TANZIA Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

Vunja bei ana duka sinza tu na dodoma la nguo nchi nzima anajulikana na vijana. Hawa kina zakaria wanauza mafuta korie na sabuni za foma miaka na miaka kila duka nchi nzima lina bidhaa zake na kila mtanzania amewahi zitumia ila tajiri sio maarufu

Biashara hizo mara nyingi ni za kuzugia behind the scenes ni makontena na donkey.

Ndio kama kina masanja kuonyesha wanalima mpunga huku wakiendesha bmw x6 kumbe behind the scenes wanapiga fedha chafu.
 
Wengi jamii izi nyeupe za Hindi na Arabu zinakula Heroin na Cocaine. Starehe kubwa duniani kuzidi mapenzi ni hayo Maunga na maheroine
Huwa nikipita kwenye vibaraza vya maduka ya wahindi nakuta wabongo wanakata kata kwa mikasi maalumu madude mambegu fulani ya mviringo ambayo baadaye huyafifikicha fikicha kwa malailoni na kuwapa mabosi zao watafune sijui ni manini na yanaingizwaje nchini ?
 
Aliwapa mitaji wanunuzi wadogo wa bidhaa zake/Aliwajengea na kuwasomesha watoto yatima..

Kubwa zaidi ni huyu aliekuwa akienda mwenyewe Muhimbili kuwaona wagonjwa ma wale wanao takiwa kusafiri nje ya nchi anawasafirisha...

Amejenga nyumba nyingi sana za Ibada (Misikiti)...
Ndie alieanzisha kampeni ya kukarabati hospitali kongwe na kuwapatia vifaa vya kisasa, Japo wajanja wakazi fanya watakavyo...
Nitamkumbuka alipo okoa maisha ya mke na mtoto wa rafiki yangu..
Mimi namuombea Dua Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amiin..
Alikuwa analeta mafuta ya korie yana Chorestrol na kuua watu. Hahah haha business
 
Mfanyabiashara Haroon Zakaria amefariki hii leo.anamiliki makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills,zan fast ferries , majipoa Nk.

Mwenyezi Mungu ailaze mahela pema peponi roho yake.

View attachment 1768882
Sawa,pole nyingi sana kwa wafiwa,lakn pia inaonyesha tayari jua lilikuwa limeanza kuzama.so tumshukuru Mungu kwa kumpa maisha hayo na nafasi ya kiuchumi kwa nchi yetu
 
Mzee Zakaria nadhani aliamia Zambia ila alikua mtu poa sana huyo mfanyabiadhara alikua anataka mtu anaefanya nae biashara akue sio kila siku unaenda kununua idadi ile Ile ya box...betri za tiger ndio nyumbani kwake na sukari huyu ishu ya kusema kaficha sukari wakati alikua anaitunza si ndio ilimkuta nadhani walizoa yote wakidai imefichwa leo wapo kimya...
 
Angefariki kipindi Cha jiwe tungesema account zake za benki zimefungwa na kodi kapigiwa mahesabu makubwa ya kulipia

Kodi halali+kodi ya dhuluma=biashara zimekufa
Hata hivyo biashara zake nyingi kubwa alizifungua huko Zambia kutokana na uduanzi wa mwendazake huyo tajiri asingependwa na mzee hawa ndio walikua walengwa wakuu waishi kama mashetani..
 
Biashara hizo mara nyingi ni za kuzugia behind the scenes ni makontena na donkey.

Ndio kama kina masanja kuonyesha wanalima mpunga huku wakiendesha bmw x6 kumbe behind the scenes wanapiga fedha chafu.
Vunjabei anauza maronyaronya tu humo dukani kwake mpaka unajiuliza japo unapewa kadi ka ya mlimani city

Ila hawa matajiri kanjanja sana
 
Back
Top Bottom