Mgogoro Waibuka Ofisi za Chadema-Mwanza

wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya viongozi wa chadema wilaya hapa mwanza,vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji wa mwanza,lakini watu hapa wanasema walikuja kutoka mara kuvuluga mkutano wa ccm kwa kuzomea na kupiga watu mawe ila ulinzi ulikua mkali,wanasema kuna kiongozi wao kutoka musoma anaitwa samson nyangi hajaonekana tangu jana jioni na hapatikani kwa simu,lakini viongozi hapa wanasema vijana hawa walipewa chao kabla ya kuja! Zogo linaendelea
naamini star tv wataitoa vizuri habari naona mpiga picha wao kafika hapa
my take:
Ina uma sana kuona vijana wanatumiwa na kudhalilishwa na wanasiasa kiasi hiki!

hii habari imekaa kinafiki sana, mi nipo hapa ghana karibu sna na kirumba, na makazi yangu yapo mwaloni na nera, sijasikia kitu chochote juu ya hili, ofisi za cdm nimepita jana jioni sikuona issue yoyote kusema kweli sema taarifa zilizozagaa mjini ni kwamba kuna watu wametolewa magu, kisesa, sengerema, baadae wametelekezwa!wameambulia kofia na tshirt tu! Hizi ndo habari zipo hapa mwanza !
 
Back
Top Bottom