Mgogoro Waibuka Ofisi za Chadema-Mwanza

Mgogoro Waibuka Ofisi za Chadema-Mwanza

Mbona Mwanza kuko shwari tu.Bilashaka huyu ni Nape.Hapa ccm kirumba kumejaa wazee na vijana waliokoswa usafiri kurudi makwao wanadai wameachwa na mabasi yaliyowaleta kwa ghalama za MAGAMBA kutoka mikoani.
 
vijana wameshika vidumu vya petrol wanatishia kuchoma ofisi
 
Uongo mtupu mimi nipo hapa mwanza hakuna kitu kama hicho.Hizi ni propaganda za ccm ambao mkakati wake ulizinduliwa rasmi jana.ukitaka kujua angalia humu kuna thread mgogoro arusha,dar na sasa mwanza, pengine ndio mkakati ulioelezwa jana wa kurudisha majimbo 3 ya mkoa wa mwanza.jana ilikuwa ni gumzo kila mahali jijini jinsi mamia ya mabasi na malori yalivyokua yakisomba watu kuanzia asubuhi hadi usiku.Ni aibu kubwa kufanya tafrija wakati watu wanakufa hospitalini
 
Wale waliosombwa na magamba wametelekezwa na njaa njaa zao!
 
mgogoro unazidi kupamba, naona vijana wanatishia kurudisha kadi za cdm

unasikia rahaaaa mwenyewe......
Tumbo limekujaa ubwabwa wa birthday ya chama, unacheua huku unaandika kama kenge mweye n.y.e.g.......!
 
Bibi kizee hata ukimpiga lipstick, ukamwekea kucha rangu, utamgundua tu,ccm choka mbaya. Bye bye - magamba.
 
Nimefuatilia mara hakuna kiongozi wa jina hilo wa Chadema
Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji wa Mwanza,lakini watu hapa wanasema walikuja kutoka mara kuvuluga mkutano wa CCM kwa kuzomea na kupiga watu mawe ila ulinzi ulikua mkali,wanasema kuna kiongozi wao kutoka Musoma anaitwa Samson Nyangi hajaonekana tangu jana jioni na hapatikani kwa simu,lakini viongozi hapa wanasema vijana hawa walipewa chao kabla ya kuja! Zogo linaendelea
Naamini Star TV wataitoa vizuri habari naona mpiga picha wao kafika hapa
My take:
Ina uma sana kuona vijana wanatumiwa na kudhalilishwa na wanasiasa kiasi hiki!
 
Wale waliotelekezwa ni sawa na c.o.n.d.o.m ikishatumika inatupwa
 
Huu ni uongo wa wazi na Mwanza hakuna kitu kama hicho . Kilio kiopo kwa wale masungusungu walioachwa na CCM tangu jana .

achaneni na huu upotoshaji.
 
Igunga vijana wenu walijimwagia tindikali wenyewe, mkasema amemwagiwa na vijana wa CDM. Walipeni vijana mleowasomba kwa malori. Halafu wewe unajulikana CCM damu. Tunakushangaa sana!

so sad..ccm walimwagia dogo tindikali na sasa wamemgeuza kinyago cha nape...hata mwanza kilikuwepo!
 
unasikia rahaaaa mwenyewe......
Tumbo limekujaa ubwabwa wa birthday ya chama, unacheua huku unaandika kama kenge mweye n.y.e.g.......!

Kwa hili chama changu CDM tumeaibisha sana, nimekuja hapa mabatini kwa machinga nao wamenuna kwanini tuliendea vijana Tarime huu ujinga nani alitushauri?!!!! Shame on us!
 
...nimekuja ofisi za cdm hapa nakuta ndo anaingia meya wa jiji la Mwanza huku analalamika..." niliwaambia hatutawaweza hawa safari hii wanasaidiwa na mashushushu wa serikali mkanibishia sasa oneni hii aibu y a mwaka, yaya gete"
 
Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji wa Mwanza,lakini watu hapa wanasema walikuja kutoka mara kuvuluga mkutano wa CCM kwa kuzomea na kupiga watu mawe ila ulinzi ulikua mkali,wanasema kuna kiongozi wao kutoka Musoma anaitwa Samson Nyangi hajaonekana tangu jana jioni na hapatikani kwa simu,lakini viongozi hapa wanasema vijana hawa walipewa chao kabla ya kuja! Zogo linaendelea
Naamini Star TV wataitoa vizuri habari naona mpiga picha wao kafika hapa
My take:
Ina uma sana kuona vijana wanatumiwa na kudhalilishwa na wanasiasa kiasi hiki!

JANA KATIKA HOTUBA YAKE KTK UWANJA CCM KIRUMBA,RAIS KIKWETE ALISEMA NAMNUKUU "WANA CCM TUJIANDAE KUYAKOMBOA MAJIMBO YA ILEMELA NA NYAMAGANA" NINA WASIWASI HII NI MOJA YA MKAKATI MAALUM WA KUANZIA,ILI KUICHAFUA CDM.
Hata hiyo star tv unayoisema ni mali ya aliyekuwa mbunge wa ccm,jimbo la ilemela na kulipoteza kwa cdm.
 
mkuu hizi habari ni nzito, unajua mimi nilishasema kwenye post zangu zilizopita kuhusu hawa wenzetu vitendo walivyovifanya kwa kuwasomba watu kuja kuivuruga sherehe yetu

narubongo tumia ubongo!!
 
Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji wa Mwanza,lakini watu hapa wanasema walikuja kutoka mara kuvuluga mkutano wa CCM kwa kuzomea na kupiga watu mawe ila ulinzi ulikua mkali,wanasema kuna kiongozi wao kutoka Musoma anaitwa Samson Nyangi hajaonekana tangu jana jioni na hapatikani kwa simu,lakini viongozi hapa wanasema vijana hawa walipewa chao kabla ya kuja! Zogo linaendelea
Naamini Star TV wataitoa vizuri habari naona mpiga picha wao kafika hapa
My take:
Ina uma sana kuona vijana wanatumiwa na kudhalilishwa na wanasiasa kiasi hiki!

Mbona husemi wanagombana na nani? Propaganda hizo hapa jamvin hazina tija.
 
Back
Top Bottom