Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

lara 1 umesahau mbinu moja hivi inatumiwa sana na watu wafanyao kazi za field. anaondoka asubuhi na mkewe then ana mdrop ofisini kwake naye anakwenda kwake akifika anajipanga kutoka zake kwenda field... hapo ndo anapanga na miadi y a kukutana na kidate chake... jioni huuuyooo kampitia tena mkewe hao home.. mume hatoki kwenda bar wala kwenye vijiwe kumbe mchana kapiga CHAPUOOO!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mi SIKUIJUA ATIII!!!! Nilidhani MUME CHEATER NI YULE ANAERUDI USIKU WA MANANE KALEWA!!!!!!!!! Sasa kwa MBINU HII utatofautishaje CHEATER NA MPLOE ASILIA!!!?

Wewe usiijue?
labda useme umekuja kuitangaza kwa wasioijua..
but sio wewe..
 
lara1,hivi wewe haya mambo huwa unayatoa wapi?,haki ya mungu nilikuwa kwenye kioo changu nikajikuta nacheka mwenyewe mpaka ofisini wameinuka kuja kuniangalia wakidhani nimepandishwa cheo,ikabidi niwe mpole na kueleza yaliyonisibu.Hongera sana mtu wangu unanikosha sana,hivi kwako pamejaa au bado sebuleni hakuna mtu??!
 
*Siku hizi ufuska mwingi kwa wafanyakazi unafanyika Faster sana katika mazingira;
1/Lunch time
2/Ndani ya Gari
3/Ofisini kwa bosi.
4/Safari za kikazi.
5/Night shift.
6/Overtime hours.
7/Semina
8/Field

*Katika viwango tofautitofauti sana kuanzia Sexual hugging, Tongue kiss, Breast manipulation, Buttocks palpation, Finger insertion, Oral sex, Anal sex, Vaginal sex.

*Huwezi amini wanao entertain zaidi hivi vitu kufanyika zaidi ni wanawake kuliko wanaume, bahati mbaya sana mtu akishavianza kuacha ni ngumu sana.

eeeh Mungu tunaomba utusaidie!!!
 
Mi SIKUIJUA ATIII!!!! Nilidhani MUME CHEATER NI YULE ANAERUDI USIKU WA MANANE KALEWA!!!!!!!!! Sasa kwa MBINU HII utatofautishaje CHEATER NA MPLOE ASILIA!!!?

Hii imeanza zamani dada, Zamani niliwahi beba mdada na kwenda kuchuna ngozi chapuchapu pale iliyopokuwepo Mawenzi Hoteli saa sita hivi mchana then kwenye saa nane nikaenda ofisi za National Insurance kumsalimia Bosi mmoja hivi, nilishangaa sana kumkuta pale kama secretary wa Boss
 
mbinu nyingine hutumiwa na wanaofanya kazi za kusafiri safiri na wafanyabiashara.... huwa wanaandaa kabisa vidate vya kusafiri navyo...
Kuna baba mmoja yeye anafanya kazi WIZARA YA ULINZI mara nyingi huwa anatembelea mikoani basi basi karibu kila mkoa ana kidate na kasave kama hivi wa Mbeya kaandika RPC MBEYA... wa Tanga RPC TANGA... wa Arusha RPC ARUSHA... wa Dodoma RPC DODOMA n.k. kana kwamba akipigiwa simu na mmoja wa hivyo vidate vyake kama yupo karibu na mkewe humuonesha kuwa kapigiwa simu ya kiofisi hivyo atasogea mbali na kuongea kwa kisingizio cha ofisi kumbe sivyo....
 
Hahahaaaaaa! KINO tumeshajua JINSI YA KUTEST KAMA TEGO LIPO AU SHWARI!!!!!!! Dawa ngogo tu, UNAPITISHA FUNGUO/KITU CHA CHUMA TOKA PAJA LA KUSHOTO HADI LA KULIA!!!!!!!!!!! BAAAAAAAAASS!!! KAMA TEGO LIPO CHUMA KILE KIKIFIKA USAWA WA K KIAPIGWA NA KITU KA RADI, KINATETEMEKA KABISA, KAMA CHEPESI KINAKATIKA!!!!!!!! UNAJUA HAPA UTAMU HAKUNA!!!!!!!!! NI KUNASA TU!!!!!!!!!!! Unamwambia kiupole tu, HAYA VAA PICHU UENDEEEE KWA MUMEO!!!!!!!!! Watu nundaaaaaa! Usione wanatembea na SPOKU!!!!!!!! za kutest TEGO!

Haki ya mama we mtoto unanchekesha kweli kila ninaposoma coment zako,hivi wewe haya maneno unayatoaga wapi????!!!,natamani sana siku moja nikutane na wewe uso kwa uso nitakufanyia suprise.
 
*CH* si ndo wanaume wanaoupenda kuliko chochote duniani? AYA NIMEWEKA HIYO YA KIMAMA MCHUNGAJI!!!!!!! Happy NOW!!!!

Hapa fresh kiutu uzima!! Napenda sana kupitia threads zako nikiwa na katoto kangu so sometime kalikuwa kananiuliza maswali huyu nani? Mbona yuko uchi! ? Now ni happy.
 
mbinu nyingine hutumiwa na wanaofanya kazi za kusafiri safiri na wafanyabiashara.... huwa wanaandaa kabisa vidate vya kusafiri navyo...
Kuna baba mmoja yeye anafanya kazi WIZARA YA ULINZI mara nyingi huwa anatembelea mikoani basi basi karibu kila mkoa ana kidate na kasave kama hivi wa Mbeya kaandika RPC MBEYA... wa Tanga RPC TANGA... wa Arusha RPC ARUSHA... wa Dodoma RPC DODOMA n.k. kana kwamba akipigiwa simu na mmoja wa hivyo vidate vyake kama yupo karibu na mkewe humuonesha kuwa kapigiwa simu ya kiofisi hivyo atasogea mbali na kuongea kwa kisingizio cha ofisi kumbe sivyo....

Samahani na wewe amekusave kama RPC wa wapi?,kwa sababu inavyoonekana simu yake ulishawahi kuikamata na kuangalia ndipo ukagundua yote hayo.
 
Hahahahah! Yaani hiyo lunch ni kwamba watu vyakula vyao wanaingia navyo na kutoka navyo! Hawanunui chakula pale hotelini, wala Embassy wenyewe hawauzi vyakula! Uje na chakula chako, na hakikisha unaondoka nacho!
 
I am getting confused !!!

Why!? You people of the world are exploring and ushering cheating techniques instead of exploring techniques of discouraging dishonest/cheating in relationship/marriage ?

Ciello, black Berry, The Boss, Finest lara 1 a list goes on... ask these people...Why !?
 
lara 1 mi sikuwezi ila unayoongea ni kweli.Umejipanga vipi kunusuru ndoa ya Wiyelele inayovunjwa na housegirl wake? Uko wewe, Kongosho, Zion Daughter, Badili Tabia, Asprin, Preta na Ciello!!Mi ningependa Wiyelele akutane na wewe live ili umshushie vitu vyako.
Wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!!

Peopleeeeeeesss NIAJE!!!!!!!!!!!!!

Bwana wale ndugu zetu sugu, wataka yote kwa pupa, wazee wa MORE is prefered to LESS, wanaoenda contrary na law of demand kama LUXURY GOODS, The Higer the price they are charged the higher their demand!!!!!!!! Kwa lugha nyepesi ni CHEATERSSSSSSSSSS!!!!!!!! wamebuni mbinu mpya ya KUFAIDI MTI WA KATI bila bugdha za wapenzi au wake/waume zao. Mbinu hii ni ya KIMAFYA zaidi na si rahisi kuishtukia hadi siku ya 60.

Ujue mi ofisini kuna tabia flani hivi mida ya saa 6 mpaka 8 watu hawaonekani, na kila mtu kaondoka kivyake si ndo nikajua tu wanaenda KULA LUNCH bana!!!!!

Sasa juzi kati hapa kuna mtu aliniomba nimsaidie biashara yake ya Kussuply vitu mahotelini na bar yeye anafanya MITIHANI. Nikakubali bana, Kila hoteli nikifika saa 6,7,8 VYUMBA VIMEJAAA!!!!!!!!!! Basi mi nadeliver mzigo nasepa!!!! Curiousty killed the Cat, ikabidi niulize "Inamaana BIASHARA NZURI HIVO HADI SAA 6 MMEJAZA VYUMBA VYOTE????" Si ndo akatiririka siri za biashara "HAWA WENGI SHORT TIME TU, WAMETOKA MAKAZINI HUKO WANAKUJA KUSHITUA VIWILI VYA FASTA AFU WANARUDI KUENDELEA NA KAZI!!!!!!!!!!! WENGINE WANAKUJA NA WANAFUNZI HAPA AFU WATOTO WANARUDI KWAO SAFI!!!!!!!!!!! we njoo saa 10 utakuta vyumba vipo teleeee!" DUUUUUUUUUUUUUH!!!!!!! UTRATRAAAAAA!!!!!! aadhubillahimina shaytwani rajim!

Si ndo nikajuaaaaa!!!!!!!! Ndo maana watu wakitoka lunch wanarudi na mood nzuri!!!!!!!! Afu badala ya lisaa wanakaa hadi 2 au 3 WALA NINI HICHO WENZETU KAMA SIO BAMIA !!!!! Ndomaana Accountant UKIFATA CHEKI MCHANA ANAFURAHI HUYO, OLE WAKO UMZUKIE ASUBUHI, ALMANUSURA KUKUTWANGA KICHWA!!!!! Nikasema ipo haja kumuuliza mtu anakula wapi NIMUIBUKIE HUKO HUKO isijekuwa ananizuga!!!!!!! Kweli watu nundaaaa, jioni unarudi kwa mumeo/mkeo mwepesiiiiii wa roho, na mchoooovu kwa KAZI za mchana kutwaaa!!!!!!!! SAA KUMI NA MOJA JIONI WIFE/HUBBY YUPO SEBULENI ANACHEZA NA WATOTO!!!!!!!!!!!!
 
Wewe usiijue?
labda useme umekuja kuitangaza kwa wasioijua..
but sio wewe..

The Boss MI SIKUJUA!!!!!!! HAKI TENA!!!!!!!!! Mume wa dada yangu NARUDI SAA KUMI NA MOJA JIONI, HATOKI TENAAA!!!!!! BASI KATIKA SALA ZANGU NIKAWA NAOMBA NIPATE MUME KAMA YULE!!!!!!!!! Ila nilipogundua HUU UMAZAFANTA MPYAAAA!!!! Namuangalia SHEMU KWA JICHO LA TATU!!!!!!!!!!!!!! SIMUAMINI AMINI VILE!!!!!!!!

JIBU SWALI LA MSINGI!!!! Utajuaje kama mtu ni CHEATER WA NEW GENERATION AU MPOLE ASILIA!!!!? angali wote saa 11 jioni wapo ndani, wamejaa tele!!!!!
 
Mweh!!!! mpaka mwili umenisismuka isije ikawa na mie napigwa changa la uso mie hata sijui, kisa natoka naye home ananidrop kwa kazi, jioni ananipitia tunarudi kwa nyumba na kutulia kwa nyumba weekend tuko pamoja. Mamaaaaaaaaaaaaaa isije ikawa nshaliwa jamaniiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
I am getting confused !!!

Why!? You people of the world are exploring and ushering cheating techniques instead of exploring techniques of discouraging dishonest/cheating in relationship/marriage ?

Ciello, black Berry, The Boss, Finest lara 1 a list goes on... ask these people...Why !?

Mi wanionea BUREEEEE!!!!! Mi nimekuja hapa KUULIZA UTAJUAJE MMEO/BF NI MZEE WA KUTINGA CHOBINGO MIDA YA LUNCH!!!! Angali he is so SWEET, Saa 11 jioni yupo jikoni anakukatia nyanya na kitunguu upike vizuri, hatoki tena hadi kesho! HOW DO YOU START DOUBTING HIM IN THE 1ST PLACE!!!!!!!!!!? Si ndo jitu litacheat mpaka ETERNITY!!!!!!!!!
 
The Boss MI SIKUJUA!!!!!!! HAKI TENA!!!!!!!!! Mume wa dada yangu NARUDI SAA KUMI NA MOJA JIONI, HATOKI TENAAA!!!!!! BASI KATIKA SALA ZANGU NIKAWA NAOMBA NIPATE MUME KAMA YULE!!!!!!!!! Ila nilipogundua HUU UMAZAFANTA MPYAAAA!!!! Namuangalia SHEMU KWA JICHO LA TATU!!!!!!!!!!!!!! SIMUAMINI AMINI VILE!!!!!!!!

JIBU SWALI LA MSINGI!!!! Utajuaje kama mtu ni CHEATER WA NEW GENERATION AU MPOLE ASILIA!!!!? angali wote saa 11 jioni wapo ndani, wamejaa tele!!!!!

unamtamani shemeji yako?
 
mbinu nyingine hutumiwa na wanaofanya kazi za kusafiri safiri na wafanyabiashara.... huwa wanaandaa kabisa vidate vya kusafiri navyo...
Kuna baba mmoja yeye anafanya kazi WIZARA YA ULINZI mara nyingi huwa anatembelea mikoani basi basi karibu kila mkoa ana kidate na kasave kama hivi wa Mbeya kaandika RPC MBEYA... wa Tanga RPC TANGA... wa Arusha RPC ARUSHA... wa Dodoma RPC DODOMA n.k. kana kwamba akipigiwa simu na mmoja wa hivyo vidate vyake kama yupo karibu na mkewe humuonesha kuwa kapigiwa simu ya kiofisi hivyo atasogea mbali na kuongea kwa kisingizio cha ofisi kumbe sivyo....

HAHAHAHAAAAAAAAAAA!!!! Ngoja na mimi nisave, MKUU WA KAYA, MIZINGUO PINDE, RITZ 1, RICH MONDULI, ROSTI TAMU, NAPEE NAUYEE, SAMUEL SABA, AYUBU NDUNGAII, SALMA KIKWET, Zikipigwa hata Usiku wa manane NASEMA SIMU ZA CHAMA HIZIII!!!!!! Huoni MIJINA YOTE YA KIFISADI, TUSHATOKA KIMAISHA!!!!! LOL!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom