Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

Hahahaaaaaa! KINO tumeshajua JINSI YA KUTEST KAMA TEGO LIPO AU SHWARI!!!!!!! Dawa ngogo tu, UNAPITISHA FUNGUO/KITU CHA CHUMA TOKA PAJA LA KUSHOTO HADI LA KULIA!!!!!!!!!!! BAAAAAAAAASS!!! KAMA TEGO LIPO CHUMA KILE KIKIFIKA USAWA WA K KIAPIGWA NA KITU KA RADI, KINATETEMEKA KABISA, KAMA CHEPESI KINAKATIKA!!!!!!!! UNAJUA HAPA UTAMU HAKUNA!!!!!!!!! NI KUNASA TU!!!!!!!!!!! Unamwambia kiupole tu, HAYA VAA PICHU UENDEEEE KWA MUMEO!!!!!!!!! Watu nundaaaaaa! Usione wanatembea na SPOKU!!!!!!!! za kutest TEGO!
Eeeeeh!!!!kumbe ndo hvyo?
 
Kumbe jeeeeeeeee!!!!!!! HIZI NA NYAKATI ZA MWISHO!!!!!!!! Lawyer kwa Judge!, Bosi kwa Secretary, Mhasibu kwa Cashier, Mfanyabiashara na Mteja, SHINDWA MWENYEWE TU HAPO!

Du! ama kweli, halafu watu hapa walikuwa wananicheka mimi kustua kwa HG eti!
 
JF kuna vituko lakini wewe lara 1 umetia fora.

Sasa wewe ulienda ku supply goods au kuchukua sensa ya waliotoka Dsm kuelekea Dsm?
 
Daah mleta uzi hujakosea haswaaaa. Yan mapenzi ya hivyo yanakua matamu sana. 7bu unapewa mda mchache ili uutumie ipasavyo. Wewe jiulize kama mwanafunzi anasoma darasani then anachomoka kidogo kwenda bafuni kustua kamoja ka Fasta. Akirudi mambo yanaingia tu kichwani.
 
lara1 mimi nakutafuta sana, na nimeomba akina Preta, Ciello na Kongosho wanisaidie kukutafuta ili usaidie kunusuru ndoa ya Wiyelele inayovunjwa na HG wake.....Pliiiiiiiz lara1 okoa hii mambo.

We wiyelele embu tuliza ball hilo, yaani mbunye ya beki tatu wako haikutoshi tu mpaka za ofisini unazitamani!!!!!!!!! Tutakupoteza mapema wiyelele jiangalie!!!!! Ohooooooooo!!!!!
 
Du! ama kweli, halafu watu hapa walikuwa wananicheka mimi kustua kwa HG eti!
lara1 anakusaidia kuokoa ndoa yako kwa msaada wa HG, kakuunga mkono........siamini kama ni lara1 ninayemjua!!!
 
lara1 anakusaidia kuokoa ndoa yako kwa msaada wa HG, kakuunga mkono........siamini kama ni lara1 ninayemjua!!!

lara1 amelinganisha hao WASOMI wanavyodanganya familia zao na linapokuja suala hapa wanajifanya wasafi. Mimi nimeliweka wazi ndo maana kaniunga mkono. Najua hajaniunga mkono kwa kuwa na HG, bali kwa kuwa muwazi na yale yanayonisibu.
 
Back
Top Bottom