mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,064
- 132,518
Ukimkuta kitumbini pale hachagui mteja naye anakuhudumia,biashara na kauli nzuri ya biashara alikuwa nayoMkuu tafadhari jazia nyama najua wajua mengi kuhusu yeye. Wewe born town
Syo mbongo akishaona ana hela anaanza kuleta dharau
Jamaa wateja wanunuz wengi wa mkoani aliwakamata
Ova


kuna watu walimchikia Magufuri,mpaka kila baya lote lililotokea lililetwa na Magufuri,kaondoka hatusikii nyimbo za corona tena.