Mfumo wa digital waitesa clouds tv yashindwa kujiunga,By-TCRA

Mfumo wa digital waitesa clouds tv yashindwa kujiunga,By-TCRA

Mngeujua ukweli msingesema kishabiki, kumbe mnaipenda enh?
 
hIVI HUWA WANAONESHA VIPINDI GANI HAO JAMAA, MAANA KUTWA MI BONGO FLEVA TUUU MPAKA INAKERA
 
Ina maana Ruge na Kusaga mbwembwe zoooooooote zile wameshindwa kujiunga na digitali!!!

Rudini hewani jamani tunamiss wavaa kata k

Kumbe ndo maana ijumaa jioni kwenye kipindi cha Jahazi, mtangazaji maarufu bwana Ephrahim Kibonde aliwaponda na kuwatolea maneno machafu sana TCRA kuwa wamekurupuka.

Akasema kuwa kwanini transition isiwe parallel (yaani digital ianze wakati huohuo na analogy ingeendelea mpaka hapo TCRA watakapokuwa confortable kuwa kila TV inaonekana ndo wangezima analogy.

Akaendelea kusema kuwa hii switch on & off waliyofanya wamekurupukaaaa!
 
Clouds TV & Redio wapo ZUKU; so kama mwaiulizia kijanja janja ili kupata uhakika basi chukua hiyo, hawapo tena Star times wamehamia ZUKU
 
Dar nimeona hii station inawabore watu wengi hasa kwakuwa vizabinazabina.
 
Ingekua amri yangu kituo hiki cha kihuni kishindwe kabisa kuingia digital.
 
BK tunatumia cable tunaipata fresh.

mtu wa cable anainyonya kutoka katika mojwapo ya vingamuzi vyenu
 
Tokea mitambo ya analojia kuzimwa clouds tv haipo hewani. Natumia king'amuzi cha startimes nipo Mwanza clouds tv haipatikani!
hawakuwa hewani kama siku kadhaa kabla ya mitambo hiyo kuzimwa kama ulifatilia vzuri mpaka wakapitisha bango la kuapologise
 
Kweli wamepatikana pamoja na tambo zao nyingi kumbe hamna lolote!
 
Wale washamba tu,kwanza hata ukiamgalia picha zao hazina mvuto kabisa ni nyeusi,kujifanya wanajua,kama ni wajanja watumie camera za HD(high definition) yaani kwa sasa naichukia kama TBC1.kibonde anavyolonga sijui anatafuta ukuu wa wilaya!
 
Kwanza hivyo ving'amuzi kama mwendo wenyewe ndo huu hawanioni kamwe nikipanga foleni kulipia.

Kifurushi kikiisha zile channel tano za ndani hazikati matangazo kamwe.
 
maafisa wa TCRA wakizungumza ktk kipindi cha baragumu kinachorushwa na channel 10 leo asubuhi wametanabaisha kua ile tv yenye mbwebwe nyingi na inayotumika kueneza propaganda za magamba imeshindwa kuonekana hewani sababu bado haijajiunga kwenye digital kuonekana kuonekana
Acha UONGO wewe sema Clouds TV hawaonekani huko StarTimes tu,huku Zuku wanaonekana LAIVU BILA CHENGA,acheni uongo wenu,kwani sio lazima Clouds TV waonekane StarTimes,kwani wao nao ni wafanya biashara na wanaangalia masilahi kwa hiyo wanaweza kuchagua sehemu yoyote wanayoiona inawafaa kupitishia matangazo yao
 
Wale washamba tu,kwanza hata ukiamgalia picha zao hazina mvuto kabisa ni nyeusi,kujifanya wanajua,kama ni wajanja watumie camera za HD(high definition) yaani kwa sasa naichukia kama TBC1.kibonde anavyolonga sijui anatafuta ukuu wa wilaya!
Jamani tuache uongo Clouds TV wanaonekana Zuku na picha ni clear haina chenga hata kidogo,huenda StarTimes ndio ving'amuzi vyao vina chenga,angalia na upande mwingine kabla ya kutamuka usichokijua
 
Clouds TV & Redio wapo ZUKU; so kama mwaiulizia kijanja janja ili kupata uhakika basi chukua hiyo, hawapo tena Star times wamehamia ZUKU
tatizo kaka wa TZ tumezoea kufanya mambo kwa mazoea hatuwezi kujishughulisha ,kabla ya kushadidia wangetafuta ukweli kama kweli Clouds TV wapo hewani au la hata kwa kuwauliza watumiaji wa ving'amuzi vingine,kwani sio StarTime peke yao wanaotoa huduma ya kurusha matangazo ya vituo local,ni kweli Clouds TV wapo Zuku pamoja na radio yao na wanaonekana very clear!
 
Si kweli kwa sababu walishajiunga digital hata kabla ya mitambo kuzimwa. TCRA wanaficha nini?

bora ww umeliona ilo maana umu ndani ni ushabiki tu mwanzo mwisho...watu wala hawajiulizi ilivyokua inaonekana kuptia star time ilikua ni analogy?kama tatizo ni clouds mbona inaonekana kupitia ZUKU?...waache kutuzengua
 
Back
Top Bottom