tatizo kaka wa TZ tumezoea kufanya mambo kwa mazoea hatuwezi kujishughulisha ,kabla ya kushadidia wangetafuta ukweli kama kweli Clouds TV wapo hewani au la hata kwa kuwauliza watumiaji wa ving'amuzi vingine,kwani sio StarTime peke yao wanaotoa huduma ya kurusha matangazo ya vituo local,ni kweli Clouds TV wapo Zuku pamoja na radio yao na wanaonekana very clear!
Acha UONGO wewe sema Clouds TV hawaonekani huko StarTimes tu,huku Zuku wanaonekana LAIVU BILA CHENGA,acheni uongo wenu,kwani sio lazima Clouds TV waonekane StarTimes,kwani wao nao ni wafanya biashara na wanaangalia masilahi kwa hiyo wanaweza kuchagua sehemu yoyote wanayoiona inawafaa kupitishia matangazo yao
Ndio maana mtu unaweza ukajua swali kwenye mtihani na ukashindwa kulijibu,kwa kutofuata maagizo.Ungesoma kwanza huyo mdau sababu alizozisema kabla ya kukurupuka na kujaza nafasi,hapa chini ndivyo alivyosema na ndio nikamjibu kihivyo,soma kwanza then ndio ujibuacha kudanganya watu wewe , hawajilipii juendesha hiyo tv na ili waendeshe vipindi lazima wapate wadhamini , bila kuwa na viewers wa kutosha , mdhamini gani ata dhamini matangazo yasio angaliwa na watu? idasi ngapi ya watu wana zuku tz nzima? wamefulia kwa muda , wajipange na wanashamini clouds tv sasa hivi ni kwa dili la kitaa zaidi hakuna a proper company ikaspend millions kwa tv iso onekana nawengi
maafisa wa TCRA wakizungumza ktk kipindi cha baragumu kinachorushwa na channel 10 leo asubuhi wametanabaisha kua ile tv yenye mbwebwe nyingi na inayotumika kueneza propaganda za magamba imeshindwa kuonekana hewani sababu bado haijajiunga kwenye digital kuonekana kuonekana
Mngeujua ukweli msingesema kishabiki, kumbe mnaipenda enh?
Tokea mitambo ya analojia kuzimwa clouds tv haipo hewani. Natumia king'amuzi cha startimes nipo Mwanza clouds tv haipatikani!
Kumbe hii ndo ID Yako bwana Joe Kusaga,,,
maafisa wa TCRA wakizungumza ktk kipindi cha baragumu kinachorushwa na channel 10 leo asubuhi wametanabaisha kua ile tv yenye mbwebwe nyingi na inayotumika kueneza propaganda za magamba imeshindwa kuonekana hewani sababu bado haijajiunga kwenye digital kuonekana kuonekana