October itakapofika utatambua kwamba kumkarisha lowasa ni janga kwa UKAWA.Hakuna mtanzania mpu.mb.av kiasi hicho hata kama tumeitwa kichwa cha mwendawazimu,mtuapishe kwa viapo kwamba EL ni fisadi akiwa CCM halafu mje kutuamisha kwamba mfumo utamfanya awe msafi!!!
Amakweli kama ni shule basi bdugu yangu. Kama ni propaganda basi nenda shule ya makada huko Kigamboni ujaribu kurefresh ili uende na wakati. Tambua kwamba kwa vyovyote itakavyokuwa chama tawala kwa sasa kimepata kidonda ndugu. Na kitakawa kinauma pole pole kila hali ya hewa inavyobadiriki mpaka muuguaji anakufa. Ni ngumu kuikubari ila huo ndo ukweli. Wewe na mimi tuombe uzima ili huo mziki uje uucheze na ndugu yenu Diamond.