiji la Mwanza huku analalamika..." niliwaambia hatutawaweza hawa safari hii wanasaidiwa na mashushushu wa serikali mkanibishia sasa oneni hii aibu y a mwaka, yaya gete"

kumbe ndio tabia yao eeeeeeeee,sasa limewachwea.
 
watawadanganya wachache sana pia yawezekana wanapoteza wao bure, sioni haja kupoteza muda kujadili mada isiyo na mashiko Taifa. Hivi huyu mwanzilishi alitaka kupata jibu gani na kwa faida ya nani?
 
Hii habari inaonyesha ni ya uongo na kutaka watu kukiona cdm ni chama cha wahuni ndo maana habari yenyewe haina source

Jamani sasa hii imezidi.asubuhi tumeambiwa mgogoro arusha sasa mwanza.kweli mumedhamiria kuichafua chadema.
 
Hahahaaa, Vijana wa Chadema wamefika Mwanza na kuona Vimwana/Wake za makada wa CCM wakachanganyikiwa.

Walikuwa wamepewa pesa ya kwenda na kurudi ila wao wakaona waingie kwenye ushindani wa kuopowa vimwana na Mwigulu Mchemba. Mwigulu Mchemba dau lake ni zito sana na walipokuja kushtuka, vimwana wanaondoka na Mchemba na wao hata nauli ya kurudi hawana.

Wee unataka kuingia dau la kushindana na Mwigulu, mwenzio ana fweza ya CCM kama karanga.

Siku nyingine muangalie mnataka kushindana na nani kwa wake za Makada wa CCM.

Ila mshukuru kuwa walau mliambulia Wali/Pilau na nguo za CCM.

Sasa mnaweza kutembea kama Baba wa taifa, kutoka Butiama hadi Mwanza, ahhh!!! I mean kutoka Mwanza hadi Bunda.

By the way, Bunda inabidi ubadilishwe jina maana kwa Kireno (Portugal), Bunda ni MASABURI.

Wa Sengerema, nendeni mumuone Mbunge wenu Ngereja atakupeni nauli mrudi kwenu.

Kama hamna pesa ya kivuko, kumbekeni maneno ya Magufuli - OGELEENI.
 
mimi sio chadema na wala sio msemaje wa chadema lakini wewe ina maana ulikuwa huna taarifa kuwa ccm ilikodosha malori na mamluki kuja kwenye mkutano? ccm ni chama cha mafisadi pesa iliyotengwa kulipwa kwa hao mamluki mmeila wajanja sasa watu wanahangaika.ccm kila sehemu mnachakachua ..sio fresh banaaa

Weka akili zako zikae mguu sawa, kumbuka kuwa zile zilikuwa sherehe za kitaifa kwa hiyo kusomba watu na kuwaleta pamoja ilikuwa sawa kabisa.
 
Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji wa Mwanza,lakini watu hapa wanasema walikuja kutoka mara kuvuluga mkutano wa CCM kwa kuzomea na kupiga watu mawe ila ulinzi ulikua mkali,wanasema kuna kiongozi wao kutoka Musoma anaitwa Samson Nyangi hajaonekana tangu jana jioni na hapatikani kwa simu,lakini viongozi hapa wanasema vijana hawa walipewa chao kabla ya kuja! Zogo linaendelea
Naamini Star TV wataitoa vizuri habari naona mpiga picha wao kafika hapa
My take:
Ina uma sana kuona vijana wanatumiwa na kudhalilishwa na wanasiasa kiasi hiki!
Halafu wao ndiyo wa kwanza kusema maisha magumu huku wakiwasababishia vijana ugumu kwa kufanya shughuli zisizokuwa na maana ujira wa chakula. Chadema siyo chama hiyo ni taasisi ya Mbowe na wakwe zake. Wabunge wote ni wafanya kazi wao wanakula ruzuku kilaini bila ya kuhoji matumizi. MARUFUKU
 
mkuu hizi habari ni nzito, unajua mimi nilishasema kwenye post zangu zilizopita kuhusu hawa wenzetu vitendo walivyovifanya kwa kuwasomba watu kuja kuivuruga sherehe yetu


Mkuu uwezo wako wa kufikiri na akili zitakuwa kama za huyu kwenye avatar yako .Endelea mkutumikia shetani soon utakuwa kama Sauli kama utapata bahati hiyo kwako ni kuishia chaka completely .
 
Back
Top Bottom