Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

unamtamani shemeji yako?

Namtamani KIVIPI mkuu, mi nilikuwa NAMKUBALI KUWA KAWEKWA KWENYE CHUPA KATULIA TULI!!!!!!!! Sasa namuangalia kwa wasiwasi huenda nae mteja wa hii mbinu ya lunch time!!!! Jioni anazuga kama ZOMBIII kumbe mchana kafaidi mambo ya The Secretary!!!!!!! Anatuchora tu tunamuona mazombiiii.
 
Namtamani KIVIPI mkuu, mi nilikuwa NAMKUBALI KUWA KAWEKWA KWENYE CHUPA KATULIA TULI!!!!!!!! Sasa namuangalia kwa wasiwasi huenda nae mteja wa hii mbinu ya lunch time!!!! Jioni anazuga kama ZOMBIII kumbe mchana kafaidi mambo ya The Secretary!!!!!!! Anatuchora tu tunamuona mazombiiii.

Nipo curious na walio kwenye thread hii bila kuchangia
waweza nipa explanation ?
nini inaendelea?
 
Wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!!

Peopleeeeeeesss NIAJE!!!!!!!!!!!!!


Bwana wale ndugu zetu sugu, wataka yote kwa pupa, wazee wa MORE is prefered to LESS, wanaoenda contrary na law of demand kama LUXURY GOODS, The Higer the price they are charged the higher their demand!!!!!!!! Kwa lugha nyepesi ni CHEATERSSSSSSSSSS!!!!!!!! wamebuni mbinu mpya ya KUFAIDI MTI WA KATI bila bugdha za wapenzi au wake/waume zao. Mbinu hii ni ya KIMAFYA zaidi na si rahisi kuishtukia hadi siku ya 60.

Ujue mi ofisini kuna tabia flani hivi mida ya saa 6 mpaka 8 watu hawaonekani, na kila mtu kaondoka kivyake si ndo nikajua tu wanaenda KULA LUNCH bana!!!!!

Sasa juzi kati hapa kuna mtu aliniomba nimsaidie biashara yake ya Kussuply vitu mahotelini na bar yeye anafanya MITIHANI. Nikakubali bana, Kila hoteli nikifika saa 6,7,8 VYUMBA VIMEJAAA!!!!!!!!!! Basi mi nadeliver mzigo nasepa!!!! Curiousty killed the Cat, ikabidi niulize "Inamaana BIASHARA NZURI HIVO HADI SAA 6 MMEJAZA VYUMBA VYOTE????" Si ndo akatiririka siri za biashara "HAWA WENGI SHORT TIME TU, WAMETOKA MAKAZINI HUKO WANAKUJA KUSHITUA VIWILI VYA FASTA AFU WANARUDI KUENDELEA NA KAZI!!!!!!!!!!! WENGINE WANAKUJA NA WANAFUNZI HAPA AFU WATOTO WANARUDI KWAO SAFI!!!!!!!!!!! we njoo saa 10 utakuta vyumba vipo teleeee!" DUUUUUUUUUUUUUH!!!!!!! UTRATRAAAAAA!!!!!! aadhubillahimina shaytwani rajim!

Si ndo nikajuaaaaa!!!!!!!! Ndo maana watu wakitoka lunch wanarudi na mood nzuri!!!!!!!! Afu badala ya lisaa wanakaa hadi 2 au 3 WALA NINI HICHO WENZETU KAMA SIO BAMIA !!!!! Ndomaana Accountant UKIFATA CHEKI MCHANA ANAFURAHI HUYO, OLE WAKO UMZUKIE ASUBUHI, ALMANUSURA KUKUTWANGA KICHWA!!!!! Nikasema ipo haja kumuuliza mtu anakula wapi NIMUIBUKIE HUKO HUKO isijekuwa ananizuga!!!!!!! Kweli watu nundaaaa, jioni unarudi kwa mumeo/mkeo mwepesiiiiii wa roho, na mchoooovu kwa KAZI za mchana kutwaaa!!!!!!!! SAA KUMI NA MOJA JIONI WIFE/HUBBY YUPO SEBULENI ANACHEZA NA WATOTO!!!!!!!!!!!!

Mwana, kwanza your respect. Yaani you are talented. Yaani unamuandikia mtu story inakuwa kama anaona matukio yote. Yaani ni zadi ya kuangalia 'Big Time Kinyaa Bongo movie'. Mchongo: Tafuta column kwenye nyuz pepa flani. Aaaaahhh!! lazima unikamate. Dah! huwa namis sana tells za namna hii. Streets kuna talents kibao ila mijengoni wamekaa siyo kabisa. Salute.
 
Nipo curious na walio kwenye thread hii bila kuchangia
waweza nipa explanation ?
nini inaendelea?

Wanajiuliza SWALI LANGU LA MSINGI!!!!!!! NA KUJIEVALUATE MIENENDO YAO NA WENZA WAO!!!!!!!! Anaeibiwa "Yawezekana Mali zangu ZAIBIWA sina habari eeeh!" muhusika "Tumeeee hili toto lishamwaga mtama kwenye kuku wengi, basi tena, hiii mbinu ishastukiwa!!!!!!!!"
 
Mimi nashauri tumwombe Mungu arekebishe 'sehemu zetu za secret'. Kama mtu ana mme/mke sehemu hizo ziwe active kwa huyo mme/mke tu. Kwa wengine wote ziwe dead kabisaaaaa ila tu zisioze na kunuka maana mji hautakalika! Amen!
 
Mwana, kwanza your respect. Yaani you are talented. Yaani unamuandikia mtu story inakuwa kama anaona matukio yote. Yaani ni zadi ya kuangalia 'Big Time Kinyaa Bongo movie'. Mchongo: Tafuta column kwenye nyuz pepa flani. Aaaaahhh!! lazima unikamate. Dah! huwa namis sana tells za namna hii. Streets kuna talents kibao ila mijengoni wamekaa siyo kabisa. Salute.


You do sounds like her...
either you are her or you have the same talent..just saying..
 
HAHAHAHAAAAAAAAAAA!!!! Ngoja na mimi nisave, MKUU WA KAYA, MIZINGUO PINDE, RITZ 1, RICH MONDULI, ROSTI TAMU, NAPEE NAUYEE, SAMUEL SABA, AYUBU NDUNGAII, SALMA KIKWET, Zikipigwa hata Usiku wa manane NASEMA SIMU ZA CHAMA HIZIII!!!!!! Huoni MIJINA YOTE YA KIFISADI, TUSHATOKA KIMAISHA!!!!! LOL!

teh teh teh.... kila la heri ila ukishikwa me SIMOOOOOOOO!!!!??
 
Mbona hiyo kawaida shosti....

kabisa cielo, inaonekana ofisin kwao lara 1 wastaarabu hadi kachelewa kugundua, chezea lunch time wewe watu hawaendi na magari yao ni mwendo wa tex tu, maderva wanajua mengi jamani
 
Hahahah anajua mkabeni aseme lol
Mi wanionea BUREEEEE!!!!! Mi nimekuja hapa KUULIZA UTAJUAJE MMEO/BF NI MZEE WA KUTINGA CHOBINGO MIDA YA LUNCH!!!! Angali he is so SWEET, Saa 11 jioni yupo jikoni anakukatia nyanya na kitunguu upike vizuri, hatoki tena hadi kesho! HOW DO YOU START DOUBTING HIM IN THE 1ST PLACE!!!!!!!!!!? Si ndo jitu litacheat mpaka ETERNITY!!!!!!!!!
 
Hii ni kawaiiiidaaaaa sana

MTUMEEEEEEEEEEE!!!!! Mi nilijua kwetu tu! Kumbe hata kwenu WAPO??????? BASI NI JANGA LA KITAIFA!!!!!! Kama kila ofisi wapo si TUMEKWISHAAAAA!!!!!!!!!!!
 
Mimi naomba kuuliza huko hotelini ulikuwa unasupply nini mwenzetu? Nauliza kwa wema tu manake si mbaya tukishea mahusiano na business kidogo. Naomba nijuze hiyo biashara yako, wana jamvi tupendane?

Samahani lakini kama ulikuwa umeenda kubinjuka na si kibiashara.
 
kwa nyama tu,wabongo tunatafunana kama carnibals.. miwaya nayo kama kazi,jamani TACAIDS kazeni buti huko ...lol!
 
I guess it's the matter of CONFLICT of interests...
Unajua SWALI siku zote ni moja!!...Huyo MKE/MUME wa mtu anafanya na nani?..Na kwa nini huyo mtu asiwe MIMI au WEWE?...kwani lazima awe YULE?? If this is the trend then who are the victims? cuz everybody denies and blame!!

Nipo curious na walio kwenye thread hii bila kuchangia
waweza nipa explanation ?
nini inaendelea?
 
Mimi naomba kuuliza huko hotelini ulikuwa unasupply nini mwenzetu? Nauliza kwa wema tu manake si mbaya tukishea mahusiano na business kidogo. Naomba nijuze hiyo biashara yako, wana jamvi tupendane?

Samahani lakini kama ulikuwa umeenda kubinjuka na si kibiashara.

We nawe MPANA KAMA PAZIA LA SINEMA!!!!!! Biashara ya watu ile! Nisiposema nitaonekana NILIKUWA NABANJULIWA!!!!!! Itabidi tu niseme manake ni NOMA!!!! Ni biashara common tu, ya kussuply KUKU, MAYAI, SAMAKI, NYAMA NA BIDHAA NYINGINE KWA ODA MAALUMU. Kama UDALALI, UNACHUKUA KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI, UNADELIVER HOTELINI. VERY STABLE BUSINESS UKIWA NA ODA HOTELI ZAKO 50 HIVI, wala huhitaji kuajiriwa. Plus faida ni kubwa pia na risk ni ndogo. Alafu kuna room for expansion, manake saivi mwenyewe anasupply hadi SUPERMARKETS NA MADUKA YA KAWAIDA. Mwenyewe nataka KUIBA IDEA YA WATU nijifanyie wenyewe. Sema ndo HUKAUKI BAR NA GUEST.
 
Wiyelele tushampa solutn amchukue beki3 au ka vp a-apply hii cheating style akirud home jioni mwepesiii na tabasamu tele wala hatakumbuka kuwa wife wake hajaosha vyombo lol
lara 1 mi sikuwezi ila unayoongea ni kweli.Umejipanga vipi kunusuru ndoa ya Wiyelele inayovunjwa na housegirl wake? Uko wewe, Kongosho, Zion Daughter, Badili Tabia, Asprin, Preta na Ciello!!Mi ningependa Wiyelele akutane na wewe live ili umshushie vitu vyako.
 
Last edited by a moderator:
Akina dada Ogopa anayekununulia gari, na Kuwa na bidii ya kutafuta house girl mpya kila mnapomhitaji, yeye kila siku asubuhi anaondoka wa mwisho halafu anarudi nyumbani MCHANA kuangalia usalama wa nyumba. Niliiona hii kwa jirani nikachoka.
 
You do sounds like her...
either you are her or you have the same talent..just saying..

Hahahahaaaa!!!! Ni watu wawili tofauti mkuu. Ila ni kweli huwa napenda kusimulia kwa style kama yeye. Halafu kuna kitu umenishtuwa. Unajuwa sikuwa na idea kama muandishi ni 'she'!! Kuinona kamba hewani nikairukia tu, sikumbuki hata kuangalia avatar. Dah! kama ni 'she' inabidi respect kwake iwe zaidi.
 
umenikumbusha,nilipokuwa nafanya kazi,kuna kaka mmoja na mpenzi wake wote tulikuwa section moja,walikuwa hata aibu hawana,wakitoka tu,watu wanaanza kunong'ona,hao wanaenda,na time ya kurudi hurudi pamoja.na kuna mwengine section hiyo hiyo,walikuwa wakifanya hayo hayo.ile ofisi,kila mtu alikuwa na wake.na kila mtu alikuwa na mke na mume nyumbani.mmh ilikuwa balaa.nilikuwa pale temporary.mapenzi ya ofisini mbaya zaidi,mmoja afe kwa UKIMWI.na wengine wanakuwa nyuma yao,maana watu wanapokezana tu,utafikiri ofisi imelaaniwa
 
Taarifá pia ni kwamba Embassy Hotel si mnaiona haina lolote! Basi ndio maarufu sana kwa shughuli hiyo. Mchana pako busy pale. Wateja wanapitia mlango wa nyuma!

Loh umenikumbusha enzi zile tuliitumiaga sana hiyo hotel tena mida hiyo hiyo ya lunch time. Hee hivi hadi leo bado tu mambo yako vile vile?
 
Back
Top Bottom