Mgogoro Waibuka Ofisi za Chadema-Mwanza

acheni kulalama mtandaoni

pigeni simu mwanza kuelewa kama issue ni ya kweli na ikiwezekana kuwazuia star tv kuiweka hii kitu hewani
 
CDM si ndio chama cha fujo kinajulikana, hilo wala si geni kwao kuharibu sherehe za ccm

mimi sio chadema na wala sio msemaje wa chadema lakini wewe ina maana ulikuwa huna taarifa kuwa ccm ilikodosha malori na mamluki kuja kwenye mkutano? ccm ni chama cha mafisadi pesa iliyotengwa kulipwa kwa hao mamluki mmeila wajanja sasa watu wanahangaika.ccm kila sehemu mnachakachua ..sio fresh banaaa
 
Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji wa Mwanza,lakini watu hapa wanasema walikuja kutoka mara kuvuluga mkutano wa CCM kwa kuzomea na kupiga watu mawe ila ulinzi ulikua mkali,wanasema kuna kiongozi wao kutoka Musoma anaitwa Samson Nyangi hajaonekana tangu jana jioni na hapatikani kwa simu,lakini viongozi hapa wanasema vijana hawa walipewa chao kabla ya kuja! Zogo linaendelea
Naamini Star TV wataitoa vizuri habari naona mpiga picha wao kafika hapa
My take:
Ina uma sana kuona vijana wanatumiwa na kudhalilishwa na wanasiasa kiasi hiki!
Unasema sta tivii iliyoshindwa kuripoti hata mgomo wa madaktari?
 
CDM Hawana Hela za Kuwadhalilisha Watu Kwenye Malori na kuwapa Chakula Watu, ili wasahau Kufikiri!! Aibu!! Kwa Hiyo hao watu naona ni Katika watu waliosombwa na mafuso kwa Ahadi ya Malipo ya kuhudhuria ila kwa sasa mwenye Kutoa malipo amewazima!! Magamba at Work!!!!
 
mimi sio chadema na wala sio msemaje wa chadema lakini wewe ina maana ulikuwa huna taarifa kuwa ccm ilikodosha malori na mamluki kuja kwenye mkutano? ccm ni chama cha mafisadi pesa iliyotengwa kulipwa kwa hao mamluki mmeila wajanja sasa watu wanahangaika.ccm kila sehemu mnachakachua ..sio fresh banaaa

Ww wajulikana CDM kufa humu JF, hujui hilo ? tunakucheka sana !

acheni kulalama mtandaoni

pigeni simu mwanza kuelewa kama issue ni ya kweli na ikiwezekana kuwazuia star tv kuiweka hii kitu hewani

Niko Mwanza mkuu ni uzushi,ndiyo maana anasema viongozi wa wilaya hapa Mwanza,sasa tuna wilaya 2 Nyamagana na Ilemela sasa yeye anaongelea wilaya ipi?
 
Nawezaje tuma picha hapa JF kwa kutumia blackberry? Naomba Msaada nirushe picha zao

Nakumbuka uchaguzi wa 2010 CCM waliwaandaa green guard, wakawavalisha magwanda ya CDM, ili waanze kufanya vurugu, bahati nzuri mbinu yao ikanaswa na intelijensia ya CDM Arusha, chini ya kamanda Mwigamba. CCM wana mbinu chafu sana. Hao wanaofanya vurugu kama ni kweli nawaambieni mtawakuta hata kwenye register ya wanachama majina yao hayapo!
 
Niko Mwanza mkuu ni uzushi,ndiyo maana anasema viongozi wa wilaya hapa Mwanza,sasa tuna wilaya 2 Nyamagana na Ilemela sasa yeye anaongelea wilaya ipi?

safi mkuu

labda aje na lingine,unajuwa hivi vitu vya propaganda visiumize kichwa sana,huwa ni rahisi sana kumshika mtu uongo kwani zama hizi mawasiliano ni mengi,so inakuwa ni rahisi sana kuwasiliana na wahusika na kuelewa ukweli halisi
 
Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji wa Mwanza,lakini watu hapa wanasema walikuja kutoka mara kuvuluga mkutano wa CCM kwa kuzomea na kupiga watu mawe ila ulinzi ulikua mkali,wanasema kuna kiongozi wao kutoka Musoma anaitwa Samson Nyangi hajaonekana tangu jana jioni na hapatikani kwa simu,lakini viongozi hapa wanasema vijana hawa walipewa chao kabla ya kuja! Zogo linaendelea
My take:
Ina uma sana kuona vijana wanatumiwa na kudhalilishwa na wanasiasa kiasi hiki!

No research no right to write. Andika hoja yako weka evidence, mfano jina au majina ya viongozi hao wa CMD, majina ya vijana wenyewe na namba zao za uanachama, wametumwa na nani n.k. Usituandikie upepo hapa,kwa mfano umeandika" viongozi hapa wanasema vijana hawa walipewa chao kabla ya kuja" Viongozi hao hawana majina? Nadhani masihara na ubabaishaji ndio vinavyoleta shida hapa
 
Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji wa Mwanza,lakini watu hapa wanasema walikuja kutoka mara kuvuluga mkutano wa CCM kwa kuzomea na kupiga watu mawe ila ulinzi ulikua mkali,wanasema kuna kiongozi wao kutoka Musoma anaitwa Samson Nyangi hajaonekana tangu jana jioni na hapatikani kwa simu,lakini viongozi hapa wanasema vijana hawa walipewa chao kabla ya kuja! Zogo linaendelea
Naamini Star TV wataitoa vizuri habari naona mpiga picha wao kafika hapa
My take:
Ina uma sana kuona vijana wanatumiwa na kudhalilishwa na wanasiasa kiasi hiki!
Mgomo wa madaktari CDM, sumu aliolishwa mwakyembe CDM. Mgomo wa wanafunzi vyuo vikuu CDM. Wajomba wa ccm waliozamia wali ng'ombe wakashindwa kujimuvuzisha makwao CDM, foleni za Dsm CDM, kushuka kwa thamani ya shilingi yakitanzania CDM, Anaemiliki jf CDM..ivi magamba mnamatatizo gani? Kuna mambo ya msingi mnashindwa kushugulikia mnatupia lawama CDM..ovyo kabisa nyie. Em rudisheni hao wajomba zenu makwao
 
Ww wajulikana CDM kufa humu JF, hujui hilo ? tunakucheka sana !

mimi sio chadema na wala sio ccm. wakuchekwa ni chadema au ni ccm? walipeni hao mamluki bana. acheni wizi hapa mmezidi bana. ufisadi kuanzia kwa baba zenu hadi kwa watoto wanaoorganise mamluki. kweli hiki chama kimekufa na kitakufa kibudu soon.
 
Ww wajulikana CDM kufa humu JF, hujui hilo ? tunakucheka sana !

Igunga vijana wenu walijimwagia tindikali wenyewe, mkasema amemwagiwa na vijana wa CDM. Walipeni vijana mleowasomba kwa malori. Halafu wewe unajulikana CCM damu. Tunakushangaa sana!
 
Back
Top Bottom