TANZIA Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

Corona au yeye jiwe? Hakuua kwa sera zake mbovu!!??

We evaluate something, we should use three dimensions approach. Tukitumia a single dimension, we may lose a plot in the process.
JPM si busara kuangalia upande mmoja tu tunasema kirahisi kila tatizo alileta yeye
 
Hivyo vibari vya kuagiza sikari, mafuta na bidhaa nyingine huwa vinatolewa kwa njia gani?

Je huwa kunakuwa na Uwazi? Open tender?

Kwanini watu wanabaki kuwa wale wale Miaka nenda rudi?
 
Vipi Late Mafuruki unamzungumzije
Mufuruki nilifika ofisi zake kuna mzee wetu jirani na jengo lake lile. Alafu yule umaarufu wake ni kwa elimu kuliko utajiri, hawa wengine wasingeweza kuitwa kwenye matamasha au hafla kuzungumza. Tajiri kama ana elimu anaweza kuongea akasikika au akachaguliwa kuongoza bodi, kuwa mshauri au akawa critic.
 
Hanunui sukari nje
Ana mkataba wa viwanda vyote vya sukari nchini .wakishazalisha wanampa yeye auze.yeye na mo tu.
Ikitokea viwanda vya hapa nchini uzalishaji hautoshi ndo ananunua nje
Ana hela kama oxygen yaaani

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app

Hapana ana mkataba wa kukunua sukari ya mtibwa tu mfano Sukari ya TPC ya moshi mwenye mkataba ni MARENGA invst na SETway/Laswai
 
We evaluate something, we should use three dimensions approach. Tukitumia a single dimension, we may lose a plot in the process.
JPM si busara kuangalia upande mmoja tu tunasema kirahisi kila tatizo alileta yeye
unatumia carolies kumwelewesha mpumbavu.
unadhani hajui!!!ni kichaa kaamua kujifanya.
 
Back
Top Bottom