Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

We nawe MPANA KAMA PAZIA LA SINEMA!!!!!! Biashara ya watu ile! Nisiposema nitaonekana NILIKUWA NABANJULIWA!!!!!! Itabidi tu niseme manake ni NOMA!!!! Ni biashara common tu, ya kussuply KUKU, MAYAI, SAMAKI, NYAMA NA BIDHAA NYINGINE KWA ODA MAALUMU. Kama UDALALI, UNACHUKUA KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI, UNADELIVER HOTELINI. VERY STABLE BUSINESS UKIWA NA ODA HOTELI ZAKO 50 HIVI, wala huhitaji kuajiriwa. Plus faida ni kubwa pia na risk ni ndogo. Alafu kuna room for expansion, manake saivi mwenyewe anasupply hadi SUPERMARKETS NA MADUKA YA KAWAIDA. Mwenyewe nataka KUIBA IDEA YA WATU nijifanyie wenyewe. Sema ndo HUKAUKI BAR NA GUEST.

Ni PM kwani nilikuwa nahitaji sana mtu wa namna hii.
 
Loh umenikumbusha enzi zile tuliitumiaga sana hiyo hotel tena mida hiyo hiyo ya lunch time. Hee hivi hadi leo bado tu mambo yako vile vile?

Wakukae kumbe na wewe UMENAJISI ile hoteli eeeeh! ULIKUWA UNAENDA NA NANI LUNCH TIME?
 
DAWA YA KUCHEAT IYO
Wanasayansi wana mambo!
121116221306_cuddle_drug_304x171_internet_nocredit.jpg
Dawa ya kuzuia nyumba ndogo

Sasa kumegunduliwa dawa aina ya homoni inayoweza kuwazuia wanaume kwenda nje, au kuwa na uhusiano wa pembeni,
Dawa hii iliyovumbuliwa Ujerumani inaitwa FIDELITY HORMON. Dawa ya uaminifu! Au kampuni hiyo ya ujereumani imeipa dawa hiyo jina la CUDDLE DRUG! Dawa ya kukumbatiana.
Dr René Hurle*mann, of Bonn University nchini Ujerumani anasema mwanamume akipewa dawa hii ya kumeza huyeyuka na kuingia katika damu, hivyo mwanamke mrembo akipita karibu, basi mume analazimika kukaa umbali wa inchi sita . Mume bila kujua damu yake itakuwa haipatani na mwanamke mwengine mbali na mkewe.
Mwanamke huyo akiwa mrembo zaidi , ndio dawa inafanya kazi vizuri zaidi. Ni FIDELITY HORMON. Tembe za uaminifu.
BBC Swahili - Medianuai - Mkeo aweza "kunusa" uoga wako
source
 
Sijaelewa hayo mayai YANAHUSIKAJE HAPO!!!!
 
Full ma-ubunifu lakini kumbukeni jezi muwapo uwanjaniiiiiiiii!
Alafu ni mwisho kumuamini mama K.
 
Wiyelele tushampa solutn amchukue beki3 au ka vp a-apply hii cheating style akirud home jioni mwepesiii na tabasamu tele wala hatakumbuka kuwa wife wake hajaosha vyombo lol

In fact, nimepeleka posa, wamekubali. Raha ikoje jamani! Wacha nijimwage mie, baridi imenichosha!
 
Wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!!

Peopleeeeeeesss NIAJE!!!!!!!!!!!!!

Bwana wale ndugu zetu sugu, wataka yote kwa pupa, wazee wa MORE is prefered to LESS, wanaoenda contrary na law of demand kama LUXURY GOODS, The Higer the price they are charged the higher their demand!!!!!!!! Kwa lugha nyepesi ni CHEATERSSSSSSSSSS!!!!!!!! wamebuni mbinu mpya ya KUFAIDI MTI WA KATI bila bugdha za wapenzi au wake/waume zao. Mbinu hii ni ya KIMAFYA zaidi na si rahisi kuishtukia hadi siku ya 60.

Ujue mi ofisini kuna tabia flani hivi mida ya saa 6 mpaka 8 watu hawaonekani, na kila mtu kaondoka kivyake si ndo nikajua tu wanaenda KULA LUNCH bana!!!!!

Sasa juzi kati hapa kuna mtu aliniomba nimsaidie biashara yake ya Kussuply vitu mahotelini na bar yeye anafanya MITIHANI. Nikakubali bana, Kila hoteli nikifika saa 6,7,8 VYUMBA VIMEJAAA!!!!!!!!!! Basi mi nadeliver mzigo nasepa!!!! Curiousty killed the Cat, ikabidi niulize "Inamaana BIASHARA NZURI HIVO HADI SAA 6 MMEJAZA VYUMBA VYOTE????" Si ndo akatiririka siri za biashara "HAWA WENGI SHORT TIME TU, WAMETOKA MAKAZINI HUKO WANAKUJA KUSHITUA VIWILI VYA FASTA AFU WANARUDI KUENDELEA NA KAZI!!!!!!!!!!! WENGINE WANAKUJA NA WANAFUNZI HAPA AFU WATOTO WANARUDI KWAO SAFI!!!!!!!!!!! we njoo saa 10 utakuta vyumba vipo teleeee!" DUUUUUUUUUUUUUH!!!!!!! UTRATRAAAAAA!!!!!! aadhubillahimina shaytwani rajim!

Si ndo nikajuaaaaa!!!!!!!! Ndo maana watu wakitoka lunch wanarudi na mood nzuri!!!!!!!! Afu badala ya lisaa wanakaa hadi 2 au 3 WALA NINI HICHO WENZETU KAMA SIO BAMIA !!!!! Ndomaana Accountant UKIFATA CHEKI MCHANA ANAFURAHI HUYO, OLE WAKO UMZUKIE ASUBUHI, ALMANUSURA KUKUTWANGA KICHWA!!!!! Nikasema ipo haja kumuuliza mtu anakula wapi NIMUIBUKIE HUKO HUKO isijekuwa ananizuga!!!!!!! Kweli watu nundaaaa, jioni unarudi kwa mumeo/mkeo mwepesiiiiii wa roho, na mchoooovu kwa KAZI za mchana kutwaaa!!!!!!!! SAA KUMI NA MOJA JIONI WIFE/HUBBY YUPO SEBULENI ANACHEZA NA WATOTO!!!!!!!!!!!!

Du? Hiyo kali kabisa! It means wasomi wanastuana wao kwa wao tu!
 
mbona hii ya siku nyingi sana mdogo wangu sema ukikua ndo unajua mambo mengi ambayo ulikuwa huyajui. Wakati niko chuo nilikuwa nashangaa kuona wake za watu wancheat na maboss zao ofisini na kugombana kwa ajili ya wanaume ambao nao wana wake zao by that time nilikuwa nafanya field. Kuna kaka mmoja akaniambia, mdogo wangu usishangae ukifika makazini nawe utayakuta haya na hutashangaa kweli nikayakuta kama wewe unavoshanga now.
ha! na mimi ndo nasikia hii.sasa kwa kuwa nishajua;na mimi leo ni leo! lunch ikifika tu, huyoooo! ala!
 
Du? Hiyo kali kabisa! It means wasomi wanastuana wao kwa wao tu!

Kumbe jeeeeeeeee!!!!!!! HIZI NA NYAKATI ZA MWISHO!!!!!!!! Lawyer kwa Judge!, Bosi kwa Secretary, Mhasibu kwa Cashier, Mfanyabiashara na Mteja, SHINDWA MWENYEWE TU HAPO!
 
Hii si mbinu mpya ilikuwapo tangu zamani sana 199..... huko Boss wangu (Baba yangu mdogo) mmoja alikuwa anasema nimpeleke lunch mpango wa kando wake tukifika tunakula ansema tusubiri hapo tunakuja kumbe wanajivinjari na kutoka mie hata moja kichwani sina siku nikaja kusoma hiyo makitu imeandika Bar & Guest House.
 
aahahahahhahaahahhahahha yale yale aliyokuwa anasema mlinzi ofisini kwetu!
wanaume wengi siku hizi mziki wao mwepesi!
imagine mdada katoa cha asubuhi kwa mumewe,kafika ofisini anatoa viwili kwa colleague,akirudi home tena kama kawa!
nilikuwa sijamwelewa yule babau wa kimakonde!now ndo nimeelewa kwanini alitupa makavu siku ile
eti enzi zao thubuutuuuu!mtu akitoka kuchakatua utamjua tu akirudi miguu haikutani kama njia panda vile !lol!
 
Mi bado sijaelewa!!!!!!1 Ina maana dushelele za zamani ZILIKUWA KUBWA SANA!? AMA SHUGHULI ILIKUWA PEVU ZAIDI!? Kuliko sasa ama aje? Badi niko njia panda mwenzio.
 
Back
Top Bottom