Pole sana JKMfanyabiashara Haroon Zakaria amefariki hii leo.anamiliki makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills,zan fast ferries , majipoa Nk.
Mwenyezi Mungu ailaze mahela pema peponi roho yake.
View attachment 1768882
Pole sana JKMfanyabiashara Haroon Zakaria amefariki hii leo.anamiliki makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills,zan fast ferries , majipoa Nk.
Mwenyezi Mungu ailaze mahela pema peponi roho yake.
View attachment 1768882
Covid ilivyomtafuna tu ikasepa. Huyu alikuwa na gundu
Daaah, Mzeee alikuwa Tycoon aliyeshika sawa sawa Soko la Bidhaa za Sukari, Mafuta ya kula nk.
Nitakumbuka sana Foleni za Dukani kwake hapo Kitumbini Daaaslam wakati wa Ujana wangu nikipambana na Maisha. Mungu amuweke mahala Pema.
Kumbe jamaa alikua fresh. Shukrani kwa mwangaza.Hujawai kupikia mafuta ya kula ya korie ? Ama sundrop ? Ama kufua nguo zako kwa sabuni za Foma ama Puff ,Huyo ndio mmiliki
Alikuwa analeta mafuta ya korie yana Chorestrol na kuua watu. Hahah haha business
Acha waende waache nafasi kwa wengineDuh.. Matycoon wanaisha.
Hayo mawazo ndiyo yametufikisha hapa ngozi nyeusi as if hakujawahi tokea tajiri ngozi nyeupe ambaye ni halaliWengi jamii izi nyeupe za Hindi na Arabu zinakula Heroin na Cocaine. Starehe kubwa duniani kuzidi mapenzi ni hayo Maunga na maheroine
FungukaHuyu jamaa anae hela kama maji ya bahari! Boss aliokuwa ana support kampuni ya Mshua ya Logistics
Vunjabei anauza maronyaronya tu humo dukani kwake mpaka unajiuliza japo unapewa kadi ka ya mlimani city
Ila hawa matajiri kanjanja sana
Wauza matambala wengi wanapush weight.Vunjabei anauza maronyaronya tu humo dukani kwake mpaka unajiuliza japo unapewa kadi ka ya mlimani city
Ila hawa matajiri kanjanja sana
"Hatusikii tena vifo vya corona" ndiyo ujue kuwa yule alikuwa "disgrace"Bora amefariki kipindi cha Samia, ingelikuwa kipindi cha Magufuri tungelisikia corona imefanya yake kuna watu walimchikia Magufuri,mpaka kila baya lote lililotokea lililetwa na Magufuri,kaondoka hatusikii nyimbo za corona tena.
Nashukuru umeliona hilo,Bora amefariki kipindi cha Samia, ingelikuwa kipindi cha Magufuri tungelisikia corona imefanya yake kuna watu walimchikia Magufuri,mpaka kila baya lote lililotokea lililetwa na Magufuri,kaondoka hatusikii nyimbo za corona tena.
Nilibahatika kumuona mara kadhaa
Alikuwa simple tu,pesa anaijua na ni bahiri
Kuna mwanangu mmoja anaishi toronto
Anafanya real estate business huko,alienda zungumza naye kuhusu yeye kununua mjengo huko...kila akitajiwa garama za bei huko anakuambia mbona pesa nyingi subiri kwanza nijipange nkiwa na pesa ntakujulisha
Ova
Kiufupi ni matambara tu sio nguo zileKwa sababu maronyaronya huwezi kuyavaa muda mrefu. Unavaa yanachakaa mapema unarudi dukani kununua mengine
Vunja Bei ana maduka Mengi DsmVunja bei ana duka sinza tu na dodoma la nguo nchi nzima anajulikana na vijana. Hawa kina zakaria wanauza mafuta korie na sabuni za foma miaka na miaka kila duka nchi nzima lina bidhaa zake na kila mtanzania amewahi zitumia ila tajiri sio maarufu