Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
hata mim wameniumiza cjui nisemeje?
Nina king'amuzi cha Startimes sina cha Zuku. Baada ya mitambo ya analojia kuzimwa clouds tv ilikuwa haipat4kani lkn mwanzo ilikuwa hewani! Tatizo nn?Clouds TV inaonekana kwenye decoder ya ZUKU