Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

Najaribu kutafakari kwa kina kwamba kuna watawala waliotangulia ndani ya ccm na wakafanya utumbo ama majanga yasiyosameheka je Ukawa hii iliyovamiwa na kutekwa itaweza kuwachukulia hatua??

Mimi sio chiriku wa kukariri kelele za mtaani!
 
Mimi sioni tatizo kabisa hao watu wanaotoka CCM na kujiunga na upinzani.

Ndo uhalisia wa siasa huo.

Watu huhama na kubadili kambi mara zote na si Tanzania tu bali ni duniani kote.

Kama wana nia ya kweli ya kuimarisha upinzani na kujenga upinzani wenye nguvu basi mimi sina tatizo kabisa.

Acha tu watoke huko CCM.

Nakumbuka hata Condoleza Rice alihama kutoka Democrats na kwenda Republicans....

nimeipenda kauli moja ya Sumaye pale aliposema Tanzania tunahitaji tuwe na vyama vyenye nguvu kiasi cha mtu kutoona haya au kuona ni shida kuwa nje ya CCM!!!

Nimempenda pale aliposema ifike mahali Tanzania watu wasije wakachagua vyama kwa bahati mbaya ambavyo havina hadhina ya kutosha ya uongozi!!!

SUMAYE ameamsha mawazo ambayo hatukuwahi jiuliza nayo ni je? kama CDM ingeshinda chaguzi 2010 kulikuwa na watu wakutosha na kuaminika kuunda serikali(wazoefu)

Nafikiri kinachofanyika sasa ni kujenga public trust kwa hivi vyama kuwa na watu wazoefu na shughuli za uongozi wa dola na pili kuondoa hofu kwa wengine walioko CCM wenye hofu za kuondoka huko....

Wachache sana wanaweza kukubali hii dhana ila wale wa siasa za wivu na majungu watang'ang'ania kelele za ufisadi huku wakisahau jenga watu wataoweza ongoza nchi....
 
Pesa si mchezo.

Pesa kamuonga babako? Mlaumu Kikwete kwa kujenga uswahiba na vijana wadogo kama akina Nape na Makonda na kuwadharau wakongwe kama akina Lowasa, Sumayi, Mwandosya, Bilal
 
Najaribu kutafakari kwa kina kwamba kuna watawala waliotangulia ndani ya ccm na wakafanya utumbo ama majanga yasiyosameheka je Ukawa hii iliyovamiwa na kutekwa itaweza kuwachukulia hatua??

Mimi sio chiriku wa kukariri kelele za mtaani!

Mkuu, hizo kelele za Ukawa kupinga Ufisadi wala hazijasadia kitu, bado Bado watanzania wameendelea kuiamini ccm. Sasa ni bora tuwapokee Maaskari waliohasi ili watupe mbinu za kuangamiza jeshi la huko watokako
 
Nakumbuka hata Condoleza Rice alihama kutoka Democrats na kwenda Republicans....

nimeipenda kauli moja ya Sumaye pale aliposema Tanzania tunahitaji tuwe na vyama vyenye nguvu kiasi cha mtu kutoona haya au kuona ni shida kuwa nje ya CCM!!!

Nimempenda pale aliposema ifike mahali Tanzania watu wasije wakachagua vyama kwa bahati mbaya ambavyo havina hadhina ya kutosha ya uongozi!!!

SUMAYE ameamsha mawazo ambayo hatukuwahi jiuliza nayo ni je? kama CDM ingeshinda chaguzi 2010 kulikuwa na watu wakutosha na kuaminika kuunda serikali(wazoefu)

Nafikiri kinachofanyika sasa ni kujenga public trust kwa hivi vyama kuwa na watu wazoefu na shughuli za uongozi wa dola na pili kuondoa hofu kwa wengine walioko CCM wenye hofu za kuondoka huko....

Wachache sana wanaweza kukubali hii dhana ila wale wa siasa za wivu na majungu watang'ang'ania kelele za ufisadi huku wakisahau jenga watu wataoweza ongoza nchi....
Unawezaje kumuamini Sumaye ?Maono haya aliyapata lini?Ni Sumaye huyu huyu aliyetia nia kipitia ccm na kukatwa ndio anakuja na mistari ya hadaa?

Ni Sumaye huyu huyu aliyemlalamikia lowassa kuwa anatoa rushwa back in 2013 na akajaribu kupambana naye 2015 na kushindwa?

Ni Sumaye huyu huyu aliyeshawishiwa na aaskofu kujiunga Ukawa?

Lakini ni Sumaye huyu huyu aliyesimamia vipigo na uhujumu dhidi ya upinzani mwaka 2000 na kuendelea.

Yaani baada ya kukatwa ndio anakuwa mwema wa kuona upinzani unatakiwa kukua na sio uadui!!

To me Kikwete anaweza chukua award ya ubaba wa demokrasia nchini kuliko watawala waliopita.
 
Hao wanaohama ndiyo wale waliofanya CCM ionekane mbaya, tunashukuru sana kujiondoa kwao kwani kutaifanya CCM irejee kwenye ubora wake kwa kuitua mizigo mizito iliyokuwa inawaaelemea
# Hapa kazi tu
 
Nakumbuka hata Condoleza Rice alihama kutoka Democrats na kwenda Republicans....

nimeipenda kauli moja ya Sumaye pale aliposema Tanzania tunahitaji tuwe na vyama vyenye nguvu kiasi cha mtu kutoona haya au kuona ni shida kuwa nje ya CCM!!!

Nimempenda pale aliposema ifike mahali Tanzania watu wasije wakachagua vyama kwa bahati mbaya ambavyo havina hadhina ya kutosha ya uongozi!!!

SUMAYE ameamsha mawazo ambayo hatukuwahi jiuliza nayo ni je? kama CDM ingeshinda chaguzi 2010 kulikuwa na watu wakutosha na kuaminika kuunda serikali(wazoefu)

Nafikiri kinachofanyika sasa ni kujenga public trust kwa hivi vyama kuwa na watu wazoefu na shughuli za uongozi wa dola na pili kuondoa hofu kwa wengine walioko CCM wenye hofu za kuondoka huko....

Wachache sana wanaweza kukubali hii dhana ila wale wa siasa za wivu na majungu watang'ang'ania kelele za ufisadi huku wakisahau jenga watu wataoweza ongoza nchi....

Hata rais wa zamani wa Marekani, Ronald Reagan [rais ambaye alishinda kwa kishindo] mwanzoni alikuwa ni mwanachama wa chama cha Democrat na akahama kambi na kuhamia chama cha Republican na baadaye kugombea urais kupitia chama hicho na kushinda mihula miwili.

Sasa nini cha ajabu hapo?

Mbona Uhuru Kenyatta na William Ruto walikuwa kwenye kambi pinzani huko Kenya kwenye uchaguzi wa 2007 lakini mwaka juzi wakaungana na kugombea kupitia muungano wa Jubilee na wakashinda [kama walishinda kihalali] na sasa hivi ni rais na makamu wa rais....

Kuhama kambi, kubadili itikadi, kubadili fikra, na kadhalika, si marufuku kwenye siasa bali ndo uhalisia wake.

Mbona kwenye maisha tu haya ya kawaida watu huwa tunabadili mawazo kila kukicha. Sasa kwa nini iwe dhambi mtu akibadili chama kwenye siasa?
 
Mnapo-comment muwe mnaangalia na hilo tangazo hapo chini!
Teh teh teeeh!!
 
Pesa kamuonga babako? Mlaumu Kikwete kwa kujenga uswahiba na vijana wadogo kama akina Nape na Makonda na kuwadharau wakongwe kama akina Lowasa, Sumayi, Mwandosya, Bilal

Pesa alambe Mbowe nimlaumu Kikwete? Unanchekesha.

Kikwete kishafanya yake kwa miaka mingi sana, uongozi wa Kikwete si wa kukisia.
 
ETi MUDA HUU BAADA YA KUHAMA NOD MA CCM YANAWAITA MAFISADI WAKIWA MLE CCM SIO MAFISADI DAH
SASA KINA KINANA, MUHONGO, NGELEJA, TIBAIJUKA HAMPIGI KELELE MBONA???

Hahaaaaaaaa acha porojo banaaa hata Lowassa mlimuita fisadi papa lakini sasa mnamlamba miguu. Alipokuwa Ccm fisadi alipoingia Chadema si fisadi. Kakojoe ulale usiku mwingi huu
 
Najaribu kutafakari kwa kina kwamba kuna watawala waliotangulia ndani ya ccm na wakafanya utumbo ama majanga yasiyosameheka je Ukawa hii iliyovamiwa na kutekwa itaweza kuwachukulia hatua??

Mimi sio chiriku wa kukariri kelele za mtaani!
Mkuu pesa ni kitu kibaya sana ukawa wamemwagiwa pesa na Lowasa wakawa wehu kabisa sasa wanafanya mambo ya hovyo kabisa ambayo hayajawahi kufanywa na chama chochote cha siasa duniani yani wenye kashifa kwenye uongozi uliotangulia leo ndiyo tunaambiwa tuwachague.
 
Kwa Upuuzi Huu wa kuendelea kuchukua Waliokatwa tena Kutoka Kulekule Siioni nia ya Dhati na Thabiti kwa Ukawa Kuwakomboa Wananchi Bali naona ni Kama Kulundika Lundo la Wezi Kwenye Bank Kuu Ya Tanzania
 
Unawezaje kumuamini Sumaye ?Maono haya aliyapata lini?Ni Sumaye huyu huyu aliyetia nia kipitia ccm na kukatwa ndio anakuja na mistari ya hadaa?

Ni Sumaye huyu huyu aliyemlalamikia lowassa kuwa anatoa rushwa back in 2013 na akajaribu kupambana naye 2015 na kushindwa?

Ni Sumaye huyu huyu aliyeshawishiwa na aaskofu kujiunga Ukawa?

Lakini ni Sumaye huyu huyu aliyesimamia vipigo na uhujumu dhidi ya upinzani mwaka 2000 na kuendelea.

Yaani baada ya kukatwa ndio anakuwa mwema wa kuona upinzani unatakiwa kukua na sio uadui!!

To me Kikwete anaweza chukua award ya ubaba wa demokrasia nchini kuliko watawala waliopita.
Nakubaliana na wewe mkuu yote uliyosema sahibi kabisa ukawa wanafanya watu kama hawanaakili.
 
Hata rais wa zamani wa Marekani, Ronald Reagan [rais ambaye alishinda kwa kishindo] mwanzoni alikuwa ni mwanachama wa chama cha Democrat na akahama kambi na kuhamia chama cha Republican na baadaye kugombea urais kupitia chama hicho na kushinda mihula miwili.

Sasa nini cha ajabu hapo?

Mbona Uhuru Kenyatta na William Ruto walikuwa kwenye kambi pinzani huko Kenya kwenye uchaguzi wa 2007 lakini mwaka juzi wakaungana na kugombea kupitia muungano wa Jubilee na wakashinda [kama walishinda kihalali] na sasa hivi ni rais na makamu wa rais....

Kuhama kambi, kubadili itikadi, kubadili fikra, na kadhalika, si marufuku kwenye siasa bali ndo uhalisia wake.

Mbona kwenye maisha tu haya ya kawaida watu huwa tunabadili mawazo kila kukicha. Sasa kwa nini iwe dhambi mtu akibadili chama kwenye siasa?

Swali ni kwamba waliwakilisha kile kilichotakiwa na waliohitaji mabadiliko?

Walihamia kwenye kundi lililowashutumu?

Walibadili mrengo baada ya muda gani?baada ya kukatwa??

Hata Dr Slaa alihama kutoka ccm!!
 
Mkuu Meningitis umeshawasilisha hoja yako kikamilifu. You have made your point; no need to belabour further on it. Si hoja ngeni; i wazi kwa yeyote mwenye uwezo wa kutafakari. Nadhani hata wengi wanaokushambulia hapa wanaelewa vizuri sana unachosema.

KINACHOSUBIRIWA USEME ILI KUHITIMISHA HOJA ni kama unaona heri/bora tubakie kama tulivyo na CCM madarakani (status quo) kuliko UKAWA yenye akina Lowasa, Sumaye, n.k. Hebu toa msimamo tufunge mjadala; kipi afadhali katika harakati za kusaka mabadiliko katika mazingira ya Tanzania ya leo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom