TANZIA Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

Daaah, Mzeee alikuwa Tycoon aliyeshika sawa sawa Soko la Bidhaa za Sukari, Mafuta ya kula nk.
Nitakumbuka sana Foleni za Dukani kwake hapo Kitumbini Daaaslam wakati wa Ujana wangu nikipambana na Maisha. Mungu amuweke mahala Pema.

Mkuu nafikiri tulikuwa wote tunasimama kwenye foleni dukani kwake na alikuwa akiwaona wezi pale dukani anaacha kazi mpaka awafukuze kutoka kwenye eneo la biashara yake....RIP Zakaria
 
Hujawai kupikia mafuta ya kula ya korie ? Ama sundrop ? Ama kufua nguo zako kwa sabuni za Foma ama Puff ,Huyo ndio mmiliki
Kumbe jamaa alikua fresh. Shukrani kwa mwangaza.

Kwa iyo rangi najua miradi yake itaendelea vizuri, tatizo linakuaga angekua mweusi.

BTW, apumzike mahala pema.
 
Kwa sababu maronyaronya huwezi kuyavaa muda mrefu. Unavaa yanachakaa mapema unarudi dukani kununua mengine
Vunjabei anauza maronyaronya tu humo dukani kwake mpaka unajiuliza japo unapewa kadi ka ya mlimani city

Ila hawa matajiri kanjanja sana
 
Bora amefariki kipindi cha Samia, ingelikuwa kipindi cha Magufuri tungelisikia corona imefanya yake kuna watu walimchikia Magufuri,mpaka kila baya lote lililotokea lililetwa na Magufuri,kaondoka hatusikii nyimbo za corona tena.
"Hatusikii tena vifo vya corona" ndiyo ujue kuwa yule alikuwa "disgrace"
 
Bora amefariki kipindi cha Samia, ingelikuwa kipindi cha Magufuri tungelisikia corona imefanya yake kuna watu walimchikia Magufuri,mpaka kila baya lote lililotokea lililetwa na Magufuri,kaondoka hatusikii nyimbo za corona tena.
Nashukuru umeliona hilo,
Nimepigwa na butwa kuona comments zote hakuna aliyehusisha na corona ama kweli upinzani ni sawa na kichwa cha mwendawazimu.
 
"Nikiwa na pesa ntakujulisha" huyo ni Murzah oil mills owner,ferry,nk, sasa kuna mbongo akimiliki laki 8 anaulizia bei ya V8 mpya!!
Nilibahatika kumuona mara kadhaa
Alikuwa simple tu,pesa anaijua na ni bahiri
Kuna mwanangu mmoja anaishi toronto
Anafanya real estate business huko,alienda zungumza naye kuhusu yeye kununua mjengo huko...kila akitajiwa garama za bei huko anakuambia mbona pesa nyingi subiri kwanza nijipange nkiwa na pesa ntakujulisha

Ova
 
Vunja bei ana duka sinza tu na dodoma la nguo nchi nzima anajulikana na vijana. Hawa kina zakaria wanauza mafuta korie na sabuni za foma miaka na miaka kila duka nchi nzima lina bidhaa zake na kila mtanzania amewahi zitumia ila tajiri sio maarufu
Vunja Bei ana maduka Mengi Dsm
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom