Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

ha ha ha haya maubunifu huwa hayajirudii kamwe...mmegundua hili litakuja lingine tena
 
Wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!!

Peopleeeeeeesss NIAJE!!!!!!!!!!!!!


Bwana wale ndugu zetu sugu, wataka yote kwa pupa, wazee wa MORE is prefered to LESS, wanaoenda contrary na law of demand kama LUXURY GOODS, The Higer the price they are charged the higher their demand!!!!!!!! Kwa lugha nyepesi ni CHEATERSSSSSSSSSS!!!!!!!! wamebuni mbinu mpya ya KUFAIDI MTI WA KATI bila bugdha za wapenzi au wake/waume zao. Mbinu hii ni ya KIMAFYA zaidi na si rahisi kuishtukia hadi siku ya 60.

Ujue mi ofisini kuna tabia flani hivi mida ya saa 6 mpaka 8 watu hawaonekani, na kila mtu kaondoka kivyake si ndo nikajua tu wanaenda KULA LUNCH bana!!!!!

Sasa juzi kati hapa kuna mtu aliniomba nimsaidie biashara yake ya Kussuply vitu mahotelini na bar yeye anafanya MITIHANI. Nikakubali bana, Kila hoteli nikifika saa 6,7,8 VYUMBA VIMEJAAA!!!!!!!!!! Basi mi nadeliver mzigo nasepa!!!! Curiousty killed the Cat, ikabidi niulize "Inamaana BIASHARA NZURI HIVO HADI SAA 6 MMEJAZA VYUMBA VYOTE????" Si ndo akatiririka siri za biashara "HAWA WENGI SHORT TIME TU, WAMETOKA MAKAZINI HUKO WANAKUJA KUSHITUA VIWILI VYA FASTA AFU WANARUDI KUENDELEA NA KAZI!!!!!!!!!!! WENGINE WANAKUJA NA WANAFUNZI HAPA AFU WATOTO WANARUDI KWAO SAFI!!!!!!!!!!! we njoo saa 10 utakuta vyumba vipo teleeee!" DUUUUUUUUUUUUUH!!!!!!! UTRATRAAAAAA!!!!!! aadhubillahimina shaytwani rajim!

Si ndo nikajuaaaaa!!!!!!!! Ndo maana watu wakitoka lunch wanarudi na mood nzuri!!!!!!!! Afu badala ya lisaa wanakaa hadi 2 au 3 WALA NINI HICHO WENZETU KAMA SIO BAMIA !!!!! Ndomaana Accountant UKIFATA CHEKI MCHANA ANAFURAHI HUYO, OLE WAKO UMZUKIE ASUBUHI, ALMANUSURA KUKUTWANGA KICHWA!!!!! Nikasema ipo haja kumuuliza mtu anakula wapi NIMUIBUKIE HUKO HUKO isijekuwa ananizuga!!!!!!! Kweli watu nundaaaa, jioni unarudi kwa mumeo/mkeo mwepesiiiiii wa roho, na mchoooovu kwa KAZI za mchana kutwaaa!!!!!!!! SAA KUMI NA MOJA JIONI WIFE/HUBBY YUPO SEBULENI ANACHEZA NA WATOTO!!!!!!!!!!!!

Mi bado nashangaa ama kwa vile siko Sali Dalama! Inamaana Mbunye huko ziko njenje tu kama za kuku? Sasa hapo ndo wafanyakazi wanalalamika kwamba hawana hela na serikali eti imebana hela? Mbona hela zinaishia gesti? Je kuna kizazi cha watu timamu hapo? Vitoto vinavyozaliwa huko si vitakuwa kama baba au mama ambae kila lunch anastua mbunye? (Genetics??) Wenye wake wasomi wanaofanya lazi huko mmeipata hii?
 
SASA MTU WAKO ANAECHIT HIVI UTAMJUAJE!!!!!!!/ KUMI NA MOJA YUPO NDANI KAJAA TELEEEE! SIMU JUU YA MEZA!!!!! Ukimhisi vibaya si dhambi walakini? Na ukimuamini ndo anakukula kisogo hivoooo!

Umenikumbusha story ya mama mmoja mume wake alikuwa lecturer UDSM kila siku anajisifu kwa wamama wenzake jinsi mumewe alivomuaminifu kwa kuwa home muda wote kila mahali wako wote hadi sokoni wanaende na mumewe siku za week end na hatoki home saa 11 yuko home na hatoki wenzake waka wa wanamnanga tuu. Siku ya siku wakampasulia jipu baada ya kuchoshwa na majigambo yake kupelekwa maeneo muda wa mchana alichokiona la haulaaaa!!!!! mumewe live na vidosho kibao kitandani alizimia na baada ya kuzinduka alibeba kilicho chake na kurudi kwao. Hii ni kweli miaka mingi tu isahpita.
Ningumu sana kujua mwenzako ni mwaminifu au mzinifu nyuma yako ndo maana waswahili wakaimba kwenye taarabu wako akiwa kwako akitoka si wako hadi arudi tena kwako...!!! Mbona kazi ipo kweli abiria chunga mzigo wako ila sala ni muhimu na ni vizuri kukumbushana kwa kuongea mara kwa mara na mwenza wako kuhusu magonjwa, athari za kutembea nje ya mahusiano, n.k. ila jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza nene.
Mie bora nisijue hata kama anacheat maana siko tayari kuumiza moyo wangu kwa jinsi yoyote ile na hata watu wa karibu nishaawaambia mkijua chochote kuhusu hubby wangu msiniambie waache hivohivo ntajua siku ya siku la kutokea likitokea looh. MUME/MKE MTAMU NA ANAUMA KUMOYO kama unabisha oa halafu cheat au akucheat then ujue au ajue utaona tamu na chungu yake.

Evere Remaining
Sakapal.
 
Mi bado sijaelewa!!!!!!1 Ina maana dushelele za zamani ZILIKUWA KUBWA SANA!? AMA SHUGHULI ILIKUWA PEVU ZAIDI!? Kuliko sasa ama aje? Badi niko njia panda mwenzio.
rumuor has it zamani midingi ilikuwa inasimamia vidole bana !yani mtu ka analima vile!
huyo babu anasema siku hizi wanaume hawapigi mzigo ule wenyewe ndo mana wanawake wana hizo nguvu za kudo nyumbani,ofisini na nyumbani tena!
ah utote katika yote ni uzinzi tu!
 
Mi bado nashangaa ama kwa vile siko Sali Dalama! Inamaana Mbunye huko ziko njenje tu kama za kuku? Sasa hapo ndo wafanyakazi wanalalamika kwamba hawana hela na serikali eti imebana hela? Mbona hela zinaishia gesti? Je kuna kizazi cha watu timamu hapo? Vitoto vinavyozaliwa huko si vitakuwa kama baba au mama ambae kila lunch anastua mbunye? (Genetics??) Wenye wake wasomi wanaofanya lazi huko mmeipata hii?

We wiyelele embu tuliza ball hilo, yaani mbunye ya beki tatu wako haikutoshi tu mpaka za ofisini unazitamani!!!!!!!!! Tutakupoteza mapema wiyelele jiangalie!!!!! Ohooooooooo!!!!!
 
ha! na mimi ndo nasikia hii.sasa kwa kuwa nishajua;na mimi leo ni leo! lunch ikifika tu, huyoooo! ala!

heheheeheheeeee lazima ujikute uko temeke kwa kubandana looh maana inaweza kuwa si mke wa mtu ila ukasahau badala ya kupaka KY kwa ajili ya harahaharaka na kuzingatia muda wa lunch unapaka super glue, weeeh mwenyewe utapiga simu temeke hosp wakawabandue looh.
 
We wiyelele embu tuliza ball hilo, yaani mbunye ya beki tatu wako haikutoshi tu mpaka za ofisini unazitamani!!!!!!!!! Tutakupoteza mapema wiyelele jiangalie!!!!! Ohooooooooo!!!!!

Lara 1
Mie sihitaji tena ila nashangaa huko kustua wakati wa lunch, tena watu wasomi kwa wasomi! Nasema hivyo kwa vile hii nitabia mbaya sana! Sasa waliokuwa wananiponda kwa HG kumbe wanakula na kuliwa mbunye? Sasa kati yangu na wao, nani muwazi zaidi? Yaani mtu akienda lunch anakula chakula halafu anashushia mbunye? astaghafulahi!
 
cheating is an art..not recommended for every human being except you are naturally born artist with artistic touches, an attentive eye to every detail and creativity above all others.
 
hiyo story hata mie nshawahi kuisikia sakapal... mh me huwa sihitahi kujua kilichopo nyuma ya pazia.. ye afanze madudu yake hukoo ila heshima iwepo... make hawa wenzitu ni ngumu kumesa mambo yao ukiyasikia.. wanamalizia hata maofisini... jikoni... chooni bila woga!!!
 
Last edited by a moderator:
hiyo ilisha wai kutoke ofic moja wa2 hadi walitoana manundu kisa mume, mume mwenyewe wa m2 jaman unajua ilikuaje mme katoa ahadi leo 2naenda sehem fulani kwa ajili ya kupata 2nda la roho kumbe bwana yule mmmama mwingine kashitukia kwa sababu ilisha wai kufanya ako ka mchezo
 
heheheeheheeeee lazima ujikute uko temeke kwa kubandana looh maana inaweza kuwa si mke wa mtu ila ukasahau badala ya kupaka ky kwa ajili ya harahaharaka na kuzingatia muda wa lunch unapaka super glue, weeeh mwenyewe utapiga simu temeke hosp wakawabandue looh.
mimi nilishakunywa kikombe cha bibi ambocho hunifanya nisiweze kunasa kokote.hata kama kuna sumaku;mimi napita tu!
 
Hii kitu mbona iko kitambo? sema siku hizi inaleta tatizo baada ya kuwaoa wasomi ambao wanajua kukaba roof!!! ha ha ha!!! Msomi maswali mengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!! kuna jamaa fulani alikuwa anamsimulia rafiki yake pale yuMi garden (former city garden) jinsi gani anamalizana na talalila wake mchana na kabla ya taarifa ya habari yuko home anapata dinner na familia!!! Hapo walikuwa wanakumbushana kama wanaendelea na wale girls friends zao na wote walijbu wanaendelea japo nao walishaolewa!!! Ha ha ha ngoma droooooooooooooooooooooooooo siku hizi!!! Mke kule mume kule!!! Wote wanakutana nyumbani jioni wamechoka hakuna kula tunda mpaka weekend!! Kumbe tunda linaliwa kila siku mchana isipokuwa Weekends!!!! Hii kitu labda kila moja iwekewe kofuli la VIRO na ufunguo ashike mwenzio!!
 
wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!!

Peopleeeeeeesss niaje!!!!!!!!!!!!!


Bwana wale ndugu zetu sugu, wataka yote kwa pupa, wazee wa more is prefered to less, wanaoenda contrary na law of demand kama luxury goods, the higer the price they are charged the higher their demand!!!!!!!! Kwa lugha nyepesi ni cheaterssssssssss!!!!!!!! Wamebuni mbinu mpya ya kufaidi mti wa kati bila bugdha za wapenzi au wake/waume zao. Mbinu hii ni ya kimafya zaidi na si rahisi kuishtukia hadi siku ya 60.

Ujue mi ofisini kuna tabia flani hivi mida ya saa 6 mpaka 8 watu hawaonekani, na kila mtu kaondoka kivyake si ndo nikajua tu wanaenda kula lunch bana!!!!!

Sasa juzi kati hapa kuna mtu aliniomba nimsaidie biashara yake ya kussuply vitu mahotelini na bar yeye anafanya mitihani. Nikakubali bana, kila hoteli nikifika saa 6,7,8 vyumba vimejaaa!!!!!!!!!! Basi mi nadeliver mzigo nasepa!!!! Curiousty killed the cat, ikabidi niulize "inamaana biashara nzuri hivo hadi saa 6 mmejaza vyumba vyote????" si ndo akatiririka siri za biashara "hawa wengi short time tu, wametoka makazini huko wanakuja kushitua viwili vya fasta afu wanarudi kuendelea na kazi!!!!!!!!!!! Wengine wanakuja na wanafunzi hapa afu watoto wanarudi kwao safi!!!!!!!!!!! We njoo saa 10 utakuta vyumba vipo teleeee!" duuuuuuuuuuuuuh!!!!!!! Utratraaaaaa!!!!!! Aadhubillahimina shaytwani rajim!

Si ndo nikajuaaaaa!!!!!!!! Ndo maana watu wakitoka lunch wanarudi na mood nzuri!!!!!!!! Afu badala ya lisaa wanakaa hadi 2 au 3 wala nini hicho wenzetu kama sio bamia !!!!! Ndomaana accountant ukifata cheki mchana anafurahi huyo, ole wako umzukie asubuhi, almanusura kukutwanga kichwa!!!!! Nikasema ipo haja kumuuliza mtu anakula wapi nimuibukie huko huko isijekuwa ananizuga!!!!!!! Kweli watu nundaaaa, jioni unarudi kwa mumeo/mkeo mwepesiiiiii wa roho, na mchoooovu kwa kazi za mchana kutwaaa!!!!!!!! Saa kumi na moja jioni wife/hubby yupo sebuleni anacheza na watoto!!!!!!!!!!!!


kumbeeee??
Lol,,dunia ina mambo..
 
hiyo story hata mie nshawahi kuisikia sakapal... Mh me huwa sihitahi kujua kilichopo nyuma ya pazia.. Ye afanze madudu yake hukoo ila heshima iwepo... Make hawa wenzitu ni ngumu kumesa mambo yao ukiyasikia.. Wanamalizia hata maofisini... Jikoni... Chooni bila woga!!!

??
Akina adam au akina hawa??
Nani sasaaaa
 
lara 1 mi sikuwezi ila unayoongea ni kweli.Umejipanga vipi kunusuru ndoa ya Wiyelele inayovunjwa na housegirl wake? Uko wewe, Kongosho, Zion Daughter, Badili Tabia, Asprin, Preta na Ciello!!Mi ningependa Wiyelele akutane na wewe live ili umshushie vitu vyako.

Hapana Thanda! That is where u make a mistake! Ni mwanamke mpumbavu ndo anavunja ndoa, HG hana ubavu wa kuvunja ndoa. Sasa kama mke hawezi kubadilika utafanyaje? Mi nitaanika picha zote zangu hapa ili mchaguwe wenyewe! Hakika kura mtampa HG wangu.
 
Wabongo ubunifu wetu ni kwenye maovu tu kama babu zetu na uchawi wao. No creativity on positive matters.

Hahaha hapo kwenye uchawi umenifurahisha but pengine ndo ungekuwa ndio innovation yetu hiyo kama kusingekuwa na kulinganisha na vya wazungu. Kuna tofauti gani kuruka na ungo na kuruka kwa ndege? Wangeendelezwa na kukubalika pengine wangetutengenezea ndege za mapipa hahahahahhah
 
Cha wiz n ktamu, ila kinakuwa ktamu zaid unapokijulia timing zake. Hahahaha!
 
Hahaha hapo kwenye uchawi umenifurahisha but pengine ndo ungekuwa ndio innovation yetu hiyo kama kusingekuwa na kulinganisha na vya wazungu. Kuna tofauti gani kuruka na ungo na kuruka kwa ndege? Wangeendelezwa na kukubalika pengine wangetutengenezea ndege za mapipa hahahahahhah
Ninavyosikia ndege wanasafiri kwenda kuloga sio kurahisisha usafiri wao wa kawaida. e.g. mchawi anaishi mwanza anataka kuja dar kufanya shopping hawezi kuja na ndege yake atapanda basi au ndege ya wazungu ila kama wanakuja kuroga ndoo wanapanda ndege zao. Faida iko wapi hapo?
 
Back
Top Bottom