Ni vema ukapima yaliyotekelezwa ndani na hawa mawaziri wakuu watatu (3)Katika mawaziri wakuu viazi walowahi kutokea sumaye kiazi kwelikweli.
Walishindwaje kuwatumikia wananchi miaka 12 iliyopoita halafu waweze leo?
Oil Chafu ina tabia ya kung'ang'ania kwenye nguo lakini ni lazima imwagwe tu.
Pesa imefanyaje?
Mwasisi wa upuuzi wote huu ni ccm ambaye ndiye adui yetu mkuu. Je ulimsikiliza Bwana Abdarah Bulembo ITV leo asubuhi?Alisema hivi hata Lowasa akiwa Waziri mkuu bei ya Sukari,Mchele na bidhaa nyingine vilikuwa juu kama ilivyo leo ikiwa na maana kuwa Tatizo la nchi hii si mtu bali system(mfumo) uliojengwa na ccm.So magufuli na uchapa kazi wake is nothing to ccm system-Tanzanians please join your hands and vote for UKAWAWanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
Nasikitika kwa mwalimu wako kukuganganya na ningekushauri urudi shule tu.kama siasa ni uongo niambie nani anaamua barabara fulani ijengwe au na kwa mujibu wa mwalimu wako barabara pia ni uongo?shule ni uongo?Pole nduguNiliwahi kumuuliza Mwalim Mkuu wangu wa shule ya msingi Miaka 1977 wakati ninapo maliza shule ya Msingi nipo Darasa la Saba. Mwalim mkuu wangu alikuwa anatufundisha Somo la Siasa niakamuuliza hivi Mwalim nini Maana ya neno Siasa ? Jibu alilonijibu kuwa Siasa maana yake ni Uongo au ujanja wa hali ya juu sana. Kwa hali hiyo Wana Siasa wengi ni Waongo watu watoao ahadi za uongo maneno matamu kwa Wananchi ilim uwape Kura zenu. Hakuna kipya Wanachama wa CCM kuhamia Ukawa au Wanachama wa Ukawa kuhamia CCM ni Usanii wa hali ya juu hakuna kitu kitakacho badilika hapo Tanzania ni usanii mtupu. Viongozi wa Siasa ni wajanja sana wanatumia udhaifu wa Walala hoi kunufaika wao wenyewe amkeni walala hoi.
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
Sasa ni zamu ya walutheri wakatoliki wasubiri kwani wakristo ni wao tu.Asante mwalasusa kwa kumleta Sumaye
Ukijumlisha idadi ya kashfa za kifisadi chini ya uongozi wao utagundua ninachosema
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
Duh kwa miaka 54 bado unashangaa! Kwamba mfumo unaenda kuporomoka yatosha kuliko kubaki na chama dola.Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
Jiwe limempata MTU .tueleze ulikuwa wapi wewe kikaragosi wa ccm.