Mfumo wa digital waitesa clouds tv yashindwa kujiunga,By-TCRA

Mfumo wa digital waitesa clouds tv yashindwa kujiunga,By-TCRA

Lugeye

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2011
Posts
1,679
Reaction score
2,917
maafisa wa TCRA wakizungumza ktk kipindi cha baragumu kinachorushwa na channel 10 leo asubuhi wametanabaisha kua ile tv yenye mbwebwe nyingi na inayotumika kueneza propaganda za magamba imeshindwa kuonekana hewani sababu bado haijajiunga kwenye digital kuonekana kuonekana
 
Safi sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwa mbwembwe wanazotambaa nazo; if hawamo itakuwa kuna kitu; tusubiri tuone
 
Tokea mitambo ya analojia kuzimwa clouds tv haipo hewani. Natumia king'amuzi cha startimes nipo Mwanza clouds tv haipatikani!
 
Kweli hata leo niliangalia katika orodha ya tv zinazoruka kupitia startimes sikuwaona.
 
itakuwa ni kweli mi nipo arusha nao toka kuzimwa kwa mitambo ya zamani nao wakazimwa mazima
 
Usanii na ubishoo pamoja na umbumbumbu wa clouds ndio maana hawapo kwenye digital world! Wamezooea kudanganya wasikilizaji na maneno yao ya kishamba!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
naona hamjaelewa yule mkurugenzi wa TCRA alichosema kuwa TZ kuna tv 5 tu wengine wote vilikuwa kama ilivotv za hotelini..
 
Back
Top Bottom