Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!!

Peopleeeeeeesss NIAJE!!!!!!!!!!!!!

Bwana wale ndugu zetu sugu, wataka yote kwa pupa, wazee wa MORE is prefered to LESS, wanaoenda contrary na law of demand kama LUXURY GOODS, The Higer the price they are charged the higher their demand!!!!!!!! Kwa lugha nyepesi ni CHEATERSSSSSSSSSS!!!!!!!! wamebuni mbinu mpya ya KUFAIDI MTI WA KATI bila bugdha za wapenzi au wake/waume zao. Mbinu hii ni ya KIMAFYA zaidi na si rahisi kuishtukia hadi siku ya 60.

Ujue mi ofisini kuna tabia flani hivi mida ya saa 6 mpaka 8 watu hawaonekani, na kila mtu kaondoka kivyake si ndo nikajua tu wanaenda KULA LUNCH bana!!!!!

Sasa juzi kati hapa kuna mtu aliniomba nimsaidie biashara yake ya Kussuply vitu mahotelini na bar yeye anafanya MITIHANI. Nikakubali bana, Kila hoteli nikifika saa 6,7,8 VYUMBA VIMEJAAA!!!!!!!!!! Basi mi nadeliver mzigo nasepa!!!! Curiousty killed the Cat, ikabidi niulize "Inamaana BIASHARA NZURI HIVO HADI SAA 6 MMEJAZA VYUMBA VYOTE????" Si ndo akatiririka siri za biashara "HAWA WENGI SHORT TIME TU, WAMETOKA MAKAZINI HUKO WANAKUJA KUSHITUA VIWILI VYA FASTA AFU WANARUDI KUENDELEA NA KAZI!!!!!!!!!!! WENGINE WANAKUJA NA WANAFUNZI HAPA AFU WATOTO WANARUDI KWAO SAFI!!!!!!!!!!! we njoo saa 10 utakuta vyumba vipo teleeee!" DUUUUUUUUUUUUUH!!!!!!! UTRATRAAAAAA!!!!!! aadhubillahimina shaytwani rajim!

Si ndo nikajuaaaaa!!!!!!!! Ndo maana watu wakitoka lunch wanarudi na mood nzuri!!!!!!!! Afu badala ya lisaa wanakaa hadi 2 au 3 WALA NINI HICHO WENZETU KAMA SIO BAMIA !!!!! Ndomaana Accountant UKIFATA CHEKI MCHANA ANAFURAHI HUYO, OLE WAKO UMZUKIE ASUBUHI, ALMANUSURA KUKUTWANGA KICHWA!!!!! Nikasema ipo haja kumuuliza mtu anakula wapi NIMUIBUKIE HUKO HUKO isijekuwa ananizuga!!!!!!! Kweli watu nundaaaa, jioni unarudi kwa mumeo/mkeo mwepesiiiiii wa roho, na mchoooovu kwa KAZI za mchana kutwaaa!!!!!!!! SAA KUMI NA MOJA JIONI WIFE/HUBBY YUPO SEBULENI ANACHEZA NA WATOTO!!!!!!!!!!!!
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,456
Points
2,000
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,456 2,000
halafu ili usisumbue kwa simu unaambiwa kwanza naangia kwenye meeting Swt, ntazima simu kwa muda eeeh Mama, ukiulizwa meeting muda wa lunch? Unajibu fasta aaaah wametaundalia Lunch Box.....hahahaaaa AIDS IS REAL
 
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
2,209
Points
1,250
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
2,209 1,250
Hahaha. . Kweli shem cha lunch time kina uzuri wake acha tu! Hata ma experts wamerecomend, dah ila na we mfukunyuzi, ulivyopataje hizo data!. . .global publisher wakupe hata part-time basi.
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
halafu ili usisumbue kwa simu unaambiwa kwanza naangia kwenye meeting Swt, ntazima simu kwa muda eeeh Mama, ukiulizwa meeting muda wa lunch? Unajibu fasta aaaah wametaundalia Lunch Box.....hahahaaaa AIDS IS REAL
Umeona eeeeeeh! MDA WA LUNCH HUMPATI MTU HEWANI!!!!!!! Kumbeeeee!!!!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Mbona hiyo kawaida shosti....
Kawaida wapiiiii! Watu wasingekuwa wanafumwaaaa! Watu walizoea WAKITOKA OFISINI ILE SAA 11, WANYWE BIA NA NYAMA CHOMA, WAKIZAMA RUMU SAA 7 USIKU HIYO. Kufika home saa 8 ndo mwanzo wa KUWAAMSHA WALIOLALA!!!! Ila kumi na Moja jioni KAJA TELE SEBULENI ANACHEKI TV, UKIMUHISI SI UTAONEKANA MWANGAAAA! KAMA SI MACHAWI!!!!!!!
 
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
1,685
Points
1,250
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
1,685 1,250
Ndiyo maana mimi nilioa Dr mwezangu all the time tupo wote hapati muda wa kujiachia. Hii imeanza zamani sana wewe unashtukia leo.
 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
Ok ila mie niligundua hilo kitambo,kuna wakati nilikuwa napiga tempo kwenye ofic ya kamishna wa ardhi msaidiz kanda flani,bac mida ya lunch watu wakawa wanatoweka while wananiitia takeaway na kuniachia mafail kibao nidil nayo, wakirudi wako tofaut mood hata macho,nilipodadisi lol nikapata full story
Kawaida wapiiiii! Watu wasingekuwa wanafumwaaaa! Watu walizoea WAKITOKA OFISINI ILE SAA 11, WANYWE BIA NA NYAMA CHOMA, WAKIZAMA RUMU SAA 7 USIKU HIYO. Kufika home saa 8 ndo mwanzo wa KUWAAMSHA WALIOLALA!!!! Ila kumi na Moja jioni KAJA TELE SEBULENI ANACHEKI TV, UKIMUHISI SI UTAONEKANA MWANGAAAA! KAMA SI MACHAWI!!!!!!!
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,119
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,119 2,000
Haaaaaaaaaaaa! Hiyo ni njia inayo tumiwa na wengi!
 
sakapal

sakapal

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
1,817
Points
1,225
sakapal

sakapal

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
1,817 1,225
Wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!!

Peopleeeeeeesss NIAJE!!!!!!!!!!!!!

Bwana wale ndugu zetu sugu, wataka yote kwa pupa, wazee wa MORE is prefered to LESS, wanaoenda contrary na law of demand kama LUXURY GOODS, The Higer the price they are charged the higher their demand!!!!!!!! Kwa lugha nyepesi ni CHEATERSSSSSSSSSS!!!!!!!! wamebuni mbinu mpya ya KUFAIDI MTI WA KATI bila bugdha za wapenzi au wake/waume zao. Mbinu hii ni ya KIMAFYA zaidi na si rahisi kuishtukia hadi siku ya 60.

Ujue mi ofisini kuna tabia flani hivi mida ya saa 6 mpaka 8 watu hawaonekani, na kila mtu kaondoka kivyake si ndo nikajua tu wanaenda KULA LUNCH bana!!!!!

Sasa juzi kati hapa kuna mtu aliniomba nimsaidie biashara yake ya Kussuply vitu mahotelini na bar yeye anafanya MITIHANI. Nikakubali bana, Kila hoteli nikifika saa 6,7,8 VYUMBA VIMEJAAA!!!!!!!!!! Basi mi nadeliver mzigo nasepa!!!! Curiousty killed the Cat, ikabidi niulize "Inamaana BIASHARA NZURI HIVO HADI SAA 6 MMEJAZA VYUMBA VYOTE????" Si ndo akatiririka siri za biashara "HAWA WENGI SHORT TIME TU, WAMETOKA MAKAZINI HUKO WANAKUJA KUSHITUA VIWILI VYA FASTA AFU WANARUDI KUENDELEA NA KAZI!!!!!!!!!!! WENGINE WANAKUJA NA WANAFUNZI HAPA AFU WATOTO WANARUDI KWAO SAFI!!!!!!!!!!! we njoo saa 10 utakuta vyumba vipo teleeee!" DUUUUUUUUUUUUUH!!!!!!! UTRATRAAAAAA!!!!!! aadhubillahimina shaytwani rajim!

Si ndo nikajuaaaaa!!!!!!!! Ndo maana watu wakitoka lunch wanarudi na mood nzuri!!!!!!!! Afu badala ya lisaa wanakaa hadi 2 au 3 WALA NINI HICHO WENZETU KAMA SIO BAMIA !!!!! Ndomaana Accountant UKIFATA CHEKI MCHANA ANAFURAHI HUYO, OLE WAKO UMZUKIE ASUBUHI, ALMANUSURA KUKUTWANGA KICHWA!!!!! Nikasema ipo haja kumuuliza mtu anakula wapi NIMUIBUKIE HUKO HUKO isijekuwa ananizuga!!!!!!! Kweli watu nundaaaa, jioni unarudi kwa mumeo/mkeo mwepesiiiiii wa roho, na mchoooovu kwa KAZI za mchana kutwaaa!!!!!!!! SAA KUMI NA MOJA JIONI WIFE/HUBBY YUPO SEBULENI ANACHEZA NA WATOTO!!!!!!!!!!!!
mbona hii ya siku nyingi sana mdogo wangu sema ukikua ndo unajua mambo mengi ambayo ulikuwa huyajui. Wakati niko chuo nilikuwa nashangaa kuona wake za watu wancheat na maboss zao ofisini na kugombana kwa ajili ya wanaume ambao nao wana wake zao by that time nilikuwa nafanya field. Kuna kaka mmoja akaniambia, mdogo wangu usishangae ukifika makazini nawe utayakuta haya na hutashangaa kweli nikayakuta kama wewe unavoshanga now.
 
C

cheichei2010

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
932
Points
195
C

cheichei2010

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
932 195
Ok ila mie niligundua hilo kitambo,kuna wakati nilikuwa napiga tempo kwenye ofic ya kamishna wa ardhi msaidiz kanda flani,bac mida ya lunch watu wakawa wanatoweka while wananiitia takeaway na kuniachia mafail kibao nidil nayo, wakirudi wako tofaut mood hata macho,nilipodadisi lol nikapata full story
jamani S.r Maria Ciello,na wewe unaingia kwenye haya mambo?
 
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
3,068
Points
1,195
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2012
3,068 1,195
Hahahahahah yani kwakweli kaaaazi kweli kweli! Teh dawa ni kuwanasisha tuu bhaaaaaas!
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,223
Points
1,500
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,223 1,500
Hii kwakweli ni kali.

Pamoja na uzoefu wangu wote hii ni mpya kwangu.

Itabidi niangalie upya mwenendo wa Mama Cheupe.
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
mbona hii ya siku nyingi sana mdogo wangu sema ukikua ndo unajua mambo mengi ambayo ulikuwa huyajui. Wakati niko chuo nilikuwa nashangaa kuona wake za watu wancheat na maboss zao ofisini na kugombana kwa ajili ya wanaume ambao nao wana wake zao by that time nilikuwa nafanya field. Kuna kaka mmoja akaniambia, mdogo wangu usishangae ukifika makazini nawe utayakuta haya na hutashangaa kweli nikayakuta kama wewe unavoshanga now.
SASA MTU WAKO ANAECHIT HIVI UTAMJUAJE!!!!!!!/ KUMI NA MOJA YUPO NDANI KAJAA TELEEEE! SIMU JUU YA MEZA!!!!! Ukimhisi vibaya si dhambi walakini? Na ukimuamini ndo anakukula kisogo hivoooo!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
jamani S.r Maria Ciello,na wewe unaingia kwenye haya mambo?
Hahahahaaaaaaaaa!!!! SR MARIA Ciello!!!!!!!! NIMEIKUBALI HIII!!!!!!!! Kama nakuona na SKETI YA MARINDA NA KILEMBA KICHWANI!!!! LOL!
 
Last edited by a moderator:
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,224
Points
2,000
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,224 2,000
Ndiyo maana mimi nilioa Dr mwezangu all the time tupo wote hapati muda wa kujiachia. Hii imeanza zamani sana wewe unashtukia leo.
Ulimuoa nani.. Asprin au klorokwini au nani hasa.
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,296,632
Members 498,713
Posts 31,254,365
Top